Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi.
Wote tujitokeze kumpigia kura...
CCM tulimpamba mzee sana kuanzia bungeni na nje ya bunge, tukaenda mbali na kusema kuwa hahitaji kampeni 2020 bora hata uchaguzi usifanyike ili apite bila kupingwa, hizi kauli za kinafki ni za...
Tundu Lissu akiwa Bukoba Mjini amesema anasikia taarifa za kuwa wakishinda hawatotangazwa.
Amemuasa Rais Magufuli kutothubutu kufanya hivyo akimwambia kuwa hana Jeshi la kuzuia wao kutangazwa...
Ndugu yangu najua utakuwa unapitia nyuzi zangu nikiwa supporter wako mkubwa tangu kura za maoni. Mh hili jimbo la letu la Nkenge ni rahisi sana kuwashinda upinzani maana asilimia 99 ta kata zake...
Hii itasababisha maporomomoko ndani ya CCM kwa sasa ni wananchi wa kawaida ambao tayari wameshaonyesha na kunyanyua silaha zao kuiangusha CCM tarehe 28/10/2020. Hawa huitwa wanajeshi wa miguu...
Natabiri kuondolewa kwa katibu Mkuu CCM na katibu Mwenezi wa CCM Mara tu uchaguzi utakapomalizika.
Chama dola hakiwezi kuishi kwa kutegemea dola pekee bali kinapaswa kuyaishi wanayowaza na...
Habarini
Katika kutafakari tutafikaje 28 october, likanijia hili wazo tena fikra za kuanzia at family level
Kwenye familia, vikao vya kifamilia vikikaa yule mwenye uafadhali kimaisha ndie mara...
Watanzania tusikubal kuwa wajinga mbele ya Wanasiasa waongo.
CHADEMA na ACT-Wazalendo kuungana kwao ni ishara ya uchu wa Madaraka kwani sababu ya wao kuungana ni kumtoa Magufuli na sio kuongoza...
Kwa mashambulizi haya ya Tundu Lissu kila siku anabomoa ngome ya mpinzani wake kwa matofali kadhaa. Kuna wale CCM damu na Chadema damu, hawa hata iweje kura zao hazibadiliki.
Kuna lile kundi...
CHADEMA kupitia vikao halali kabisa vya kikatiba walimteua mgombea urais wao wa Zanzibar.
Lissu anahubiri haki lakini alipofika Zanzibar akaanza kumnadi Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo. Haki ya...
Huwa nasikia walipopiga kura kuamua vyama vingi ni 20% waliokubali ila Nyerere akasema hiyo 20% ni kubwa sana.
Tanzania imepiga hatua sana baada ya kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi.
Leo hii...
Kuchagua CCM ni kuwafungia zigo la mateso makubwa Wananchi. Ni kuchagua maumivu makubwa kwa Watanzania ni lazima tuwe makini zaidi.
1. Kuchagua CCM ni kuchagua watu kuendelea kupotea bila kujua...
MITANO KWANZA VS MITANO TENA
Kwa maoni yangu ccm hawakutegemea uchaguzi kuwa mgumu hivi mgombea wa Chadema TUNDU LISSU ameonesha Uwezo mkubwa wa kujenga hoja hasa baada ya ilani yao kubebwa na...
Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi.
Lissu amekuwa na mvuto, sijui kwanini ameanza kujiletea utata kwa matusi na tuhuma asizo na ushahidi...
Wale mnaopiga kelele kuwa Lissu kamaliza kazi mnaota Lissu mwezi mzima hadi sasa kahutubia kampeni majimbo Tena mijini 17 wakati jumla ya majimbo ya Uchaguzi Tanzania yako 264 Kuna majimbo 257...
Hii ni sauti inayonisumbua kila kukicha ya Mungu Ikiniambia Huyu Ni Mwanangu Mpendwa Nimpe Kura yangu.
Naamini ni sauti inayokusumbua pia wewe Mtanzania ikijurudirudia na kukusii uitii kua " Huyu...
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na Serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani...
Huku ikiwa bado Mbeba Maono Tundu Lissu kukanyaga ardhi ya Kyela, tayari CCM imeanza kupukutika yenyewe mithili ya mti wakati wa kiangazi, makovu ya kura za maoni yanaendelea kuitesa baada ya...
Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.
Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.