"Niliposikia wenzetu eti watagawanya nchi hii vipande vipande nilishangaa sana, tulipopata uhuru Baba wa Taifa alituweka pamoja kwa maana ya kwamba umoja ni nguvu, unapomsikia mtu anasema akipata...
Kitu ambacho narudia mara ya pili kikisisitiza, ni kwanini Mzee baba anafanya kazi ya kujibu hoja za Tundu ambaye ana akili nyingi sana na sasa ameshamjuia anacheza na milio ya midundo yake. Mimi...
Hatimaye Chama Cha Mapinduzi kimeamua kuanza kutumia chopa kama sehemu ya usafiri wa kampeni zake.
Chopa hiyo itaanza kutumika kwenye nusu ya pili ya harakati za kampeni kuelekea October 28,chopa...
NITASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA"
KIGOMA KASKAZINI.
Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi...
NIKIWA RAIS NITAIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI,KUFANYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI"PROF.LIPUMBA"
KIGOMA KASKAZINI
Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana.
Kwa mujibu wa Ripoti ya...
Nimeshangaa kuona Magreth Sitta anapiga hadi magoti kuomba kura.
Hivi Kwa muda wote aliokuwa bungeni amefanya nini?
Anataka kwenda kufanya nini?
Kwani lazima kuwa mbunge?
Sijaelewa kabisa.
Baada ya kuwasikiliza wagombea wetu wa uraisi napendekeza/tunapendekeza tume ya uchaguzi iandae mdahalo kwa wagombea wetu wa uraisi(wote) na tunaomba patafutwe ukumbi ambao utakuwa neutral ground...
Viona mbali tulisema kwamba mzee baba kuwabana wapinzani wasifanye mikutano ni kuzuia waseme ya moyoni ili upate kujirekebisha. Ilikua ni wakati sahihi kuwaacha wazunguke kisha utathmini siasa zao...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kupitia chama cha ACT, Edward Deogratius Kabika amejitoa kuendelea na mchakato wa kuwania Ubunge kwenye Jimbo hilo kwa madai ya kukosa sera na kwamba mgombea...
"Ni mara chache sana kukuta watu wamefurika hivi tena asubuhi saa 2, wenzetu kule wanajua kuchakata, wanatumia picha za miaka ya zamani waonekane wamejaza watu kwenye kampeni zao, waje wajionee...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu Waandishi na Watanzania wenzangu, Nianze kwa kuwashukuru kuja kwenu kuitikia wito wetu na mashirikiano mnayokipa Chama chetu cha ACT Wazalendo.
Leo tumewaita...
Wana bodi,
Kampeni zime pamba moto, ahadi zinazidi kumwagwa kila kona, wana siasa wakongwe wanazidi kuserebuka kwenye kila hafla, kitu ambacho kime kuwa cha kawaida kwenye mchakato huu wa kuweza...
Kichwa cha habari kinahusika.
Walau CCM kama chama pamoja na madhaifu yake mengi kuna mambo watanzania walikivumilia kutokana na mila zake. Licha ya chama kulea ufisadi na kuwalinda mafisadi kwa...
Sera ya CHADEMA ni maendeleo ya watu sio vitu
Wakili Felix Mkosamali Mgombea Ubunge CHADEMA Muhambwe ampinga Lissu na CHADEMA anadi sera ya maendeleo ya vitu kuwa hizo ndizo sera kinyume na Lissu...
Maneno yanayoendelea mtandaoni ni mengi ila inaonyesha Membe kakaza hawezi kuruhusu kuacha kujaribu kutetea ndoto yake ya kuwa rais.
Awali Membe alijiamini kuwa na watu wengi nyuma yake ambao...
Kuna Mtu Mmoja naanza kuona anatuonyesha pia Watanzania jinsi gani pamoja na 'Usomi' wake mkubwa ila kuna uwezekano alipokuwa Shuleni na Chuoni (Chuo Kikuu) pia alikuwa ni Mpiga 'Chabo' wa...
Hakika ilikuwa ni lazima kumuengua Devota Minja ili asigombee Ubunge Morogoro Mjini, maana kumuacha kumeleta kifo cha ghafla kwa CCM.
Hali ndio kama mnavyoona wenyewe
Mjumbe wa kamati kuu ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.