Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane. Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama...
-1 Reactions
112 Replies
11K Views
Hii ni zamu yetu wananchi kuamua nani tumchague na nani tusimchague kwenda kutuwakilisha. Maajabu sasa huyu Rais anayemaliza muda wake amesikika akiongea kwa jazba kuwaamrisha wananchi nani...
10 Reactions
53 Replies
4K Views
"Katika kipindi Cha miaka mitano, mzunguko wa fedha umekuwa mdogo, biashara haitoki, hakuna mzunguko wa fedha unaokidhi mahitaji, tunahitaji kuibadilisha hali hiyo".Prof. Lipumba-Mgombea Urais wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mada inahusika. Tukiwa katikati ya mchakato wa kuelekea uchaguzi Mkuu, Tanzania iko katika mstari mwembamba sana wa kutunza historia yake ya utulivu, amani na umoja kwenye ukanda huu wa Afrika...
13 Reactions
30 Replies
3K Views
Ni kama ambavyo wakati wote nimesisitiza kuwa Uchaguzi ni maarifa, mipango na akili, hakuna kitu kina guarantee ushindi katika mpambano wa kisiasa kama kuchanga karata zako vyema, na kwa kuitazama...
28 Reactions
137 Replies
11K Views
"Nichagueni Mimi GENTAMYCINE si mmeona kabisa Maendeleo niliyowafanyia? Kamwe msiwachague hao Wahuni, wanaotumiwa na akina Trump na Johnson. Nichagueni tu Mimi GENTAMYCINE ambaye kiukweli ndiyo...
40 Reactions
95 Replies
8K Views
Mwaka 2010 alikuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kupitia CUF, kutokana na kutofutwa kwa demokrasia, na uchaguzi huu alikuwa mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kupitia CHADEMA. Kutokana na kuwa...
8 Reactions
44 Replies
9K Views
Wasalaam, Ikiwa ni kipindi cha kutafuta wadhamini kwa Wagombea urais, wala siyo kipindi cha kampeni, wagombea urais wanajaribu tu kuongea yale matamanio yao maana hawaruhusiwi kunadi ilani zao...
15 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwaka 2015 ulipewa miaka mitano na kwa kweli tumeona maajabu mengi. Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu watumishi wa umma wakasota miaka mitano bila kupata nyongeza ya mshahara ambayo...
51 Reactions
125 Replies
8K Views
Mabibi na mabwana baada ya salaam: Mapinduzi Sasa niende moja kwa moja kwenye mada. Kuelekea Oct 28 sote na tujiandae kusikia mengi. Kama wanavyolipwa kina konde na kina baba tiffe, huku...
3 Reactions
2 Replies
867 Views
Open Letter to the National Electoral Commission of Tanzania - Robert Amsterdam Today Robert Amsterdam has issued the following open letter to Winston Charles, the Director of the National...
27 Reactions
155 Replies
11K Views
Haya mazao ya kilimo ya biashara bei zake kwenye soko la dunia hupangwa na hao wakubwa (mabepari) wa dunia. Bei hizi hazipangwi na watanzania. Ukweli ni kuwa haya mazao kila moja lilikuwa na enzi...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Ndg. Godbless Lema amelalamika kuwa CCM inawahujumu kwa kuandaa mechi ya Simba bila kiingilio na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu mkutano wa mgombea urais...
33 Reactions
340 Replies
33K Views
Sera bora ambayo haijawahi kutokea. Mwanadamu yeyote yule anahitajika kuwa huru katika maamuzi, na hii ndio maana kamili ya utashi. Hongereni CHADEMA. Haki kila mwanadamu yeyote yule anazo haki...
13 Reactions
44 Replies
3K Views
Elimu ya sasa inaendana na kutumia Compyuta,tunahitaji tuwekeze katika elimu iliyo bora, kila shule ya msingi, shule ya sekondari iunganishwe na internet na watoto wetu waanze kutumia kopyuta...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunaosema sisi imefika kikomo cha kuongoza na kuanza kuwa chama cha upinzani tuna maanisha kuwa takwimu ndizo zinazotoa hukumu kwa CCM kufikia kikomo. Mkapa aliingia madarakani kwa kura chache...
13 Reactions
11 Replies
2K Views
Nakuuliza wewe Rais wangu Magufuli umekuwa madarakani miaka yote mitano inamaana ulikuwa huoni umuhimu wa kuvifanya hivyo vitu mpaka leo hii kipindi cha kampeni ndio utoe amri vifanyike? Umetoa...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Mwalimu Nyerere aliwahi kutamka, kazi ni msingi wa maisha. Akunyimaye kazi amekupa adhabu ya kifo. Serikali ya awamu ya 5 imefanya jitihada kubwa sana ya kuwanyima kazi Watanzania. Yaani imefanya...
33 Reactions
60 Replies
5K Views
Uchaguzi ni takwimu, mikakati na mipango ambayo inaonekana wazi kwa macho. Hizo takwimu, mikakati na mipango ndio huwavuta wapiga kura kufanya maamuzi yao kwenye sanduku la kura. Uchaguzi sio...
11 Reactions
76 Replies
5K Views
Ilani za CHADEMA na ACT Wazalendo kwa upande wa uchumi hazifafanui namna pato la ndani ya nchi (GDP) litakavyokuwa linaongezeka mwaka hadi mwaka kutoka figures za sasa. Pia hazitaji watakuwa...
1 Reactions
10 Replies
956 Views
Back
Top Bottom