Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Naungana na kauli ya Lissu kuwa wagombea urais kwa bara ni Lissu na Jiwe tu! Sasa hawa wengine wanasubiri nini au ndo sub za CCM? Mzee wa niguse ninuke daaah! Au ndo yale nguvu ya mamba ni ndani...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Huyu kijana kuna haja ya Africa kumpa tuzo maalum , si rahisi kwa raia kuikalisha chini serikali yote Mbeya , kwa jinsi anavyoungwa mkono Mbeya Mjini imefanya hata yule polisi aliyemkamata siku...
20 Reactions
30 Replies
4K Views
People'ssss powerrrr......! Habari za jioni ndugu zangu wana JF, leo nijikite na kilichotokea Muheza. Tunakumbuka vizuri sana kuwa mgombea wetu wa ubunge jimbo la Muheza awali alienguliwa na...
11 Reactions
140 Replies
16K Views
Dr Bashiru amesema ni marufuku wagombea waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kufanya kampeni bali wabakie kwenye mikoa yao. Dkt. Bashiru amemtaja mbunge mmoja aliyepitishwa bila kupingwa...
6 Reactions
100 Replies
12K Views
Huwa najiuliza maswali yasiyo na majibu. Kwenye kampeni tunasikia mengi na ahadi nyingi ambazo mara nyingi hazitekelezeki: 1. Hivi mnaponadi mmefufua reli, ni serikali ya chama gani ilifilisi...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Je, 1. Pumzi yake imeshakata mapema na sasa Pumzi pekee tu iliyobakia ni ya Hasira ( Jazba ) na kutoa Maneno ya Kashfa na Ajabu? 2. Mpaka hapo alipofikia kufanya Kampeni zake ameshaona kuwa...
34 Reactions
114 Replies
13K Views
Wapendwa kuna hiki kipindi kinaitwa Ajenda 2020 kinachorushwa kila Jumatatu saa tatu na nusu usiku Startv. Naona mtangazaji wake aitwaye Alloyce Nyanda anatumika na ccm au yeye mwenyewe...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Mgombea Urais wa Chadema anafanya kampeni kata kwa kata. Usikose kuyasikia madini ya Lissu, leo kata ya Isman. ===== "Mafurikoo Ya Wananchi Wa Iringa Kwenye Viwanja Vya Mwembe Togwa KatiKati Ya...
35 Reactions
218 Replies
20K Views
Maendeleo hayana vyama na Siasa siyo uadui. Nilipata taarifa kuwa Mgombea Udiwani kata ya Gangilonga Iringa Mjini mwanabodi Allen Kilewela amerejeshwa kwenye kinyang'anyiro na NEC. Hongera zake...
12 Reactions
29 Replies
3K Views
ACT-Wazalendo ipo tayari ubia na CHADEMA KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama chake kipo tayari kushirikiana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Lengo la kukupiga risasi lilikua Ni kukuua,ufe kabisa halafu usiwepo Tena juu ya uso wa Dunia. Naamini baadhi wangelipwa kwa kazi ya Kukuondoa na wengine wangepongezana. Hata hivyo Kuna mamilioni...
4 Reactions
2 Replies
706 Views
Dr Shein alitoa hii ahadi miaka 10 iliyopita.. Sasa mimi nawauliza wa Zanzibar, Je hali ikoje hapo Zanzibar?🤣🤣 Baada ya kumsaidia Shein kubadilisha Zanzibar, Magufuli nae kaahidi kuifanya...
14 Reactions
75 Replies
5K Views
Mabibi na Mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Ama kwa hakika wale chama mboga mboga wana hekima na uwezo mkubwa wa kuona mbali zaidi labda kuliko kina sisi. Mabwana hawa kwa...
1 Reactions
2 Replies
773 Views
Wanamikakati ya CCM hawafikirii vizuri. Kitendo cha wao kusuka njama ili kuwaengua wapinzani kwenye majimbo ya ubunge na udiwani ni kitendo kitakochokwenda kumgharimu Magufuli kura za urais...
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Makao makuu ya chama inatakiwa mchukue hatua za haraka kunusuru wagombea wa chama chetu. Wengi hawana pesa za kuendeshea kampeni,na hali ni mbaya sana. Mimi ni kamanda nisiyechoka na kweli...
5 Reactions
73 Replies
5K Views
ALL NOMINATION FORMS OF ALL CANDIDATES FOR THE OFFICE OF COUNCILLOR IN THE WHOLE COUNTRY ARE NULL AND VOID AB INITIO. The law mandatorily requires that every Nomination Form in respect of...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Nimekuwa nikifuatilia mikutano yote ya CHADEMA, mara nyingi wanakuja na hadithi mpya na nyingi zinatungwa na washabiki wao hapa JF kisha mgombea anapanda nazo jukwaani. Je...
5 Reactions
54 Replies
3K Views
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na wanahabari , kumbe hata wale wabunge walioshinda rufaa zao bado mpaka leo hawajapewa barua, na kwa sababu hiyo...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Mgombea Ubunge kwa jimbo la Ubungo kupitia CCM Profesa Kitila Mkumbo yupo mitaa hii ya Stand ya Mabasai ya Mkoa.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom