Siku chache za nyuma nilimsikia mgombea wa urais wa CCM akiwaonya wapiga kura. Aliwaambia kwamba wasipomchagua mgombea wa CCM watakosa maendeleo. Pia alisema kwamba sababu iliyofanya eneo lao...
Wakuu mama Nyerere alipoamushwa kuja kuzungumza kwenye mkutano wa Ccm, katoa Kari ya Mwaka, kasema kuwa yeye hana LA kuongea Kwa sababu amelazimishwa kuja kwenye mkutano huu.
"Mimi kwa bahati...
Naona uchaguzi huenda usiwe huru na wa haki kutokana na vitisho vya baadhi ya wagombea. Je, iko wapi demokrasia ya kumchagua unayemtaka? Hii sasa kali "Chagueni CCM au chagueni MAJUTO" by JPM.
Moja ya njia zinazotumiwa na Serikali ya CCM kuwatumia wachungaji, masheikh nk kufanya kampeni kwenye vizimba vya siasa kwa kigezo cha kufanya sara na dua hakikubariki kwenye medani ya siasa...
Bora kipengele cha rushwa wakati wa uchaguzi kiondolewe tu yani iwe free mtu kufanya atakalo kushawishi watu wamchague.
Kwa sababu lengo la rushwa ni kushawishi jambo huyu mtoa rushwa alipate...
Niwe muwazi mimi binafsi nina amini katika mabadiliko, mabadiliko ndiyo chachu ya maendeleo sehemu yoyote ile.
Nimeona na nimekuwa nikifatilia mikutano yote ya mgombea wetu hapa Dar na kuna...
Kuna wakati hua nafuatilia mijadala hasa kwa jamaa zangu wa CCM wanavyojigamba kwa sababu tu hawafikirii sawa sawa.
Matumaini makubwa kwao kua CCM inaendelea kutawala kwa sababu wapiga kura wengi...
Hatari Wana JF,
Baada ya takribani siku kumi za amshaamsha ya mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ndugu Tundu Lissu kuigongesha CCM na mgombea wake kwenye majukukwa ya kampeni, ni dhahiri...
Hii nchi toka imepata Uhuru hakujawahi kuwepo na ubaguzi wa maendeleo kisa tu upande ule unakaa ukoo Fulani, au upande ule kuna kabila Fulani au kuna upinzani.
Enzi za Nyerere aliwai pata mbunge...
Mgombea urais kupitia Chama cha Democratic (DP), Philipo Fumbo, amesema wananchi wakikipa chama hicho ridhaa kushika madaraka, serikali yake itatoa ruzuku kwa vyama vyote vya siasa vyenye usajili...
Katika hali isiyo ya kawaida Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela amesitisha kufunguliwa kwa shule zote hapo kesho ili waalimu na wanafunzi washiriki kampeni za chama Cha CCM.
Hali hiyo...
Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naanza na kuomba radhi kwa usumbufu wetu wa habari zetu za kampeni zinazomiminika kama mvua za masika , hatuna jinsi ni lazima tuhakikishe nchi...
Sijaelewa ni kuwa ACT Wazalendo hawampi support ya kutosha?
Yaani hili ndio liwe jukwaa la mgombea Urais kweli? Tena aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje?
Haya maisha yanaweza kumshinda kabla...
Popote mlipo, huu Ni ushauri wangu kwenu, mikutano yenu haiwezi kutegemea matangazo ya gari za matangazo na social media, katika pesa mliyonayo, ongeeni na ITV/ AZAM wawe wanarusha matangazo na...
1. Kwa kuelezea tu aliyoyafanya ndani ya miaka 5 ya utawala wake bila kuelezea faida zake za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja kwa Wapiga kura, haitapatikana impact ya kutosha kuwashawishi...
NCCR Mageuzi Jimbo la Hai hawajasimamisha mgombea ili kumpisha Mwenyekiti wa CHADEMA na hivyo hivyo tunategemea CHADEMA wote wataelekeza nguvu zao zote kumpigia kura Mbunge James MBATIA kupitia...
Leo Lissu yupo Tabora Mjini, wakati huohuo kuna mtufuano unaendelea kati ya wana CCM wenyewe kwa wenyewe.
Upande mmoja ni CCM uongozi ambao umejiratibu kuanzia ngazi ya tawi hadi Mkoa, upande wa...
Kwa sasa muelekeo wa kampeni kwa CHADEMA japo ni mzuri sana lakini hicho chama lazima kiwe makini mno na strategy yao ya sasa ya kukamata Miji. Ndiyo maana unaona wanaruka kwa ndege kutoka mji...
Kwa Mujibu wa ratiba ya kampeni iliyotolewa na Chadema inaonyesha kwamba Mh Tundu Lissu leo atakuwa Tabora
=====
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA TUNDU LISSU leo...
Charisma - compelling attractiveness or charm that can inspire devotion in others.
Kwa tafsiri ya kiswahili, Charisma ni ule mvuto mtu anaokuwa nao mpaka unatamani kama anaongea aendelee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.