Hello JF,
At least mdahalo unawapima Wagombea nafasi hivyo kumsaidia ama kumjulisha mpiga kura yupi anafaa kwa maoni yake.
Sasa hatuelewi hili la kutumia wasanii, lina lengo gani haswaa...
Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh. Membe (jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.
Membe ana uwezo wa kujenga hoja...
Huyu mama wa CCM jimbo la Segerea wana CCM wanamzomea kila mahali kwenye mikutano yako jimbo la Segerea. Kila anapopita anapata wakati mgumu mpaka anatamani kulia.
Katika kitu ambacho Kamati Kuu...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekiri kupoke rufaa za wagombea nafasi ya ubunge na udiwani zipatazo 557. Tume iliahidi kuanza kuzifanyia kazi kuanzia tarehe moja mwezi wa tisa na kutoa majibu japo...
Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu
Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:
1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge...
Kwa siku kazaa ndani ya week hii nimezunguka kilimeta nyingi katika majiji, municipal, miji na vijiji. Kwa mshangao mkubwa nimeshangazwa na uwepo wa mabango ya mgombea nafasi ya Urais kupitia...
Tundu Lissu ni moja ya wagombea wanaoendelea kujinadi maeneo mbalimbali kwa Watanzania akitaka achaguliwe kuwa Rais wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Namfuatilia sana Ndugu Lissu...
Tunashuhudia mengi sana kwenye kampeni ikiwemo wagombea wote kutumia njia tofauti tofauti kuweza ku wafikia wapiga kura.
Mikutano ya hadhara ni njia moja na kwa haraka haraka imeweza kuunganisha...
Hii ndo tafsiri ya CHADEMA kuwekeza katika maendeleo ya watu na sio Vitu:-
1. Kuuza ndege zote zilizonunuliwa na Magufuli.
2. Kusitisha Ujenzi wa Mradi wa SGR
3. Kusitisha Ujenzi wa Mradi wa...
Mataga ndio watu ambao hawana ufahamu kabisa kwa mambo ya uchambuzi wa siasa za Tanzania na Afrika.
Wakati wa Lowassa utawala wa Kikwete ulirihusu vyama kufanya siasa kwa Uhuru na uwazi kiasi...
Dalili ni hizi tatu miongoni mwa nyinginezo.
1. Speech ya Makamba kumjibu Lissu
Huyu mzee katoka mafichoni na kuja kujaribu kujibu hoja za Lissu!
Ni hivi: Mzee kaona jahazi linazama, kwahiyo...
Maumivu yanayotupatapa wanaccm kutokana na huyu bwana ni kuusema ukweli unaouma. Huyu jamaa hasahau na wala hapindishi kitu. Yaani mkuki moyoni inaumiza sana ndio maana hatumpendi.
Ni kweli...
Mimi Ni mpenzi wa CHADEMA wa kufa Mtu, naichukia CCM kuliko kitu chochote. Ndio kitu kinachoongoza kati ya vitu ninavyovichukia.
Lakini ikatokea CHADEMA ikashindwa kihalali kabisa bila hila wala...
Salaam Mkuu,
leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar...
Ni swali fikirishi. Nafasi zote za chini ya urais, watu hujiuzuru kisha kugombea mfano madiwani na wabunge.
Ina maana hakuna namna yoyoye hapa duniani Rais anaye gombea asivuliwe kwanza hadhi...
Waswahili wanasema kumtawala mpumbavu au mjinga ni rahisi sana, lakini kumtawala mwerevu ni kazi ngumu sana.
Kikwete alimuelewa Lisu na mimi nimemuelewa, alisema "ni kheri Dkt. Slaa awe Rais...
Hivi sasa kumezuka kampeni zisizo rasmi zinazofanywa na viongozi wa serikali na wa mashirika ya umma, kampeni hizi zimelenga eti kutatua matatizo ya wananchi ikiwa ni kutoa misaada na mikopo! Huu...
Mgombea udiwani wa CHADEMA amevuruga ngome na nyumbani kwa mgombea ubunge wa Jimbo la Tarime vijijini Mwita Waitara, hapo ni kata ya jirani na kata ya Waitara, alikuwa anategemea jamii yake...
Haya mambo huwa yana ugumu wake.
" Tutashirikiana na kusaidiana katika Shida na Raha hadi kifo kitakapotutenganisha"
Sasa sijaelewa hapa kada wa CCM David Kafulila aka tumbili kama ataizingatia...
"Ikulu haiachwi ni “mwiko”, huwezi kuuza ‘mama mkwe’, tuliachiwa na Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume na chama chetu @ccm_tanzania hatuwezi waachia watu hawaeleweki" -Job Ndugai
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.