Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020.
Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama...
Kauli muhimu niliyosikia kutoka katika Msafara wa Gwajima ni hii nainukuu hapa chini:
"Yaani CCM na Mwenyekiti wetu hawajajifunza kutoka kwa Wagombea wa huko nyuma na bado tu wameendelea na Upuuzi...
Amani iwe juu yenu.
Uchaguzi ni ushawishi, Sera na misimamo ya mtu. Ili uchaguliwe inabidi uwe unauwezo wa kumshawishi mtu kupitia Sera zako na vipaumbele vyako. Waambie wananchi umefanya nini...
Sio siri tulio wengi tumejawa mate mdomoni na hatuamini hiki kinachoendelea kwenye mikutano ya chama cha CHADEMA.
Kutokana na Sekeseke kilichopata, Kazi kubwa ya kimaendeleo iliyofanya na CCM...
Ni kama game ni ya upande mmoja tu, kampa kampa tena na hakuna namna CCM inaweza kuambulia chochote bali kuna tetesi kwamba mgombea wao wa ubunge anafikiria kujitoa.
Hata ungekuwa wewe kwa hali...
Kabla kampeni hazijaanza tuliaminishwa na mimi nikaamini kuwa upinzani Tanzania umefutika kabisa.
Habari ya mjini ilikuwa CCM au Magu, kila ukigeuka kushoto, kulia, nyuma au mbele ni CCM au Magu...
Kama wahenga wanavyosema unapokuwa unaongea na watu unatakiwa uwe mwangalifu maana kauli yako inaweza kukuponza. Na hiki ndicho kinachotokea kwa mgombea wa Chadema. Mdomo na kauli zake zinazidi...
Mgombea Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki kupitia chama cha Nccr Mageuzi Evva kaaya amezindua kampeni zake kwa kishindo huku akimwaga Sera ya kusaidia wanawake watoto kupata haki sawa na...
TUNAHITAJI KUBORESHA SEKTA MUHIMU ZA UCHUMI NA KILIMO."PROF.LIPUMBA" MOROGORO
Historia ya maendeleo ya uchumi duniani inaonesha kuwa maendeleo ya viwanda hutanguliwa au kuambatana na mapinduzi...
Na Baraka Mina.
Waingereza wanasema “Seeing is believing” yaani “kuona ni kuamini”. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari John...
ILEJE NA SONGWE TUMESHASHINDA KWA TECHNICALITIES, SASA TUNAENDA MOMBA........
Na Elius Ndabila
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, macho na masikio ya watanzania wote ni kuelekea OCTOBER 28 ni nani...
Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.
Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.
Tuambie utafanya nini endapo...
Chama cha sauti ya umma (SAU) Kinatarajia kuzindua ilani ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kampeni zake siku ya tarehe 13/09/2020
Uzinduzi wa ilani utafanyika kizitendo katika eneo la KWAZOO kata ya...
Alichokifanya Polepole leo, ni kitendo cha aibu na kudhalilisha watanzania wenye maono ya kuona nchi yao inavuka kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine.
Dunia isingeweza kufanya mapinduzi...
Uchaguzi wa mwaka huu ulionyesha mapema kabisa kuwa CCM itashinda kwa urahisi sana. Hii ni kwa sababu kazi nzuri iliyofanyika ndani ya miaka minne ilikuwa ni kete tosha kwa CCM kutusua bila...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Malengo ya kampeni ni kuonyesha kwa nini mgombea mmoja anafaa kuliko mwingine. Kujinadi kwa wapiga kura na hata kupigana madongo kwa...
Jinsi kampeni zinavyoendelea mpaka sasa ninaamini kuwa asilimia 50 ya Wabunge wote wanaotoka Mkoa wa Mara watatoka upinzani. Nianze na Tarime Mjini, Rorya, Bunda Mjini na Tarime vijijini hali siyo...
Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa.
Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata...
Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu.
Tunakuambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.