Nimezunguka takribani kanda ya ziwa nzima kiukweli kule unaweza kuhisi mgombea wa kiti cha Urais ni mmoja tu, CCM wamejipanga sana nawapa hongera,
Kila sehemu ni mabango ya Magufuli, kwenye...
TUTAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA" KIBONDO, KIGOMA
Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote!.
Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania!.
Haki ya Lishe Bora na uhakika...
Wiki moja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya mwaka 2017, aliyekuwa Mkuu wa Idara ya TEHAMA ya Tume Huru ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC), Christopher Chege Msando, alizungumza na kituo cha televisheni cha...
Niko Tabora hapa. Nimekuwa kwenye uwanja wa kampeni tangu kampeni zianze. Nimekuwa nikiwafuatilia na wagombea wengine wa Urais. Nimejiridhisha kuwa wagombea ambao bado wana 'pumzi' na upinzani ni...
Wanabodi,
Kilichotokea leo huko Musoma kinafikirisha sana, jukwaa lote kuu la CCM kwenye kampeni limekuwa likisimama kutoa hotuba za Tundu lisu
Tundu Lissu sasa anakitoa chama changu CCM kwenye...
CCM kama chama dola 2015 kilikuwa na hali mbaya sana...na upinzani chini ya muungano wa UKAWA ukaonekana tishio kubwa la kuimaliza na kuizika kabisa CCM kwenye ulingo wa siasa na kuwa chama dola...
Mimi binafsi nilitegemea kuwa Chadema mwaka huu baada ya kufanya makosa mwaka 2015 na kumsimamisha Lowasa kugombea urais,nilitarajia mwaka huu wangeweka mgombea makini na mwenye uwezo wa kunadi...
Chama hiki kinajinasibu kama ni cha uwazi na uzalendo nadhani watakuwa wameweka wazi hilo sehemu flani. Maana kila nikipita mitaani naona wao tu ndio wanaendelea na harakati za kuweka mabango...
Kwa mujibu wa Ayo tv ile Choppa ya CCM tayari imetua Urambo mkoani Tabora kwa ajili ya kutumika katika kampeni.
Sasa ni mashambulizi kutoka kila kona ardhini, angani na majini, Tundu Lissu lazima...
Umati wa watu uliofurika kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni ya CCM mkoani Tabora leo tarehe 21 Septemba 2020
Baada ya kuwasili na kukaribishwa, awasifia wana...
Septemba 19, 2020 Viwanja vya Polisi Himo, Moshi mkoani Kilimanjaro viliwaka moto huku ikishuhudiwa maelfu ya wanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi na wakaazi wa jimbo la Vunjo kutoka kila kona ya...
Wasalam,
Pamoja na mazuri yote aliyofanya Mh magufuli bado wingu jeusi limetanda ndani ya ccm kutokana na uasi wa baadhi ya wanaccm.
Kuna kila dalili kwamba ccm inaenda kushindwa kwa fedhea ktk...
MKITUPA RIDHAA YA KUONGOZA NCHI HII TUTABORESHA SEKTA MUHIMU ZA UCHUMI NA KILIMO.
BUHIGWE, KIGOMA
Historia ya maendeleo ya uchumi duniani inaonesha kuwa maendeleo ya viwanda hutanguliwa au...
Mgombea Urais wa Tanzania, Queen Cuthbert Sendiga leo anaendelea na kampeni zake Wilayani Kilindi katika Kata za Songe, Madoti, Kwamwambe, Mafisa, Kisangasa na Kwadiboma
Wakati akifanya Kampeni...
Yaliyomo
1.
SEHEMU YA KWANZA ......................................................................
4
1.1.Kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa ..........................................
8...
Uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana kuwahi kutokea kwa sababu hizi chache tu;
1. Tundu Lissu ni Mwanasheria mbobevu na makini kiasi kwamba utampa haki yake kiuhalali kabisa.
2. Mpaka sasa CCM...
Katika Mishe mishe zangu Kariakoo kuna jamaa huwa ananishushia mizigo kwenye gari, Kijana mchangamfu mwenye bashasha na anependa sana kujadili mambo ya siasa, nimemfahamu kwa muda sasa...
Kwa mujibu wa Sheria ya gharama za Uchaguzi namba 6 ya mwaka 2010;
Kifungu cha 23, Kifungu kidogo cha 6 (b) kinaeleza kuwa iwapo wapiga kura hawatokua na uwezo wa kufika kwenye vituo vya kupigia...
Ni Salma Kikwete akiwa jimboni Mchinga akizisaka kura kwa udi na uvumba. Hapo anachanja mbuga mlimani -Maweni Mputwa
Pongezi nyingi kwake.
Mama anaenda "kutema chechee-Kwa sauti ya JK.
CCM INA...
Kwa hali ilivyo kwa sasa na maendeleo yaliyofikiwa tukae chini na kufikiri kwa makini tuchague CCM kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.
Tusifanye ushabiki na wala tusifanye hamaki na kuchagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.