JE, UNAMUONAJE JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, MACHO YAKO YANAONA KAMA SISI?
Mwendi R.D
+255739333332
Serikali ya awamu ya tano kupitia kiongozi mahili Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli imefanya...
Kuna maajabu yanayovunja katiba za vyama kwenye uchaguzi huu mkuu.
Tumeona Lisu Makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA na mgombea uraisi kupitia Chadema akitoa tamko kuwa anamuunga mkono Mgombea...
"Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze...
Leo nimemskia Rais Magufuli akijibu hoja ya Lissu kuhusu CHADEMA kutengeneza Majimbo wakipata madaraka.
Dkt. Magufuli ameeleza kwamba mfumo wa majimbo utakua mwanzo wa mfarakano, japo sielewi...
Hivi ndivyo inavyotakiwa kufanya. Ukiwa proactive unamwondoa "adui" yako kwenye reli kirahisi kwani ni vigumu kwake ku predict chochote kwako.... unamuweka kwenye defensive mode na hawezi ku...
Anapokuwa kwenye majukwaa anakudanganya kuwa wananchi wamekuja kusherehekea utekelezaji wa ilani ya Ccm. Ukweli ni kuwa nusu ya hivyo viwawanja ni watoto wadogo. Na wanakuja kuangalia wasanii...
Habari ndugu zangu wana JamiiForums.
Katika uzi huu nitaelezea sababu zinazofanya Magufuli apendwe na watanzania wengi zaidi.
Mimi mwenyewe binafsi najikuta sana navutiwa na mwanasiasa...
Mgombea Urais wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU) Muttamwega Mgaywa amesema kila Mtanzania atapewa kipande cha heka moja ya ardhi pamoja na kiwanja kimoja cha kuishi bure na hawatolipia kodi...
Huko Magu, Dkt. Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi.
Dkt. Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli...
Akiongea mjini Rungwe leo mmoja wa vijana aliyekuwa CHADEMA na sasa amehamia CCM amekiri na kutubu dhambi zake kwamba alishiriki maandamano ya Nyololo, Morogoro na Kinondoni yaliyopelekea mauaji...
Japo ulikuwa una mapungufu yake lakini ni heri ukawa wa CUF na CHADEMA waliungana pamoja wakashirikiana katika kuwanadi wagombea wa Udiwani, Ubunge na Uraisi na kutoa elimu kwa wapiga kura lakini...
Kamapeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu zimeingia wiki ya tatu huku ikiwa inajulikana sasa ushindani mkubwa upo kwa vyama vya CCM na CHADEMA.
Mwanzo wakati kampeni...
Wakuu natanguliza salamu na baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye mada, kama mnavyojua Kampeni zinaendelea na leo tena Mh Lissu ambaye anapewa asilimia kubwa kutwaa urais wa nchi atakuwa...
Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini...
Wakuu, kuna Mgombea Urais mmoja leo amelalamika sana akituhumu watu wa vyama vingine kujitokeza kugombea nafasi ya urais, akisema kuwa mbona Mkapa, Kikwete na Mwinyi wao walipewa miaka kumi...
Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku...
Huyu mama wa Morogoro katika moja ya kampeni zake kasema CHADEMA ikiingia madarakani watayauza mabasi ya watu, sikuelewa mantiki ya kuyauza haya mabasi, wakati Lissu akijinadi CHADEMA ikiingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.