Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Salamu kwako Tundu Antiphas Lissu, Shalom, Leo napenda kukwambia rasmi kuwa , Kura yangu iko kwako! Na hii ndo sababu yangu kuu ya kukupa kura! Katika maisha yangu nimekuwa nikifanya utafiti...
48 Reactions
68 Replies
5K Views
Katika kampeni zinazoendelea, nimeona zinakibeba chama cha mapinduzi kwa sehemu kubwa, kwani viongozi wanaogombea bado wanako madarakani na wamekuwa wakiendelea kutoa maagizo kwa mamlaka zilizo...
57 Reactions
114 Replies
10K Views
Katika majimbo yenye mchuano mkali ni Vunjo yupo Dkt. Charles Kimei wa CCM, Augustino Mrema wa TLP, James Mbatia wa NCCR- Mageuzi na Grace Kiwelu wa Chadema. Mwazoni ilionekana mchuano ulikuwa...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Leo Waziri Mkuu alivyokuwa Lamadi akielekea Bunda ameongea maneno mazito sana kuwa Serikali ya JPM imenuia kuhakikisha kila kaya ina umeme Iwe ya nyasi tembe mbavu za mbwa zote zitawekewa umeme...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Magufuli alituahidi akipata Urais matajiri wataishi kama mashetani. Mpaka sasa matajiri kibao wamefilisiwa mali zao kikatili wengine wamefungwa magerezani bila hukumu ya Mahakama na biashara...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli amesema maendeleo hayana chama lakini unachagua chama na kiongozi atakayekuletea maendeleo ya kweli Ameyasema hayo alipokuwa Kasulu...
3 Reactions
59 Replies
8K Views
Sitaki niwachoshe kwa maneno mengi. Nawaambieni tu kwa kifupi na kwa uhakika. Bakuli la michango analolitembeza mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu si la kubezwa au kumezwa. Yaweza kuwa ni kwa kujua au...
133 Reactions
221 Replies
14K Views
Kiongozi wa Chama, Ndugu Zitto Kabwe leo Septemba 18, 2020 atahutubia mkutano wa hadhara wa kampeni za mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtwara Mjini, Ndugu Hassan Uled. Muda: Kuanzia Saa 8:00 hadi saa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
MAPEMA Juma hili tumesikia baadhi ya vyama vya siasa nchini vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2020 vikitoa maneno makali dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kile ambacho wao wanasema kuwa...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Sera ya Afya ya Tanzania inataka kama ifuatavyo: 1. Kila mkoa kuwa na Hospili ya rufaa 2. Kila wilaya kuwa na Hopsitali ya wilaya 3. Kila kata iwe na Kituo cha afya 4. Kila Kijiji/vitongoji kuwe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa ngazi zote za Urais, Ubunge na Udiwani. Kama chama tawala kinachoomba ridhaa ya miaka mitano mingine, tukeshe tukiomba kuwa hawa wafuatao wasiende kupiga kura Oktoba 28 mwaka huu. Wakienda na...
61 Reactions
111 Replies
10K Views
17 September 2020 CHADEMA YAAHIDI KUMTUNZA RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KAMA RAIS MSTAAFU WA 5 Chama kikuu cha upinzani Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeahidi...
35 Reactions
64 Replies
8K Views
Mimi mzee Shomari nasikitika sana kuwa CHADEMA wanaweka mgombea urais ambae hana huruma kwa watu masikini na tusio na uwezo kama mimi. Mimi nauza kahawa,kuna mama mama ntilie, kuna wamachinga na...
9 Reactions
110 Replies
6K Views
Habarini wapiga kura wenzangu. Jana nilipata fursa ya kuhudhuria mkutano wa Kampeni wa mgombea wa CHADEMA ndugu Tundu Lissu, kiukweli watu walijitokeza wengi sana kumlaki na walionesha...
17 Reactions
51 Replies
5K Views
Mwaka 2015 CHADEMA walipoteza kura nyingi sana kwa kuwa hapakuwa na mawakala serious wa kura za Urais. Ilikuwa mawakala wako kwa ajili ya wabunge na udiwani. Mara diwani na mbunge akishapata...
10 Reactions
11 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili...
23 Reactions
140 Replies
16K Views
Mara ya Mwisho kumsikia Mbowe ni pale Mbagala alipowafokea TBC na kuwatimua mkutanoni siku ya uzinduzi wa kampeni za Chadema. Sijamsikia tena toka hapo, ni kama vile ana kitu moyoni. Lisu...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
NITAIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI, KUFANYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI"PROF.LIPUMBA" KALIUA TABORA. Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana. Kwa mujibu wa Ripoti ya Benki ya Dunia ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima sana wanajamvi, Mbio za ubunge katika jiji letu la Arusha sasa zipo wazi kabisa kiasi kwamba hata kipofu ni rahisi kujua na kufahamu nani atashinda ubunge. Mara baada ya Mheshimiwa...
53 Reactions
171 Replies
16K Views
Back
Top Bottom