MGOMBEA WA MAKAMU WA RAIS, BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI AGAWA KADI KWA VIJANA WA UVINZA TARAFA YA NGURUKA MKOANI KIGOMA
Makamu wa rais, Bi. Hamida Abdallah Huweishi amefika katika tarafa ya...
Ndugu zangu,
Kama haikuwa unafiki Zanzibar pale Tundu Lissu alipoamua kukitosa chama chake na mgombea urais wao na kumuunga mkono Maalim Seif, basi aendelee atakapokuwa Kigoma kwa kumnadi Zitto...
Kampeni zinaendelea na leo Chama cha ACT-Wazalendo wanazindua kampeni zao Lindi, wagombea wote kwa upande wa Jamhuri na Zanzibar wameshawasili uwanjani na kwa sasa kikundi cha burudani kutoka...
“Tumepata taarifa kwamba zipo Taasisi za Umma zinaratibu na kugharamia Kampeni za Mgombea wa CCM Ndugu Magufuli, tunakamilisha uchunguzi na ushahidi tutaweka hadharani”. @salummwalimtz Viwanja vya...
Habari wana JF wenzagu. Huu ni mwaka wa Uchaguzi mkuu na tarehe 28.10.2020 ni kama imekaribia hivi ili maamuzi ya wananchi yatimie katika
Kisanduku cha faragha cha kupigia kura.
Ila ni kama...
ORODHA KAMILI YA VITI MAALUM UBUNGE NA UDIWANI KUTOLEWA BAADA YA USHIRIKI WA KAMPENI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ametoa msimamo wa Chama katika kuteua...
Kama umeangalia vizuri utaona kwamba rufaa zinakubaliwa na zingine zinakataliwa. Ukiangalia idadi ya zinazokubaliwa na kukataliwa, hasa kwa ubunge utaona kwamba idadi ya zinazokubaliwa na...
Tunapoelekea siku ya uchaguzi mkuu mwaka 2020, Raia na Wananchi wengi wenye vyama na wasio na vyama wana hasira za kuindoa serikali ya Chama Cha Mapinduzi hali ambayo inaweza kusababisha kura...
Habari wanaJF, leo nipo hapa kumshauri mgombea ubunge jimbo la Ubungo, ndugu Boniface jacob jinsi ya kubadilisha mikakati ili aweze kulibakiza jimbo la Ubungo chini ya CHADEMA. Watu wengi wa...
Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima...
TAFAKARI YANGU
Mwaka huu Tanzania itafanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Na tayari tuko kwenye kampeni kwa ajili ya uchaguzi huo kwenye ngazi zote zinazohusika.
Uchaguzi huu ndio...
Nimeona mitandaoni mgombea Bubu wa CHADEMA anamwaga sera kupitia kwa mtafsiri. Nimevutiwa sana nae. Naombea ashinde. Hivyo naomba Lissu aende kumsaidia.
Kila alipopita Mgombea wa Urais wa CCM akipita wa CHADEMA mahudhurio wananchi waliofikia umri wa kupiga kura inakuwa ni mara mbili,Ni ukweli usio pingika ambao utadhihirishwa kwa usahihi zaidi...
To be honesty CHADEMA is there for God purposes and The miracles.
In five years, CHADEMA faced a lot of challenges such most of their leaders shifted from CHADEMA to CCM without any critical...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Kiswahili lugha ya mama zetu iliyo shehenishwa na semi mbalimbali, ama kwa hakika ni kitamu kweli kweli.
Hujafa hujaumbika, utavuna...
Wakuu habari zenu,
Nimeangalia hali ya kampeni inavyokwenda na nikasema ni vyema nilete machache niliyopata kujionea.
1. Upinzani unategemea umaarufu na uwezo wa mtu binafsi na sio kujiimarisha...
Kwa masikitiko makubwa naomba kulaani vikali kitendo cha Mgombea mwenza wa CHADEMA cha kuwafokea Askari Polisi walipomkumbusha kuwa muda wake wa kampeni kwa siku ya jana umekwisha. Yaani saa 12...
Nawasilimu wakazi wa JF!
Kuna picha zipo mtandaoni Lumumba wakiziona wanaumia mara mbili.
Hizi ni kama za Tundu Lissu akionesha Tabasamu lenye kuashiria Ushindi, Uso wa Lissu ni wenye furaha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.