Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Sasa, sasa: kama kweli Mgombea huyu wa Upinzani ni jasiri wa kutosha na mwenye uchungu na sisi wavunja jasho na walipa kodi wa nchi hii, atuahidi hadharani katika kampeni zake kwamba tukimchagua...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais amesema anashangaa sana kuona mtu anajitokeza kumpinga Dkt. Mpango, kwani kwa namna Dkt. Mpango alivyosimamia uchumi vizuri, hakupaswa kupingwa na mtu yeyote. Cha ajabu ni kwamba, muda mfupi...
22 Reactions
129 Replies
13K Views
Wakuu natanguliza salamu , Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA zinaendelea leo tena Mkoani Songwe na Rukwa . Endelea kubaki hapahapa JF kwa habari za uhakika ======= Laela , Momba Kumekucha...
25 Reactions
99 Replies
14K Views
Mpaka sasa sijasikia siasa za majitaka wala kuongelea maisha binafsi ya wagombea. Nakumbuka uchaguzi wa mwaka 2010 mgombea mmoja aliambiwa eti kaiba mke wa mtu. Uchaguzi wa 2015 mwingine...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia kauli za Bernard Membe kuanzia alipoteuliwe kuwa mgombea wa ACT Wazalendo. The man is very soft. So naive. Bora hata Lowassa wa 2015. Yaani anaongea kama ananong'oneza...
15 Reactions
68 Replies
6K Views
Kama kawaida yake mzee huyu huwa hapendi kumumunya maneno, muda wote yupo busy akifanya shughuli yake inayompatia kipato. Na hapa ndipo huwa anaamua kushusha nondo za ukweli. Waliokuwa wabunge wa...
14 Reactions
81 Replies
6K Views
17 September 2020 Mbeya Vijijini Tanzania Kamanda China wa China Joseph Mwasote Mgombea wa ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA kamanda Joseph Mwasote hatimaye azindua kampeni yake ya 2020 baada...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Tulimsikia alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni, huko Bariadi akimuahidi Mzee Andrew Chenge, ambaye alishinda kura za maoni jimboni kwake, kuwa atampa nafasi "nzuri" ya uteuzi, miongoni ya nafasi...
23 Reactions
66 Replies
7K Views
Kuna tofauti kati ya fasihi Andishi na Simulizi. Sera za vyama zimeandikwa na kuchambuliwa kwenye vitabu. Ukiachilia mbali kwamba sio wote wanaweza kupata vitabu hivyo lakini pia sio wote...
72 Reactions
111 Replies
7K Views
Salaam, CHADEMA wamekuwa na tabia ya kumzushia mambo mengi mabaya Rais wetu na mgombea wa CCM. Mfano jana eti wamezusha kuwa rais wetu alizomewa kule Kagera. Cha kushangaza hata video za...
16 Reactions
97 Replies
7K Views
BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, mazingira magumu ya Siasa kwa sasa, yamesababisha marafiki na wafanyabiashara kushindwa kuwasaidia. Na kwamba...
20 Reactions
185 Replies
17K Views
Kauli za CHADEMA kuhusu Kunyimwa Uhuru wa Kuandamana na Uhuru wa Tume ya Uchaguzi Zinakinzana na Uhalisia. Katika baadhi ya nguzo wanazojiandaa nazo kwa kusimama kidete kuelekea kampeini za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TABORA KASKAZINI HATUJAPATA MBUNGE MAKINI WA KUTATUA CHANGAMOTO ZETU, NICHAGUENI OCTOBA 28 NIPIGE KAZI "KAPASHA HAJJI KAPASHA" Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora Kaskazini, Kapasha Hajji Kapasha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Tundu Lissu akiwa Rukwa - Sumbawanga Mjini kwenye kiwanja cha Ndua.." Mheshimiwaa Tundu Lissu ameongea na maelfu ya wakazi wa Rukwa hapa Sumbawanga. Ifuatavyo ni sehemu ya Hotuba yake...
25 Reactions
91 Replies
10K Views
NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"ILOLANGULU AKIPITA KUSALIMIA. Nitahakikisha kuwa kila...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Katika hali inayoonekana kulewa madaraka na utovu wa nidhamu nchini, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Kheri James ametoa maneno yasiyo na staha kwa viongozi wetu wa kiroho nchini kwa kuwaambia kuwa...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Mimi nafuatilia kwa umakini sana hoja za wapinzani wetu ADC,NCCR MAGEUZI, CHADEMA, SAU, ACT WAZALENDO, CUF, kwa Leo nimemfuatilia kwa umakini sana Tundu lisu labda pengine angekuwa na jipya la...
19 Reactions
94 Replies
6K Views
MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 16, 2020 ameendelea kupiga kampeni, ambapo baada ya kumaliza wilayani Chato, mkoani Geita, Muleba leo yupo Bukoba Mjini...
23 Reactions
405 Replies
86K Views
Nafuatilia kampeni za Uchaguzi Mkuu, sina shaka yoyote kuwa upinzani haujawa tayari kupewa ridhaa na wananchi kuongoza nchi hii. Kwa sababu kuu zifuatazo, Bunge la kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA leo tarehe 14, aneongea na waandishi wa habari na kuwajulisha kuhusu hali ya kuenguliwa kwa wagombea wao kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge na Udiwani. Mnyika amesema kuwa...
9 Reactions
60 Replies
5K Views
Back
Top Bottom