Sera mojawapo ya CHADEMA ni majimbo. Maana yake halisi ni kuwa watu wenyewe kwenye maeneo yao, yawe mikoa au wilaya, ndio wawe wanachagua au kuwateua viongozi wao, kama wakuu wa mikoa, wilaya na...
KWANINI NISIICHAGUE TENA CCM?
Na, Robert Heriel
Ni lazima tuIchague tena CCM kwa kura nyingi za kishindo. Sisi wanaume, wake zetu, vijana wetu wote tutamchagua. Hatuwezi kuchagua vyama vingine...
Wakuu leo nimekuja na kibwagizo kipya. Kwanza tunaweza kukiri kuwa katika mambo ambayo ni makosa na ambayo hayawezi kuvumilika hata mbele za mwenyewezi Mungu ni kitendo cha mwanadamu kutoa uhai...
Naona pesa za walipa kodi zilikuwa zimekwapuliwa na CCM. Baada ya wananchi wa uvinza kulalamika, mkuu katoa amri hizo pesa zitolewe ndani ya wiki moja na ujenzi wa barabara uanze.
Swali ni je...
Vijana wengi wanaacha masomo ya Chuo Kikuu kwa sababu asilimia ndogo sana ndio hupata mikopo. Sera ya CCM ni kuwapa mikopo mayatima tu. Soma sera hii ya CHADEMA halafu fanya chaguo sahihi kwa...
Mgombea Urais wa JMT, Dkt. John Magufuli yupo Kigoma leo Septemba 18, 2020.
Updates zote zitawekwa hapa:
Video: Ngoma ya kinamama wa kabila la Wabembe wa kata ya Kitongani Kigoma mjini...
Ndugu zangu,
Sasa sio siri tena kwamba kwenye "online polls" zilizoanzishwa Facebook,twitter Instagram na wafuasi wa Chadema na hatimaye kupigiwa kura na wana-Chadema Tundu kapata kura za...
Tume yetu ya uchaguzi imekua kimya sana kuchukua hatua kwa kauli tata zinazotoka kwa Wagombea katika uchaguzi huu. chaguzi hasa Barani Afrika hazijawahi kuwaacha salama waafrika na bila ya...
Ukikutana na Mtanzania kipindi ambacho sio cha uchaguzi, unaweza fikri chama tawala kitaondolewa madarakani.
Mkulima atalalamika kuhusu bei mazao yake, atakwambia namna serikali isivyo mjali kwa...
Ni habari njema umerudishwa baada ya kuenguliwa kihuni. Utashinda ubunge na wala mabasi ya kupeleka watu misibani anayotoa Abood si hoja kwa wana Moro.
Hofu yangu ni kuwa utashinda lakini kwa...
Na: Giantist McWenceslaus
20/09/2020
Dodoma
www.ccmmpya.org
Habari za muda ndugu wanabodi wenzangu. Ikiwa tumebakiwa na siku 38 za kutimiza ule wajibu wetu na haki yetu ya kikatiba wa kwenda...
TAREHE: 19 SEPTEMBA 2020
Ndugu Wananchi na Wanahabari, Mnamo Tarehe 26 Agosti 2020, Jumuiya ya Wanataaluma ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) ilitoa tamko ambalo pamoja na mambo mengine...
Mwenyekiti wa CHADEMA na mgombea wa ubunge jimbo la Hai mhe. Freeman Aikaeli Mbowe ameonekana mara chache sana kwenye jukwaa la siasa kumnadi Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya chama hiko.
Mpaka...
Hawa watu hata mgombea wa Urais wa CHADEMA alipofika Kawe hakupata watu wengi kama hawa.
Wakuu Kawe imepata mtu sahihi, leo Bunju A imesimama. Hizi picha za asubuhi wakati mkutano haujaanza Bunju...
Mimi ni mmoja wa watumishi wa Serikali tuliobainika kuwa na vyeti feki kwenye zoezi la uhakiki wa vyeti feki lililofanyika mwaka 2016.
Nakumbuka takribani watumishi 9000 tulikumbwa na hili sakata...
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi...
Ili kujenga Taifa makini lenye ustawi na maendeleo, huduma za afya ni muhimu sana ili kuhakikisha wananchi wanakuwa na afya bora ili kuwawezesha kushiriki katika shughuli za maendeleo ya nchi...
Anaitwa Dkt. Juma Mohammedi, mtu pekee anaetosha na aliekusudia kuwaletea mageuzi na naendelea ya ukweli wana Tunduru Kaskazini, wengi ni watashangaa analetaje mageuzi ya kimaendeleo katika jimbo...
MAPOKEZI YA TUNDU LISU KIBONDO JIMBO MUHAMBWE
Takwimu za Haraka : Idadi ya Watu: Huduma za Kijamii: Maendeleo ya Watu : Maendeleo ya Vitu : source : Mwanzo
Idadi ya Watu kutokana na sensa ya...
Wapwa
Nilikua naangalia TBC hapa, mbatia kaanza kutema cheche wakakata fasta wakapeleka kwa rungwe
Huku rungwe anasema elimu bure tunadanganywa, gharama bado ni nyingi na mzigo kwa watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.