Habari wanajf,
Kama ilivyo ada huwa nawaletea habari ambazo pengine mnazo ila hamtaki kuzisema na pengine hamna kabisa.
Mimi binafsi nahitaji kuona Wagombea wa chama changu Chadema wakishinda...
Binafsi nimepata wasaa wa kumsikiliza mheshimiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kuna baadhi ya kauli na shutuma...
Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli
Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida.
Magufuli akiwa na Mwigulu na wanaCCM wakiserebuka
Akiwa huko akaongelea...
Naanza kuogopa na kuwashangaa wanaobeza mitandao ya kijamii na nguvu yake.
Tundu Lissu na CHADEMA kwa ujumla imezibiwa kutangazwa na TV na Redio za nchi hii kueleza kwa ufasaha ratiba na Sera za...
ZIARA ZA GWAJIMA KWENYE MITAA NA KATA ZIMEONYESHA UDHAIFU MKUBWA WA HALIMA MDEE KATIKA KUWATUMIKIA WANANCHI.
Kawe, Dar es Salaam.
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM ndugu Josephat Gwajima...
Mheshimiwa Mhashamu Askofu Bagonza leo wakati akitoa nasaha zake kwenye mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 huko mkoani Kagera amesikika akitaja mambo matatu.
Moja kati ya hayo ni kuwa...
Wakuu, kile kinachotokea Mlimba kulazimisha yule jamaa apite bila kupingwa, kinapaswa kutizamwa kwa jicho la pili, kila kitu kinaonesha kuwa yupo mtu wa ngaz ya juu pengne wa mwisho kule yuu...
Tunajua kwamba hata Magufuli anaposema "Nitajenga barabara" haimaanishi kwamba yeye ndiye mwenye hela au kwamba atakuwa saiti akijenga. Anatumia vyombo vilivyopo kujenga barabara n.k.
Tundu Lissu...
Huu ni uchaguzi wa kimkakati sana kwa kila mpiga kura!
Ni either uchaguwe haki au dhuluma!
Au uchague mtetezi wa kweli wa wanyonge ama uchague mzalishaji wa wanyonge, shida na mataabiko ya watu...
Nasema imejaa uonevu kupitia kupita maelezo kwa sababu ya haya;
1. Watumishi wa umma kutopandishwa madaraja kwa wakati na wala ndani ya miaka 5 hapakuwa na increments kwa mujibu wa...
Kiukweli nimekaa nikajiuliza Sana,na naomba tushare hili hapa.
JIMBO LA UBUNGO CHADEMA LINAWASHINDWA?
Kwanini nimewaza hivyo!!? mwaka 2010 mlituletea John Mnyika na kutuaminisha ndio mzizi wa...
Sio kama siku za mwanzo za mwezi huu wa hekaheka za uchaguzi njano na kijani utafikiri msimu wa maua, ila hivi sasa wanaovaa njano na kijani hapa mtaani wamekuwa adimu sana.
Wengi niliokuwa...
Kwa mujibu wa TUME ya UCHAGUZI Tanzania ina jumla ya KATA 5350.
Kama kila kitu ikitengewa bajeti ya TZS BILION moja KWA MWAKA Itakuwa ni Trilioni Tano nukta 3 kwa Kata zote TANZANIA. Hii Bilion...
Tunapokea habari kuwa mgombea mwenza wa CHADEMA ndugu Salum Mwalim amepata ajali ya gari nadhani maeneo ya Msalala
====
Tumepata ajali mbaya sana eneo la Msoka Kata ya Ngogwa, Jimbo la Msalala...
Ni dhahiri kwamba uongozi wa Magufuli umetuumiza sana watanzania wote wa rika zote na kada zote. Kwanza kuna watu wametekwa na kuuawa na serikali haijawahi eleza chochote na ushahidi wa hawa watu...
Tangu uonekane pale Zakheim ukiwafurusha TBC, na kumwaga nondo jinsi CCM inavyowatesa watanzania kwa zaidi ya miaka mitano umekuwa kimya.
Umemuacha Lissu apambane peke yake, na sasa mgombea wetu...
Katika lile tulilojua toka mwaka 2017, mkoa wa Kagera una lake jambo juu ya CCM na Rais Magufuli.
Ni mkoa ambao ulipata tetemeko, watu wakahitaji faraja kutoka kwa mfariji mkuu wakaishia...
Nashangaa kwanini watu wanaumiza kichwa juu ya ahadi za Raisi Magufuli wakati wa ziara zake za kampeni kuwa ni rushwa au la.
Labda kwanza nikubaliane na Rais Magufuli kwamba ni kweli yeye bado...
Naibu wa msajili wa vyama vya siasa Dkt. Nyahoza amesema vyama vya siasa vinavyojipanga kushirikiana vimeshachelewa.
Nyahoza amesema muda uliowekwa kisheria kwa vyama vyenye nia ya kushirikiana...
Kwamba, hao mnao wanunua ni "mizigo" tu wala hawana faida yoyote na mnanunua mtu mmoja ila wafuasi wake (wananchi) wanabaki upinzani mkabisha. Kiko wapi?
Kwamba, mnapo zuia mikutano na maandamano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.