Wapendwa,
Kesho tarehe 11.09.2020 saa 5 asubuhi, katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Hamphrey Polepole ataongea na waandishi wa habari.
Tafadhali usipange kupitwa.
Wasalaam wana jamvi!
Maaskofu Niwemugizi na Bagonza wamekuwa wakifanya siasa na wakisema wakiwa pembeni na wakijificha kwenye kofia ya dini lakini ni ukweli ulio wazi kabisa ni wafuasi wa CHADEMA...
Haya haya haya Mwana FA usiyempenda yupo mlangoni anakugongea.
Kazi unayo Mwanaccm uliyetaka kubebwa.
===
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jana siku ya Tarehe 10 September 2020 ilitoa ilitoa...
Tundu Lissu amesema haya kuhusu lugha ya kufundishia:
Ukiniuliza mimi, honest opinion Nchi yetu haiwezi kuzungumza Kiingereza, hivyo tunahitaji kuwa na mjadala juu ya sera ya lugha, tusipokuwa na...
Habari ya asubuhi wanachama wa JamiiForums,
Ukiwafuatilia kwa makini wagombea wawili wenye ushindani mkali Tundu Lissu dhidi ya John Magufuli kwenye uchaguzi wa Tanzania wa mwaka 2020 utagundua...
Natumaini mko wazima. Nimeona nitumie haki yangu kikatiba kutoa maoni kuhusu kampeni za uchaguzi mkuu zinazoendelea.
Niseme kwamba iko wazi CCM wako kimkakati zaidi kwenye kampeni zao. Hawafanyi...
Ndugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo.
Kwa kauli hizi...
UTEKELEZAJI WA HII ILANI NA SIFA ZA KIONGOZI
Serikali itakayoongozwa na NCCR-Mageuzi itaweka mkazo katika kuimarisha mifumo ya kiutendaji ya serikali kuu na serikali za mitaa ili ufuatiliaji wa...
*Lwakalinda Kalikawe Bagonza kaandika hivi:*
NEC WAHURUMIENI WANANCHI
NEC WAHURUMIENI VIONGOZI.
Kuna jambo haliko sawa. Kama liko sawa, basi kuna jambo haliko sawa ndani yangu.
1. Ni mzigo na...
Mwalimu Mwakasege leo ameendesha maombi rasmi ya kuibariki siku ya uchaguzi ( 28/10/2020) na kuwataka watanzania wote waibariki siku hiyo ili pasiwepo hila na udanganyifu wowote.
Mwakasege...
Akiwa katika mkutano ulioongozwa na Makamu wa Rais mama Samia Suluhu huko Mchinga Lindi, Rais mstaafu ameongea kiutani kuwa
"Watu walikuwa wanasema mama huyu [Salma Kikwete] kaachwa ndiyo maana...
Pamoja na kufunguliwa kwa dirisha la kampeni, lakini dalili zote zinaonyesha Wananchi hawana hamu na kampeni, wanaofuatilia kampeni ni wachache ukilinganisha na mwaka 2015.
Nimejaribu kuangalia...
Ndugu zangu,
Nimepata fursa ya kumsikiliza Tundu Lissu akitangaza ilani ya Chadema nikiri kwa kusema kuwa ili kutekeleza "wish list" yake inahitaji kufadhiliwa na fedha za nje kwa asilimia zaidi...
Tofauti na Nchi nyingine Duniani zenye siasa ya Vyama vingi, Tanzania ndo Nchi pekee ambayo Vyama vikuu vya Upinzani havijui dhana halisi ya Upinzani. Vyama hivi Vikuu Kama CHADEMA, CUF, ACT, na...
Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege.
Kwanza ina engine moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga...
Lissu yupo Zanzibar kusaka kura za urais wa Jamhuri.
Nimeanza na dibaji hiyo kwa minajili ya kusema yafuatayo:
1. Katika kunadi sera zake na ahadi za mgombea wa Urais hajawahi kuzungumzia namna...
Mfumuko wa bidhaa muhimu kama sukari umechangia ugumu wa maisha kwa watanzania wa kipato cha chini. Serikali ilijitahidi kupambana kuzuia bei ya sukari kupanda bila mafanikio.
Nadhani sasa ni...
TAHADHARI KWA NEC UCHAGUZI MKUU 2020
Siku za karibuni pameibuka mjadala Mkubwa Juu ya kuenguliwa kwa Wagombea wa vyama mbalimbali.
Pamoja na Ukweli kwamba Kuenguliwa huko kumezingatia ufuataji...
Rais mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete amesema wanasiasa na wagombea wanaosema mikoa ya Lindi na Mtwara imesahauliwa na imeachwa nyuma kimaendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.