TUTAWAHUDUMIA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA LETU" PROF.LIPUMBA"
KARAGWE,KAGERA.
Tutaweka utaratibu wa kitaifa wa hifadhi ya wazee itakayohusisha jamii nzima kuwalea wazee wetu ambao wengi wao baada...
Wananchi wetu ni wanafiki sana. WanaCCM ni wanafiki zaidi. Yaani ukiangalia tu watu wanavyoshangilia kwenye Mikutano ya CCM - watu wamechoka yaani wanalazimisha hivi. Clip zilizotoka na hata leo...
Nini maana halisi ya Barua hii ya Chama cha ACT Wazalendo waliyomuandikia msajili wa Vyama vya Siasa kujibu Tuhuma dhidi yao.
Ni dhahiri kuwa ACT imekosa imani na mtu waliomsimamisha kuwania Kiti...
Kila kitu kinachosemwa na kufanywa na wanasiasa katika kipindi hiki Cha uchaguzi faida na hasara itakwenda kwa wananchi wa kawaida, hivyo wanasiasa tuchunge ndimi zenu na vitendo vyenu kwenye...
Mgombea ubunge wa Chadema anayetarajiwa kushinda jimbo la Kwela Mh Daniel Naftari, ameendelea kuelimisha umma, ambapo amewaambia wananchi kwamba kuikumbatia CCM ni sawa na kukumbatia umasikini...
Kuna Mjumbe wangu wa Nyumba Kumi Kumi muda si mrefu kaniambia kuwa niende Ofisi za Serikali ya Mitaa ili nikajiandikishe nisubirie Mkopo. Nilipoenda kweli nikapokelewa kwa 'Bashasha' zote na...
Vitu vingine unajiuliza unashangaa. Kama kanisa tu limemshinda kuboresha, watu wanasalia kwenye mapagale, yale tunaita fulu suti(full suit) juu hadi chini pamoja na sadaka na zaka zote...
TUJIKUMBUSHE MAMBO MBALIMBALI KWA MUJIBU WA MIONGOZO YA NEC
Wajibu wa Vyama vya siasa wakati huu wa kampeni ni kunadi sera kwa kuzingatia Sheria za Uchaguzi,Kanuni na Maadili ya Uchaguzi. Kama...
Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango.
Mbowe ambaye kampeni nzima...
Naendelea na mada zangu za Kumuunga mkono Ndugu Tundu Antipasi Mughai Lissu kwa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali kwa sababu namuelewa. Ili kuweka kumbukumbu sawa mimi sio...
Hakika Lissu mwisho wa maneno. Ameifanya Chadema kuonyesha kuwa majukwaa ya siasa hayana sababu ya kuwakodi kina Zuchu, Kiba, Singeli au Diamond maana wanapoteza hata maana ya mkutano na kuwa...
Karata nyingine ya ushindi kwetu ni kuungana na kuomba ili mpenda haki na amani, mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aweze kushinda kwa kishindo hapo Oktoba 28.
Huu ni wito kwa...
Akizungumza kabla ya kuanza kwa mkutano, Meneja Kampeni wa CUF, Miraji Mtibwiriko katika viwanja vya viwanja vya Fatuma Mkoani Kagera aliwataka wanachama kuwa watulivu kwa kuwa bado wanahitaji...
Salamu to you the Sixth president of the united republic of Tanzania!
Baada ya salamu ningependa niende moja kwa moja kwenye kusudio la barua hii. Lengo la waraka huu ni kukushauri ukipata nafasi...
Bila kupepesa macho, ni dhahiri kuwa kadiri muda unavyokwenda idadi ya wapinzani wa CCM inaongezeka. Si rahisi wahusika kukubali hili lakini kuukataa ukweli ni kujitoa ufahamu.
Baba wa taifa...
Wana JF;
1. Jana nilitupia uzi humu nikichambua mikakati ya CCM ya kujipatia ushindi haramu ktk uchaguzi mkuu huu nje ya ballot box kwa kuwatumia watumishi wa umma; walimu, manesi, madaktari...
Wasalaam,
Kitendo cha tume ya Taifa ya Uchaguzi kutoka haraka kukemea makusudio ya vyama vya upinzani kushirikiana katika uchaguzi huu ni cha kibaguzi hakikubaliki. Sababu iliotolewa na NEC ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.