Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

2015 kuliundwa UKAWA na vyama vilivyounda UKAWA vikakubali kutoweka mgombea Uraisi vimuunge mkono mgombea mmoja tu wa CHADEMA, Lowasa na CUF ilimtoa Duni Haji ajiunge CHADEMA kama mgombea mwenza...
3 Reactions
58 Replies
4K Views
Mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya taifa ya Chama cha mapinduzi (CCM), na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Singida kutafakari aina ya kiongozi wanayemtaka aiongoze Tanzania...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Kaulimbiu ya mwaka huu haikutakiwa kuwa, "Maendeleo ya watu, sio vitu." Haikutakiwa kuwa hii kwa sababu hii ni kaulimbiu inayofikirisha na haikamati vizuri kwa kuwa ni ngumu kutenganisha...
0 Reactions
1 Replies
657 Views
Huduma muhimu kama elimu, maji, umeme, miundombinu majengo ya umma kama zahanati, hospitali, barabara ni haki zako za msingi wala si hisani ya kiongozi. Una haki kudai, kuhoji kadiri ya pato la...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Imeandaliwa na Umoja wa Wamachinga Iringa Kauli ya mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahidi kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga kwenye mitaa mbalimbali ya miji na...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Moja:Uhaba wa elimu kwa wapiga kura, naona wapiga kura wanahadiwa kwa mziki na nyimbo za wasanii waliokodiwa kwa mamilioni ya fedha ili kuongeza mvuto wa wagombea, Wapiga kura nawahurumia baada ya...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Shime wana, shime akina baba, shime Wafanyakazi, shime Wafanyabiashara. Hakuna kususia uchaguzi kama ilivyotokea uchaguzi ama uchafuzi wa serikali za mitaa. Tujitokeze tukumbushane. Fanya maamuzi...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimehudhuria mkutano wa Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupiti CHADEMA, Godbless Lema leo, amekuchafua sana, amemwambia DJ aweke sauti ya Rais Magufuli akieleza sababu za kutengua uteuzi wa Gambo...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Yaani namshangaa Mheshimiwa Magufuli amebaki na kuachwa akiangalia live band tu,anakula starehe, Sijui kama anazo taarifa au wahusika hawampi na kumwambia ukweli,kuwa Tundu Lissu ameshauteka umma...
41 Reactions
39 Replies
5K Views
Nasubiri siku ya kesho kuangalia atakachoongea mheshimiwa kuhusu Yale aliyoyatekeleza miaka mitano mjini Bukoba. Kimsingi mji huu yaani manispaa hii hakuna kitu chochote kutoka serikalini...
11 Reactions
41 Replies
5K Views
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Katika kufuatilia kampeni hasa za urais, ni wazi kuwa zoezi zima la kuomba kura lisiporatibiwa vyema zaidi, kwa ujumla wake, linakuwa...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Baada ya suala la uchaguzi wa uraisi na wabunge kupamba moto. Nilianza kufanya utafiti kidogo kwa makundi tajwa kama wametimiza vigezo na masharti ya kushiriki kwenye zoezi la kuchagua viongozi...
2 Reactions
5 Replies
985 Views
Unajua tulishasema tangu awali kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo shetani aliwahi kumshinda Mungu , huyu aliyekusanya umati huu anaitwa Godbless Lema , raia aliyewekwa jela kwa...
19 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana: Ujenzi wa uwanja...
83 Reactions
78 Replies
8K Views
Hii hapa ni kata ya Iganzo, huyu mtu anasafisha mji kwa kushirikiana na watenda kazi wa hapohapo Mbeya akiwemo mtu mzito, John Mwambigija . Ufafanuzi kwa wageni na wengine, hii TRIANGLE ATTACK...
14 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakati Joto la Uchaguzi likizidi kushika kasi hapa nchini, Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha tayari kinadaiwa kupanga safu ya siri ya wagombea udiwani katika kata sita huku Mrisho Gambo...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi wandugu! Leo Magufuli akiwa Kagera ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la zao la kahawa Kagera!!! Labda tumuulize tu, alikuwa wapi siku zote?? Na utatuzi gani huo atakaowapatia...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Ninaandika haya Mungu bariki hatimaye tume wakajue kuna watu tumefunga tunawaombea wao kwa Mungu ili wakapate kutenda haki. Yaani wao...
14 Reactions
53 Replies
4K Views
Mbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha...
85 Reactions
261 Replies
23K Views
Hili suala si la kulifumbia macho ama kulidharau, ukipita kwenye kona mbali mbali za jiji la Dar utakuta ni picha tu za wagombea wa CCM ndio zimetawala mji mzima lakini Vyama Pinzani hakuna kabisa...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom