Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kwanza nianze kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kumuepusha ndugu Tundu Lisu na Kifo kilichokuwa kimepangwa na wabaya wake. Naamini kabisa Lisu hana ubavu wowote wa kupambana na risasi 16...
16 Reactions
65 Replies
4K Views
Ndugu wanajamvi za mida hii? Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja, Binafsi kama mtanzania sioni haja ya kupepesa macho wala kuwa mnafiki kwa kile kinachoonekana kwa macho kabisaa, Nimejaribu...
1 Reactions
5 Replies
858 Views
Sina haja ya kusubiri kampeni zianze ili nishawishike. Sina haja ya kuuficha ukweli huu. Mwaka 2015, nilimsambaratisha Lowassa na kumpigia kura mgombea wa CCM yangu Dr.John P. Magufuli. Baada ya...
101 Reactions
137 Replies
11K Views
Nauliza tu endapo mgombea urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe atakataa kumwachia Tundu Lissu nafasi ya kugombea Urais kwa niaba ya upinzani ACT Wazalendo watamchukulia hatua gani? Je, atakuwa...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
Lowassa pamoja na kupendwa sana kwa kweli alikuwa dhaifu mno 2015. Tena mno, kimawazo (hakuwa na mvuto wa hoja) na hata kiafya (enzi za siha njema zilishampita). Kwangu mie hata JK kuhakikisha...
5 Reactions
64 Replies
6K Views
Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee. Najaribu kujiuliza...
8 Reactions
106 Replies
6K Views
Ile kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais...
7 Reactions
140 Replies
12K Views
Bwanku M Bwanku Licha ya Tanzania kubarikiwa na kila aina ya madini lakini kwa muda mrefu sana madini hayo wala yalikuwa hayawanufaishi Watanzania kwasababu ya kukithiri kwa vitendo vya ufisadi...
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Hebu ACT- Wazalendo mtuonyeshe faida ya Membe. Katika hali ya kawaida nilitegemea labda Membe atatoa mashambulizi upande wa pili, badala yake amekuwa kama mgeni harusini. Wale watu aliosema...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Mnafanya vizuri kampeni za Urais lakini yafuatayo ni mapungufu niliyojionea kwa macho na mengine nimefuatilia kupitia mitandao. 1. Vijana wa CHADEMA wamepoa mitandaoni, wanashindwa kwa mbali sana...
1 Reactions
1 Replies
606 Views
Walikuwa hawaamini until Lissu kaenda Dodoma ndio vichwa vimewakaa sawa. Kila kona anakopita nyomi kama lote, tena lile la hiari hamna anayebebwa wala kulazimishwa kwenda kwenye mikutano...
30 Reactions
40 Replies
4K Views
Lissu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa CHADEMA Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu. Anagombea urais bila kupata baraka ya mwasisi wa Chadema atashindwa uchaguzi...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
HIVI HAWA WAKO SAWA HAWA?. HAWA NDO TUWAPE MADARAKA? Utawasikia kwenye mikutano au mitandaoni kwamba Watanzania hawana hela, hali yao mbaya mara nyie mafukara na maneno mengi sana ya kejeli na...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu amesema anakubaliana na kauli ya Makongoro kwamba Chadema ni kama jiko la mkaa halikumbatiki. Jiko la mkaa ukilikumbatia ama litakuunguza au kama halina...
6 Reactions
68 Replies
10K Views
"Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli Nipashe Nina uhakika kwa hii Ahadi Kuu si tu kwamba Rais Magufuli tayari ana 'Kura' yangu bali pia...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
MAKALA hii nimeanza kuandika jana, nikiwa kwenye jukwaa la CCM, mjini Musoma. Mengi nimeyashuhudia kwa macho yangu, lakini kwa nafasi yangu hususan kwenye timu ya kampeni ya mgombea wetu...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa miaka mitano uwanja ulikuwa ni wetu. Tumewafunga minyororo ya miguuni, mikononi na hata shingoni huku midomo yao tumeyafunga kwa vitambaa. Uwanja ulikuwa ni wetu, tumewakejeli, tumewasimanga...
85 Reactions
109 Replies
14K Views
MAGUFULI SITAKUCHAGUA, WEWE ULE BATA, MIMI NISOTE. Na, Robert Heriel. Haya ni maamuzi yangu, wala sitaki mtu ayaingilie. Nimeamua kwa akili zangu. Bahati njema mimi sio Mnafiki, nyeupe ni...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
Mtanzania epuka [emoji116][emoji116] [emoji117] Kiongozi atakaye kufanya usipate ajira kwa miaka mitano. [emoji117]Kiongozi atakaye fanya pesa ikosekane mtaani. [emoji117]Kiongozi atakaye...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
1. Salumu Mwalimu ana ushawishi na hoja, sauti ya mamlaka kuliko Lissu 2. Tundu Lissu anakera, anakera na anakera haswa. Nadhani anafanya kusudi kumchokonoa Magufuli asiuze sera amjibu na hivyo...
56 Reactions
141 Replies
14K Views
Back
Top Bottom