Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa
Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura
NI KWA NINI NAOMBA RIDHAA YA KULIONGOZA TAIFA? PROF.LIPUMBA
Na Profesa Ibrahim Haruna Lipumba
"Tunahitaji kuwekeza kwa watu, ili watu wawekeze kwenye vitu”
Tangu...
1. ILANI YA CHAMA CHA NATIONAL CONVENTION FOR CONSTRUCTION AND REFORM (NCCR-Mageuzi) ITAKAYOTUMIKA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
UTANGULIZI:
Mabadiliko ndiyo kitu pekee kinachodumu, na...
Nimekua nikifuatilia kampeni tangu zianze. Niseme kwamba kampeni za mwaka huu zinautulivu kuliko kampeni za 2015.
Kuna vitu vichache ambavyo vinahitaji kukemewa.
Kitendo cha mtu kuzomea, kuzuia...
SEPTEMBA 5: CHAUMA KUFUNGUA RASMI KAMPENI MANZESE, DAR
Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe ametangaza kufungua rasmi kampeni za chama chake viwanja vya Bakhresa vilivyopo Manzese Dar es...
Mgombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Dkt. Tulia Mwansasu amechukua fomu ya kugombea ubunge huku akisindikizwa na maelfu ya wananchi wengi kuliko walioenda kwenye udhamini wa mgombea urais...
Watanzania
Tusomeni ilani ya vyama vya siasa, tusije kusema hatukuambiwa au hatukona
ILANI YA UCHAGUZI CCM
https://www.ccm.or.tz/website/ilani/ILANI YA CCM 2020.pdf
ILANI YA UCHAGUZI CHADEMA...
Hii ndio habari iliyozagaa mitaa yote ya jimbo la Ubungo, kwamba yule mwamba wa siasa za Ubungo ambaye pia ni Meya mstaafu, yule aliyewekewa pingamizi la kizushi, leo anaanza rasmi amsha amsha.
Hotuba ya Mkurugenzi Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles katika ufunguzi wa kikao cha Tume ya Taifa ya UIchaguzi na watoa huduma ya habari mitandaoni katika ukumbi wa Mikutano wa Mwl. J. K...
Ndugu Tundu Lissu mgombea wa CHADEMA unapokuwa jukwaani unaongea kwa jazba na kuonyesha kuwa wewe hutaki ufisadi na matumizi mabaya. Tena unaongea kwa kukakamaa kama unataka kumkaba mtu...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Treni la uchaguzi linapozidi kuchanja mbuga si haba kukumbushana tunapojikwaa hapa na pale ili miradi tuweze kufika salama. Katika...
Akiwa mkoani Iringa leo tarehe 13 Septemba, Lissu amesema "Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania"
=====...
Ukitaka kujua watu wana mapenzi gani na timu iwe Simba au yanga angalia uwingi wa uvaaji nguo za timu kwenye uwanja.
Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama...
Nimepita juzi kwenye Meza ya magazeti nikastaajabu kidogo.
Habari kuu za magazeti yote ni za Mgombea wa CCM.
Rangi ya kijani imetapakaa Meza nzima yani kama ukiangalia kwa mbali unaweza kudhani...
Kama siyo mbinu ya JPM Kupiga Marufuku mikutano ya kisiasa tangu Alipoingia Madarakani, sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine kabisa, Nina Imani hata kitendo cha kuvunja katiba ya Nchi makusudi ni...
Rais Magufuli leo yupo mkoani Kagera akitokea Chato kuendelea na kampeni za kuwania Urais kwa muhula wa pili. Hizi ni baadhi ya picha za Rais Magufuli akiwa anaongea na Wananchi alipokuwa njiani...
Katibu Mkuu wa CCM(T) Msomi Dkt. Bashiru Ally anatarajiwa kuwepo katika kipindi cha TV cha Dakika 45 (ITV).
Unakaribishwa kusikia
1 - Mambo makubwa yaliyofanywa na CCM Kimataifa, kikanda, kitaifa...
Umuhimu wa vijana kupiga kura
Kupiga kura. Neno linalofafanuliwa kama " maoni au upendeleo." Dhana inayojulikana na Watanzania wote kwa kuzingatia mambo yetu mengi juu ya nchi hii huamuliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.