YALIYOMO;
1. UTANGULIZI
2. VIPAUMBELE VYA SERIKALI YA SAUTI YA UMMA(SAU)
3. AFYA
4. ELIMU
5. MAJI
6. KILIMO MIFUGO NA UVUVI
7. MALI ASILI
8. MIUNDO MBINU
9. VIWANDA NA BIASHARA
10. SANAA UTAMADUNI...
Hili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.
Yaani Wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu, bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na...
MKUTANO WA MGOMBEA URAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA CHATO, GEITA UKO LIVE
===
MAGUFULI: Ndugu zangu wa Chato na Geita kwa ujumla, mwaka 1995 nilikuja kuomba kura kwa nafasi ya ubunge...
UVUNJIFU NA UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU NI TATIZO KUBWA HAPA TANZANIA "PROF.LIPUMBA" IGUNGA TABORA
Uvunjifu na ukiukwaji wa Haki za binadamu ni tatizo kubwa nchini Tanzania.
Hakuna chombo...
Wahenga wanasema usimdharau mtu usiyemjua. Sababu huwezi kujua huyo mtu anajua nini au ana maarifa gani kukuzidi wewe. Mzee Shomari japo ni muuza kahawa anajua mambo mengi. Ni mzee darasa la nne...
Siasa ya Musoma mjini October 28 itakuwa ni uamuzi mkuu wa wana Musoma kumrudisha Mathayo au kumpa nafasi Kamanda Julius Gabriel Mwita.
Muonekano katika kampeni ya Mwita ya Juzi kata ya...
Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha.
Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa...
Leo tena Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 anazidi kusonga mbele na kampeni zake za kuwaomba wananchi wamchague kwa kura nyingi mno ili aweze kuleta Uhuru kamili .
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Viongozi wengine wa Serikali hawapaswi kuingia vituo vya kupigia, kuhesabu au kujumulishia kura. Viongozi hao...
CHADEMA, na wapinzani wote kwa ujumla, kila dalili inaonesha nyie ni zaidi, mshindani wenu Mkuu CCM anaonesha kila dali ya uoga, kutokujiamini na kukata tamaa. Hana uwezo tena, anajishika na kila...
Leo, Septemba 9, 2020 - mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu A. Lissu anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari.
Haya ni baadhi ya aliyoyasema:
======
Waandishi mmekuwa mnogopa...
Nimefuatilia sana sera za hivi vyama viwili nimegundua kuna tofauti kubwa sana na hii inaweza kutuchanganya sisi wapiga kura tusijue sera ipi inatufaa kwa maslahi yetu. CCM wao wanasimamia...
Kiukweli kampeni za mwaka huu zaweza kuwa fundisho kubwa sana kwa dunia, kwamba unaweza kudhibiti watu kwa kutumia polisi na wakakuangalia tu kama mabwege hivi lakini kumbe wamekutega mahali...
Kampeni za vyama mbalimbali vya siasa zimeendelea kutimua vumbi maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Leo naomba nitoe dukuduku langu kwa uchache sana. Kwa mshtuko sana nimesikitika kuona baadhi ya...
Watanzania hawajawahi kuwa wajinga hata siku moja, ni fikra za CHADEMA tu kuwa kanyomi ka Lissu kanaweza badilisha uhalisia kuwa Magu hana mpinzani. Tuwe Wakweli kwenye nafsi na tusijifariji huku...
Na John Marwa, Darmpya Blog
Mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Profesa Kitila Mkumbo, amewaahidi wafanyabiashara na wakazi wa kata ya Manzese kuwa ataboresha...
DC Bunda atoa agizo kwa wenyeviti wa mitaa, vijiji - uchaguzi mkuu
Mkuu wa Wilaya ya Bunda mkoani Mara, Lydia Bupilipili amewataka wenyeviti wa mitaa na vijiji wilayani humo kusimamia masuala ya...
Ujue Chadema mtafuta sana kura na mnakusanya watu, lakini mnafahamu tulimpoteza Aqwillina kwa sababu gani?
Mnawaandaje MAWAKALA wenu wa kuhesabu kura kuhusu kurubuniwa, kuoapishwa na kunyimwa...
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt Charles Mahera amesema kwamba "Kama tume tunaweza kuamua kuwafungia hata kufanya kampeni, wagombea wa vyama ambao kazi yao ni kusambaza matusi na sio sera kwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.