Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje...
Ni uchaguzi rahisi kwa CCM, uchaguzi mwepesi kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii. Ni uchaguzi wa mafanikio ya CCM dhidi ya ahadi za Wapinzani.
CCM inakwenda ktk uchaguzi huu kuonesha...
Hongereni kwa kampeni.
Twende kwenye hoja moja kwa moja,binafsi Sina tatizo na watumishi kuongezwa mishahara hiyo ni haki yao lakini ni vyema hoja Kama hii ikachagua majukwaa ya kuizungumzia...
Ninaona kama kwa Dar es salaam chama changu hakina mpango wa kuchukua majimbo mengine zaidi ya Kawe.
Majimbo kama Temeke, Mbagala, Kigamboni, Ubungo na Segerea ni kama wameyatoa kafara kwa CCM...
Mliopo katika nafasi ya kuwashauri Wazee na wadosi washaurini wajifunze kuilinda dhamana waliyopewa.
Whatsapp imekuwa uchochoro wa kuvujisha Siri na mikakati mingi, naumia kuona baadhi ya...
Salaaaaam, juzi nilipata kuhudhuria msiba wa ndugu yangu katika Kijiji fulani mkoani Mbeya na nilishangaa kuona balozi kwa unyenyekevu akitangaza kuwa kaletewa taarifa kutoka juu zikidai Rais...
Uchaguzi ni takwimu, mikakati na mipango ambayo inaonekana wazi kwa macho na isiyoonekana. Kwa inayoonekana ni wazi kuwa....
Pamoja na CCM kuwa na kila kitu kinachotakiwa kwenye kampeni, magari...
Binafsi kura yangu ni kitu muhimu sana. Kabla sijampa mtu huwa natafakari kwa kina na siwezi kupiga kura kwa mihemko. Siwezi kumpigia kura mgombea mwenye kauli kama hii.
Mataifa makubwa kama Uingereza na Marekani wagombea huwa wanatumia lugha kali kwa wagombea wenzao na nyie ni mashahidi Joe Biden huwa anatumia lugha kali kwa Trump, mashambulizi ni kwa mtu na mtu...
Mzee Shomari anasema mzalendo ni mtu anayelipenda taifa lake kwa moyo wake wote,analitakia taifa lake mafanikio mema, na yupo tayari kufa kwa ajili ya taifa lake.
JPM ni mzalendo wa kweli hiyo...
Tundu lissu ni mgombea hajawa Rais bado,Lakini watu wanakaa barabarani na kumsubiri huku wakiimba Rais Rais Raisi
Haya yamejitokeza sana kanda ya ziwa mikoa ya Geita na Mwanza ,Vunja kazi ni...
Wagombea wa ccm kwa tiketi ya Urais na Ubunge wamekua wakienda kinyume na ratiba ya UCHAGUZI kwa kutokuwepo eneo la kampeni kwa siku tajwa. Je, kwa kufanya hivi wanavunja sheria au wanaweza kwenda...
CCM bwana kama hawapo hivi iwe humu kwenye mitandao ya kijamii ajabu ni wazuri mno kwenye mipira iliyokufa.
Jamaa hutembea hatua 100 mbele ya wenzao na kamwe huwa si wajuzi wa kubishana bali...
Ukoloni mamboleo (neo-colonialism) ni nini?
Ukoloni mamboleo unaeleweka kwa mapana kama mwendelezo wa siasa ya kibepari ambayo inaziwezesha mamlaka za kibepari (baadhi ya mataifa yaliyoendelea...
Kampeni za mwaka huu zina utofauti mkubwa sana na kampeni za vipindi vilivyopita.
Zamani muda kama huu tungekuwa tukishuhidia wanachama toka vyama mbalimbali wakijiunga na vyama vipya kwa...
Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu anasema jeshi la polisi limefanya kazi nzuri katika maeneo yote aliyopita na kufanya kampeni.
Lisu anasema polisi wasisingiziwe kwa lolote kwa...
Uchaguzi na propaganda ukaa pamoja siku zote. Lakini propaganda zisivyopangiliwa vyema zinaweza kuwa mwiba kwa anayesimuliwa.
CCM fanyeni maamuzi magumu, kubalini kuwa Polepole amepwaya kwenye...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) Queen Cuthbert Sendiga ameendelea na kampeni zake leo Jijini Dar es salaam katika wilaya...
Pamoja na maono na fikra zako za kuamini kuwa sisi watumishi kura zetu ni chache na hazitakusaidia chochote kwenye ushindi wako, ila ni ukweli usiopingika kuwa sisi watumishi tuna ushawishi mkubwa...
Kama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.