Pamoja na mengi sana yanayoendelea kwenye kampeni lakini nina sababu tatu tu zitakazonifanya niwapigie kura wagombea wote wa CCM.
Kwanza ni kitendo cha kuufikisha umeme kijijini kwetu kwa mara ya...
Mimi sio mwanaCCM ila ninakumbuka hivi majuzi tu walipoketi wanaCCM kwenye mkutano wa kumpitisha mgombea wao wa kiti cha uraisi kuna mjumbe mmoja kutoka mkoani Ruvuma kama sio TUNDURU mjumbe mmoja...
Kiongozi huyu alikua akijinasibu kwamba ana kundi kubwa ndani ya ccm aliyowaita ccm asili ambao hawakubaliani na mwenyekiti wa sasa na wako tayari kuungana nae kupindua meza .
Chakushangaza...
Tanzanian citizens will go to the polls on October 28, 2020, to elect the President, Members of Parliament (MPs) and local Councilors. For close to five years now, Tanzania has been preparing...
Ni jambo jema.
NEC imempitisha bila kupingwa Ridhiwani Kikwete kuwa Mbunge wa jimbo la Chalinze baada ya mshindani wake kutoka chama pinzani kujitoa.
Source Swahili times
Maendeleo hayana vyama!
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza.
Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema ni yeye akampigia kampeni maalimu Seif...
Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015, kodi ya majengo (property tax) iliyokuwa inatozwa kila mwaka na serikali za mitaa (LGA) kwa kila nyumba/jengo ilitegemea thamani ya nyumba...
Imetolewa na Said Said Nguya
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ameeleza kuwa baadhi ya wanasiasa mpaka kuisha kipindi hiki cha Kampeni, wataokota makopo kwa...
Tanzania ya leo sio ile ya miaka ya nyuma ambayo watu wengi walikuwa hawawezi kupata habari kwa urahisi kama ilivyo hii ya leo. Miaka ya nyuma radio station ilikuwa moja tu na hata Tv stations...
Hili swali halikuwahi kunifika mpaka mgombea urais wa CCM kufika Kigoma. Mambo yalikuwa hivi:
*Magari kama Coaster na mabasi yalikodiwa kuchukua wananchi kutoka vijiji mbalimbali. Nina rafiki...
Kuna bango moja la Mgombea wa kiti cha Urais, Mh. Magufuli linasema eti Magufuli ni mnyenyekevu!
Nilipoliona bango hili, nikashtuka sana. Nikajiuliza maswali mengi:
1) Ni Magufuli mwenyewe...
Kuna kijana mmoja kampeni meneja wa John Pambalu huko Mwanza ana trend Sana YouTube, anasema, " ukitaka kumuua mbwa mpe majina yote mabaya"
Hii Ina maana gani?
Kwangu Mimi, nakubaliana na slogan...
Members I salute!
Ni hakika katika uchaguzi huu wa 2020 mgombea urais kupitia cdm atasababisha chama chake kuanguka vibaya sana kwenye sanduku la kura kwa zifuatazo:
1. Lisu hatumii akili ya...
Members, Ushahidi wa video umeambatanishwa ukionyesha jinsi wanachama wa CCM wakikebehi na kudharau taratibu na kanuni za kanisa katoliki kwa kugeuza muundo na mifumo na kuwa kiitikio cha ccm
Rai...
Kuna Clip imetrend ikimuonesha mgombea wa chama cha CHADEMA akimkaribisha bwana Msofe mgombea wa udiwani kwa tiketi ya CCM apige kampeni katika kikao cha ndani cha chama.
Kama taifa inatakiwa...
Mwanachama nguli wa CCM ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa nilitegemea awe kwenye timu ya kampeni ya CCM wakati huu jahazi linapoelekea kuzama.
Au yeye ni kati ya Askari wa Akiba...
Mji mkongwe wa kibiashara uliopo mpakani mwa Zambia na Tanzania ni Kama umetii amri baada ya shughuli zote kusimama huku Maelfu kwa maelfu ya wapenzi na wanachama wakiendelea kumlaki kwa nderemo...
WANANCHI WA KIJIJI CHA MPETA TARAFA YA NGURUKA WILAYANI UVINZA MKOANI KIGOMA WAMESIMAMISHA MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS, BI. HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI NA KUELEZA CHANGAMOTO ZAO KATIKA TARAFA YA...
Jana Tarehe 18/09/2020 Mgombea wetu wa Urais Tundu Lissu alikuwa na ratiba ya kufanya Kampeni katika Mkoa wetu wa Katavi maeneo ya Majimoto katika jimbo la Kavuu Wilaya ya Mlele na Mpanda MJINI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.