Nimepitia kwenye account ya twitter ya John Mrema, kwa hakika anachofanya kimenifanya nistaajabu.
Mrema ni mkurugenzi wa mawasialiano na mambo ya nje wa CHADEMA, hivyo ni mtu ambae yupo supported...
Na Bwanku M Bwanku
CCM kwa miaka 56 toka kuasisiwa kwa Muungano wetu adhimu wa Tanganyika na Zanzibar imeendelea kuthamini na kudumisha Muungano wetu huu wa mfano kote duniani, wa kihistoria na...
Habari za jion wakuu,
Kama nilivyoeleza hapo juu kiukweli nimejitahidi kufatilia hizi vuguvugu za uchaguzi kupitia vyama vyote vikiwemo vya upinzani na hata chama tawala nikakaa nikawaza nikasema...
Wana JF,
Tangu nimjue Askofu Gwajima, sijawahi kuona amejnga shule muhimu kama mama Rwakatale, wala hajawaji kujenga kanisa lake mwenyewe m waumini wake daima wanakaa nje, sasa haya maendeleo...
Jeshi la polisi wilayani Mvomero Mkoani Morogoro wamesimamisha msafara wa mgombea urais kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba ukitokea kata ya Kimamba kuelekea Kilosa...
Tundu Antipas Lissu, Mgombea Urais kupitia CHADEMA anayeaminiwa na wengi kushinda Urais mwaka huu leo anaanza rasmi kuruka angani kwa kutumia Chopa maalum.
Baada ya mapumziko ya siku 2 mgombea...
Muonekano wa mgombea una tija sana kwa wapiga kura. Mavazi ya aina Fulani yatavutia wapiga kura vijana pekee, mengine wazee ,mengine kina mama na Mavazi mengine kina baba.
Lissu Kama mgombea...
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.
Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka...
Wanajamvi wenzangu,
Kwani mnaonaje tukaomba tena siku tatu kwa ajili ya Uchaguzi ili Mungu atupatie kiongozi sahihi kama Rais alivyotuambia tuombe siku tatu kwa ajili yakuzuia COVID-19 na...
Na Bwanku M Bwanku
Kumekuwa na mjadala kidogo kwa baadhi ya watu wakihoji kuhusu namna mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli anavyoendelea kujaza mamia kwa mamia ya watu kwenye mikutano...
Ndugu zangu,
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoa majibu sasa.
Mgombea Urais wa Tanzania Bara...
Huyu mgombea wa ubunge Jimbo la Muheza kwa tiketi ya Chadema akirejeshwa na Tume na naamini atarejeshwa, basi kuna wana CCM nyeti zitaonekana waziwazi.
Huyu Mwana FA ni mweupe mpaka anatia...
Huu ni umati wa Wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
WanaJF
Karibuni kufuatilia mapokezi makubwa ya Mgombea Urais CHADEMA Tundu Lissu hapa mjini Shinyanga.
Lissu anatarajiwa kuhutubia mkutano Mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Joshoni ikiwa ni...
Nilitegemea baada ya mgombea urais wa JMT Tundu Lissu kupitia CHADEMA kumuunga mkono mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Seif Sharif Hamad, ungejitokeza na kupongeza na pengine...
Makundi yafuatayo hayawezi kumpatia kura Magufuli.
1. Watumishi wote wa umma waliotia nia kugombea ubunge CCM wakaambulia kukosa mishahara Julai na Agosti.
2. Watumishi wa umma wana CCM ambao...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Ratiba ya mikutano 5 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.