Wagombea wa CCM hakika hawaishi vituko, leo huko kwenye kampeini kuna mgombea Ubunge katoa ya mwaka.
Ebu msikikize jamani, huyu ndiyo aingie bungeni achambue mikataba ya wawekezaji kweli? Au...
*SABABU 11 KWA NINI TUNDU LISSU ATAPATA USHINDI WA ASILIMIA NDOGO KULIKO LOWASSA NA DR SLAA* Fuatana na *Joseph Yona*
yonapavea@gmail.com
0713802226
1: JPM anamengi yakuonekana aliyofanya kwa...
"TUTASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA", PROF. LIPUMBA
Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo...
Hili ni moja ya jimbo gumu sana upande wa CCM baada ya kinachosemekana kuwa ni makosa ya kamati kuu ya CCM kuwawekea mtu ambaye hafahamiki kabisa kushindanisha na Lazaro Nyalandu ambaye amekua...
Wanajamvi wasalaam,
Kwanza kabisa ni ukweli ulio wazi hadi sasa CCM wana mtaji wa wabunge 20 na kwa takwimu za jana hadi mwisho wa kutoa majibu ya Rufani nina uhakika CCM itapita bila kupingwa...
ASKOFU NIWEMUGIZI ATAKA WALIOENGULIWA WARUDISHWE WOTE, UCHAGUZI UWE WA HAKI
Mimi naamini kwamba amani msingi wake ni haki. Pale ambapo kuna haki, amani itatawala." Askofu Niwemugizi aiomba Tume...
Nimefuatilia kwa umakini kuhusu kampeni zinazoendelea hadi sasa. Kimsingi CCM inaongoza kwa mikakati na mbinu bora zaidi kuliko vyama vingine vya Chadema,ACT nk na hivyo kuwa na nafasi nzuri ya...
Wataulinda utawala wao kwa nguvu za dola.
Je, hawajiamini ushindani wa hoja?
Je, wamefanya makosa mengi?
Je, wamenyang'anya na kudhulumu sana?
Je, wanaogopa kupandishwa vizimbani?
Je, wanataka...
Leo Jumatano, Dkt. John Magufuli yupo mkoani Geita baada ya jana kutoka jijini Mwanza kuendelea na kampeni ya Urais kuomba ridhaa ya kusalia madarakani kwa muhula wa pili. Tuwe sote kujuzana...
As it stand wanachofanya Tume ni comedy. Katiba yetu inaainisha vyema Wabunge na Madiwani wachaguliwe vipi au wateuliwe vipi.
Mfano kwenye Ubunge Katiba inaainisha kwamba;
1. Kuna wabunge wa...
Mgombea urais wa chama cha Chadema na Kiongozi mkuu wa chama cha ACT wazalendo wanaposema kwamba iwapo Tume ya Uchaguzi itapindisha haki kama inavyo fanyaga miaka yote, basi wataingiza watu...
Wananchi wa kata ya Mbwambo Wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro wameungana na viongozi wao kupinga jina mgombea Udiwani lililorudishwa na Chama Cha Mapinduzi
Wananchi hao wakiwa na mabango mbali...
Mwaka 2015 mgombea wa CHADEMA kwa nafasi ya urais aliapa na kwa kiwango kikubwa kuendesha kampeni za kistaarabu. Mgombea wa CCM kwa wakati ule nae aliahidi kuendesha kampeni za kistaarabu...
Mwaka 2015 kulikuwa na wapiga kura milioni 16. Leo tunaabiwa Kuna wapiga kura milioni 29, yaani nyongeza ya wapiga kura milioni 13 ndani ya kipindi cha miaka mitano.
IDADI YA WAPIGA KURA:
Toka...
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) IWEKE HADHARANI MAJINA YA WAGOMBEA WETU WALIOKATA RUFAA
Chama cha ACT-Wazalendo kinaitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iweke hadharani orodha ya majina ya...
Na Markus Mpangala
Wagombea 15 wa vyama vya siasa nchini Tanzania wanashiriki kampeni za kuwania urais zilizozinduliwa Agosti 26 na kunadi sera na vipaumbele vyao kwa wapigakura kuelekea siku ya...
Habari wadau wa JF, leo nipo kuwakumbusha wanachadema wenzetu juu ya mwenendo wa chama kipindi hiki cha kampeni.
Mwanzo kabisa nilikuwa napinga kabisa watu kukichangia chama kwa maana hatujui...
1. Sera zao ni za ushari, hila, fujo ghiliba za kubomoa na kutengeneza Tanzania ya machafuko kwani kwao amani tuliyonayo si kitu kwao isipokuwa tamaa za madaraka.
2. Wakati Wabunge wa Chama cha...
Salaam wakuu.
Baada ya kutazama vipaumbile vya vyama 7 katika Uchaguzi huu. Ambavyo nimeweza kutazama na kusikia. Bila ajizi naomba niweke wazi.
Kipaumbele cha kuwa na Muafaka wa Kitaifa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.