Kampeni ni kunadi Sera na chama ili chama kishike dola.
Leo ni mwezi mmoja kamili toka kampeni zianze CCM tu ndio inanadi sera na chama wengine wanajinadi wao binafsi kuwa nichague mimi...
Habari zenu wadau,
Kipindi kampeni zikiendelea kushika kasi kuna kitu kusema ukweli sisi kama Watanzania tuna tafakari mara mbili mbili hasa aina ya kampeni zinazofanyika na chama cha...
MGOMBEA ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Boniface Jacob, amesimamishwa kuendelea na kampeni, akidaiwa kukiuka kanuni za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...
Rais Magufuli alipopita Masanza aliwaeleza waziwazi wapiga kura kuwa hawatishi isipokuwa kama watafanya makosa ya kutomchagulia viongozi wa CCM watajuta! Tena akasisitiza kwa kisukuma kuwa...
Kadiri kampeni zinavyodhidi kunoga ndio kila siku tunazidi kusikia kila aina ya tuhuma, tuhuma ambazo wagombea urais wanaona zinaweza kuwapa kete ya kupata kura.
Akiwa Kamachumu mkoani Kagera...
Wapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
Watanzania tuwe makini sana, Sana tunaelekea October 28! Kuwa katika tafakuri sahihi! Jiulize, kwanini unapiga Kura!? Usipige Kura kwa desturi na mazoea! Tafakari Sana juu ya hatima ya maisha yako...
Ndugu Magufuli, mkoa wa Tanga uliwahi kuwa mkoa tajiri no.1 East Africa kwa sababu ulikuwa ndio sehemu iliyo ongoza ulimwenguni kwa zao la katani, likifuatiwa na yucatan ya Mexico.
Tokea miaka ya...
Mgombea urais kwa tiketi ya CUF Prof. Ibrahimu Lipumba, amesema uchaguzi huu usiwe chanzo cha uvunjifu wa amani ya Tanzania.
Lipumba ametoa kauli hiyo leo septemba 24, mwaka huu kwenye mkutano...
Magufuli akiwa na kampeni wanachapisha picha kubwa ya kampeni zake kwa juu kisha chini wanaweka vipicha vidogo vya wapinzani. Magufuli akipumzika kampeni hawaweki picha ya mgombea anayetoa...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Ninaamini kumekuwapo na kujizuia kwa hali ya juu wanazuoni wanaita subira kutoka kwa wanaoathirika moja kwa moja na maamuzi yenu na...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu Jana ameingia Kigoma kwa kishindo kikuu.
Alilakiwa na Maelfu Elfu ya watu waliojipanga majiani huku wakitandika mikeka chini shujaa huyo wa...
WanaJF,
Nimewaza sana kuhusu hili. Uoga ni kitu kibaya sana. Uoga unawafanya watu wawe wanyonge na kunyong'onyea. Lakini pia waweza kupigwa vita na kuondoka. Kabla Lissu hajarudi, watu walikuwa...
Vita ya Corona dunia nzima inawasumbua kote kuliko na majeshi yenye nguvu na teknlojia ya hali ya juu na wenye huduma za afya bora duniani zenye madaktari bingwa wazuri duniani ikiwemo Ubelgiji...
Wanabodi,
Tujiandae kusikia chochote kutoka kwenye viunga vya siasa za Upinzani. Bundi ametua kwenye mti wa mzambarau halafu akaruka na kwenda kutua mti wa msumbawanga (taja kabila).
Kule kwenye...
Mwezi mmoja baada ya muda wa kampeni kuanza rasmi Tanzania na uki wauliza wengi, wata kwambia "Mambo bado, Bado asubuhi, Kujaza uwanja mzima haimaanishi kwamba uta shinda". Uki tizama kwa haraka...
Waliambia, kuwafungia wapinzani sio vizuri. Wangewaruhusu. Leo wasingekua na mikutano na waandishi wa habari mara kwa mara kujieleza au kufafanua mambo wanayo dai upinzani unapotosha. Wangilelijua...
Waziri mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwa Monduli kwenye kikao cha chama cha mapinduzi ambapo mwanae Fred Lowassa anawania jimbo hilo, alipata fursa ya kuongea na kumuelezea Dkt. Magufuli...
Akihutubia umati mkubwa wa watu kwenye kata ya Kaloleni Lema amewaomba wananchi wamchague mbunge atakayehoji serikali, wasichague mbunge bubu ambaye kazi yake itakuwa ni kugonga meza na kusema...
Njia pekee ya kukabiliana na gharama za uchaguzi ingekuwa kutoa ruzuku na misaada kwa vyama vya siasa nchini. Kukosekana kwa hela ya kumudu gharama za kupiga kampeni imesababisha vyama vidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.