Nimekuwa nikiona baadhi ya members wakipiga sera na ahadi za Gwajima anazozitoa kwa wana Kawe kuwa hazitekelezeki kwa kigezo cha kushindwa kujenga jengo la kanisa lake.
Tukija upande wa pili...
UAMUZI WA MWISHO WA KUTENGUA UTEUZI WA MADIWANI ULIOFANYWA WA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI UTASABABISHA UCHAGUZI WA MADIWANI KUTENGULIWA NA MAHAKAMA.
Karibu maamuzi yote ya Wasimamizi...
Turudi nyuma kidogo. Wafanyabiashara wadogowadogo mnakumbuka mateso mliyoyapata tena kwenye ardhi yenu ya nyumbani Tanzania? Bodaboda, machinga na mama n'tilie. Mkabughudhiwa kufanya shughuli zenu...
Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya.
Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Palikuwa na haja ya kuwashauri baadhi ya wagombea kusitisha tu kampeni zao hasa hasa kampeni zenyewe zinapokuwa za gharama kubwa...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kondoa kimezindua rasmi kampeni zake za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kondoa Mji, Makoa Ally ambapo mgeni rasmi alikua Spika wa Bunge na Mjumbe wa Kamati Kuu ya...
Katika uzi niliowasilisha awali nilizungumzia kuhusu athari ya ilani ya CHADEMA kwa ndoa na ajira; katika uzi wangu wa pili nilizungumzia kasoro za kiuchumi katika ilani za CHADEMA na...
Hivi sasa unapotembea kwenye miji mikubwa hapa nchini utakutana na mabango ya wagombea wa CCM, ambayo yamebandikwa kila mahali, hadi kwenye vichochoro, hadi inatia aibu na kuleta kichefuchefu...
Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally amesema suala la mgombea kupitishwa bila kupingwa ni la Kikatiba na kwa maana hiyo CCM ni mnufaika au muathirika tu wa kanuni hiyo pale inapotumika.
Naye...
Chama cha Mapinduzi kimetoa Rai kupitia katibu mwenezi jimbo la Kawe kuwa wanachama wake wenye wenza kuondolewa katika mikakati ya ushindi baada ya kubainika kuwa miongoni mwao wanatoa siri za...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ambaye pia ni mgombea pekee wa Ubunge Jimbo la Tanga Mjini, Leo Septemba 2 ameshirikiana na mgombea wa Ubunge Jimbo la Muheza, Hamis Mwinjuma au Mwana F.A katika...
Kwako Ndugu Lissu
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nawe
Napenda kuchukua fursa hii kukushukuru kwa dhati ya moyo wangu kwa kitendo chako cha Utu na kupenda haki kwako kwa namna unavyotetea Viongozi wa...
Walioamua kuvizuia vyombo vya habari visimtangaze siyo wajinga.
Wanajua uwezo na ushawishi wa hoja alionao Tundu Lissu.
Doto Bulendu amejaribu kumbana lakini imeshindikana. Ameamua kuomba re-match.
Siyo siri kuwa hizi njama zilizofanywa na hawa wasimamizi wa majimbo, ambao ni makada waaminifu wa CCM, kuwaengua kihuni wagombea wa vyama vya upinzani, kwa wingi na baadaye Tume ya uchaguzi...
Mimi ni mpenzi wa Chadema wa kufa Mtu, naichukia CCM kuliko kitu chochote. Ndio kitu kinachoongoza kati ya vitu ninavyovichukia.
Lakini ikatokea Chadema ikashindwa kihalali kabisa bila hila wala...
Turn and watch now.
Mgombea Urais wa Chadema Ndugu Tundu Lissu alipata fursa ya kuhojiwa na Mwandishi wa habari Bi. Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kinachofanywa na kituo cha...
TULIPANDA TRENI YAKE, SASA TUTAPANDA BOAT. TUTAMCHAGUA
Na, Robert Heriel
Mara yangu ta kwanza kupanda Treni ilikuwa kipindi natoka Mwenge naelekea Bunju B, nikienda kumsalimia Mjomba huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.