Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa...
Kiukweli uchaguzi wa mwaka huu tutasikia mengi.
Mgombea urais wa SAU Mh Mutameghwa amesema endapo atachaguliwa basi deni la taifa halitagawanywa kwa wananchi bali viongozi na wananchi watagawiwa...
NITASIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA"TABORA MJINI
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili...
Ni dhahiri kuwa Arusha ni mkoa wa kitalii Tanzania, kwa vivutio vilivyopo Arusha bila shaka Africa nzima hakuna jiji lenye vivutio vingi kama Arusha. Arusha ina vivutio vifuatavyo kwa ukaribu...
Katika kikao chake cha tarehe 13, 2020, NEC ilipitia na kufanyia uamuzi rufaa za Wagombea Udiwani kupitia Wasimamizi mbalimbali wa #Uchaguzi nchi nzima
Tume imezipitia, kuzichambua na kuzifanyia...
14 September 2020
Iringa Mjini
MGOMBEA UBUNGE IRINGA MJINI ROBERT KISININI "AFUMANIWA" AKIFANYA HAYA
Mwaka 2020 huu yupo NCCR-MAGEUZI akitumaini kuchaguliwa kuwa mbunge
HISTORIA MWAKA 2015...
TUSIPOTOSHE UMMA RAIS MAGUFULI YUPO TAYARI KWA MDAHALO, SI VINGINEVYO.
Wasalaam wana JF.
Natumia fursa hii kutoa ufafanuzi na maelezo yanayojitosheleza dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Video iliyoambatanishwa hapo chini ni ya Dkt. Wilson Mahera alipokuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha Mjini alipokuwa akiongea na Makada na Viongozi wa CCM na kusisitiza kuwa yeye [na...
MKINICHAGUA KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA" IGALULA TABORA
Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na...
Bila ya shaka humu wapo manguli wengi tuu wa vyama pinzani. Na wamekuwa wakipigana vita hivi kwa muda mrefu tuu na hawakuweza kufua dafu.
Baba angu "lipumba, lissu nk huku mwisho wa siku...
Aombe msamaha Watanzania kwa ile biti ya hatari aliyoichimba maana Watanzania wote kutoka katika vyama vyote na wasio na vyama, haja kubwa ilikuwa inagonga nguo za ndani kwa hofu.
Watanzania...
1. Nini tathimini ya Tume kuhusu mchakato mzima wa kupokea na kurudisha fomu za wagombea, mapingamizi na rufaa kwa wagombea hasa kwa nafasi za Ubunge na Udiwani?
2. Nini tathimini ya Tume kuhusu...
PROF. LIPUMBA KUUNGURUMA UYUI NA TABORA MJINI LEO
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Lipumba,Leo septemba 15,2020 atafanya kampeni katika mkoa wa Tabora katika wilaya mbili...
Wakuu amani iwe kwenu,
Bila shaka wengi wetu wameona kauli mbiu hizi kwenye mabango ya wagombea mbali mbali hasa wa chama cha mapinduzi (CCM). Mgombea wa Urais Zanzibar kwenye bango lake kuna...
Kinachofanya uonekane unakashikashi ni mitandao tu ya kijamii.
Ila huko kwenye uhalisia utadhani hatuko kwenye Uchaguzi.
Napita mitaani hakuna anayezungumzia. Ukiacha mabango ya CCM ambayo...
Salaam Wakuu,
Chama cha sauti ya umma (SAU) Kimezindua Kampeni na Ilani kwa Vitendo, Baada ya Kutumia Trekta kama mfano wa Jinsi Watanzania Watakavyokuwa Wanalima Pindi Wakipewa Nafasi ya...
Mgombea UMD kufuta vitambulisho vya taifa
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mohamed Mazrui, amesema iwapo atapata ridhaa ya kuongoza Tanzania, Serikali...
Hakuna kikundi cha ajabu kama hawa wenzetu waliookoka na kuwa ni watu karibu na Mungu. Ni vigumu sana kuwatenganisha na mchungaji wao. Tumeona na kusikia mengi sana.
CCM nawapongeza sana hasa...
Ndugu zangu,
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman Mbowe ajitenga na kampeni za CHADEMA kuusaka Urais. Ikumbukwe mwaka 2015 Mbowe alishiriki kampeni za Lowassa...
Leo tarehe 15/9/2020, nitahutubia wakazi wa Arusha stendi ya Hiace Kilombero Sokoni. Mkutano ni saa nane mchana. Hakuna muziki wala nauli na unapaswa kufika bila kukosa. Karibuni wote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.