Vituko na Makosa kwenye kampeini za Uchaguzi jana Jumatatu 7/9/2020
Kituko: Jana Jumatatu, Septemba 7, maofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), walikuwa wanatembelea baadhi ya NGOs ambazo NEC...
Huyu mzee wa kazi na bata ambaye alijitokeza kuchukua fomu kugombea Urais wa Tanzania ameonyesha dalili zote za kutokuwa na maandilizi na mikakati ya kutosha.
Tangu amezindua kampeni zake amekuwa...
Mwenye macho haambiwi tazama. Hali si shwari. Hali ni mbaya. Kampeni haziendi. Na wakizifosi ziendelee basi itabidi wavunje bank maana recurring costs zimekuwa kubwa kuliko ilivyotegemewa...
Miaka mitano ya CCM imejaa vilio kwa Watanzania kila Kona ya nchi, iwe ni kwa mwana CCM mwenyewe au hata asiye mwana CCM. Unamtumia muda mwingi kuhubiri flyover, SGR, ndege, Mabwawa ya umeme...
Baada ya kufuatilia hotuba nyingi za Vyama vya Upinzani ninapenda kuwasihi vijana kuwa na tahadhari kwa ahadi zisizoweza kutekelezeka.
Nikianzia suala la ajira ni tatizo la sehemu kubwa duniani...
Nimesikiliza kwa makini hotuba ya mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha NCCR-Mageuzi Bw. Jeremia Mganja akinadi sera zake kwa Wananchi. Hotuba yake inatoa taswira ya tabia za wagombea wa vyama vya...
Wana bodi,
Kwanza kabisa ninapenda kuwatakia wagombea wote wa Udiwani, Ubunge na Urais kila la heri kwenye uchaguzi utakao fanyika tarehe 28 mwezi wa 10 mwaka huu.
Ila katika kampeni ni vyema...
Nakumbuka 2015 nilihudhuria mikutano mitatu mikubwa ya Lowassa lakini niliishia kufedheheka sana, Huyu ni Kiongozi ambaye nilimpenda tangu nilipomwona mwaka 1994 akiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya...
Yaani kila mahali wimbo wao Ndege, SGR na STIGLERS kila mahali kwenye mabrasha yao wanatembea na hayo mambo 3. Yaani huwezi kumkuta mtu anaimba nje ya hayo. Hivi hayo mmefanya kwa pesa zenu?
Hawa...
Mgombea urais wa ccm amesema, hawezi kuongeza wafanyakazi mshahara na huku anajenga reli,elimu bure,miradi mikubwa kwa sababu na wafanyakazi watatumia hivyo vitu
Poleni wafanyakazi ,twende na...
Leo kampeni zinaendelea na mwenyekiti na mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, John Magufuli yupo Nzega mkoani Tabora akinadi sera na ahadi ya nini atafanya katika kipindi chake cha pili...
Mambo yanazidi kuwaendea kombo CCM, CHADEMA wanakuja kwa kasi ya ajabu na kuwafunika CCM kila uchao. Mikutano ya CHADEMA imejaa vijana ambao huenda peke yao kwa mapenzi yao kwa chama tofauti na...
Inasikitisha katika nyakati kama hizi za Demokrasia komavu kukutana na hoja dhaifu au za ajabu
Akiwa Lindi mgombea wa chama cha mapinduzi kwa nafasi ya Urais ndugu John Magufuli ambae kwa mujibu...
Wakuu nina imani mko powa, leo kuna jambo limenistaajabisha sana. Moja ya ngome zetu kuu kama chama ni nyanda za juu kusini, ikiwemo mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe. Kama tunavyofahamu sasa hivi...
Kutokuwasiliana kwa viongozi wakuu wa ACT Wazalendo na CHADEMA kumewapa mwanya CCM kufanya watakavyo. Suala la mapingamizi ni suala nyeti hivyo linahitaji nguvu kubwa.
Kipindi Cha Korona mbowe...
Wakati Taifa limeilungana kupambana na shambulio la COVID-19, vyama vya upinzani nchini wakiongozwa na CHADEMA na ACT walisusia Bunge la Bajeti kwa kisingizio wanajiweka karantini dhidi ya CORONA...
CHADEMA kupitia Mgombea Urais wao ametamka kujenga masoko yatakayofanya kazi nyakati za usiku.
Namnukuu Lissu “Tutajenga majengo makubwa kwa ajili ya Wamachinga ili wafanye biashara kwa uhuru na...
Wana JF kama kuna siku naingojea kwa hamu kubwa na ambayo namuomba mwenyezi Mungu anijalie nikutwe na afya njema na niwe sehemu ya mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni za askofu Gwajima au niwe...
Juzi CCM walioonekana kukaa meza moja na familia ya Baba wa Taifa, Mama Maria pamoja watoto wake Makongoro na Madaraka. Dhumuni bado sijaelewa, ila tu kwa sababu ya kampeni nilijua ni kupata...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Livingstone Lusinde amewaonya wagombea wa vyama vya upinzani waache kutumia muda mwingi kueneza uongo na kumshambulia mgombea wa CCM, John...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.