Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa...
Jimbo la Ilala kwa muda mrefu sasa miaka 20 liko chini ya CCM kupitia Mussa Zungu, lakini kutokana na ushawishi wa Kijana anayegombea Jimbo hilo kupitia NCCR-MAGEUZI Nicolas J Clinton ni wazi...
MAANA YA UTAFITI
Utafiti ni njia ya kupata utatuzi wa suala fulani katika jamii na mazingira ya binadamu kwa njia ya uchunguzi unaotumia nadharia za kitaaluma na kisayansi.
Aidha utafiti ni njia...
MKINICHAGUA KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA" ILULA IRINGA.
Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na...
Ukiangalia kiundani unaona kwa nini CCM inaweza shinda uchaguzi huu kiurahisi sana.
Ni namna walivyojipanga katika Kampeni zao. Kila Mkoa na Wilaya unaona kuna mtu mwenye Ushawishi ndani ya...
MAPINGAMIZI YA UCHAGUZI NA HAKI YA KUWAKILISHWA NA MWANASHERIA
Ni raia yangu kuwa wagombea Urais, ubunge na Udiwani wapewe haki ya kuwakilishwa na wanasheria hususani mawakili katika mchakato...
Mimi na familia yangu tumejadili sana kuhusu nafasi ya Urais na tumekubaliana kwamba lazima Magufuli apumzike ameshatutawala inatosha miaka mitano ni mingi sana na ukizingatia ameshakula maisha...
Kwenye kampeini za ubunge kuna mambo na vitimbi huko lumumba.
Huyu hapa niwanachama wa ccm akiiumbua ccm na kuwaambia ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hali ya kuendelea na wito wake wa kuliponya Taifa kupitia kusema ukweli mchungu, Ndugu Tundu Lissu amewaeleza wananchi wa Ifakara na Kilombero mshtuko mkubwa alioupata baada ya kufahamu...
Huyu Tulia akson Tangu ateuliwe na Magufuli kama "mbunge wa Dar" (Ndipo alipo pigia kura ya meya), alianza maandalizi ya kupata ubunge wa kuchaguliwa, mwanzoni nguvu zote alizielekeza huko kwao...
UPOTOSHAJI WA ZITTO KUHUSU MIRADI
2. BANDARI
Mwaka 2017-2019..
Mikakati imefanyika kuimarisha BANDARI na Kuongeza Mzunguko bandarini.
a. Kupunguza Tozo za Bandari Lake Tanganyika(kutoka Dola...
Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha...
Yaani nipo hapa najiuliza sipati jibu ni mwananchi wa fani/aina gani atampa kura Magufuli mwaka huu.
Maana kama;-
WAFANYA BIASHARA.
Hawa wamenyanyaswa sana ndani ya miaka 5 hii iliyoisha, refer...
Kampeni za CCM 2020 tunazifanya kisayansi, tumegawanya viongozi waandamizi wa chama kwenye maeneo tofauti. Msafara mkuu unaongozwa na Dkt. Magufuli, msafara mwingine wa Mhe. Samia Suluhu, na...
Kuna kanuni zilizowekwa kwa mjibu wa sheria ya uchaguzi wa namna ambavyo wagombea wanatakiwa kuzifuata wanapofanya kampeni kushawishi kura za wananchi. Kabla ya kuteuliwa na NEC wagombea hawa...
SALUM MWALIMU: MNAAMBIWA MZAE WAKATI HUDUMA YA MAMA NA MTOTO NI MBOVU
Mgombea mwenza wa Urais kupitia CHADEMA, Salum Mwalimu akiwa Wilayani Same amesema, Rais Magufuli anawaambia watanzania wazae...
CHADEMA imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuanzia reli, zahanati, mashule, mabarabara nk
Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hio miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.