WanaJF
Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma.
Rais huyo mtarajiwa wa Tanzania ataambatana na mgombea Mwenza Salum Mwalimu...
Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika...
Ukifuatilia kauli za mgombea wa CCM ndugu Magufuli kwa muda mrefu tangu aingie madarakani amekua ana makosa mengi sana kwenye namna ya kuongea na kuwasilisha hotuba zake,amekua na kauli nyingi...
Wagombea wawili wa Ubunge katika Jimbo la Serengeti mkoani Mara wameacha kuendelea na kinyang’anyiro cha kupambania kupata ubunge wa Jimbo hilo na kuhamia CCM.
Mmoja wa wagombea hao ni Daniel...
Kampeni zinazidi kushika kasi ambapo kila chama kinachanja mbuga kusaka kura kwa kila namna. Gumzo kubwa lililojili leo ni kauli ya Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa...
Nipo kwenye makundi mengi ya WhatsApp ya CCM mikoa mitano. Ni dhahiri kwa hoja za Lissu ni hakika kuna miguno ya kuvumilia maumivu. Tofauti na matarajio ya wanaCCM wengi waliodhani hoja za...
Mgombea urais kupitia CHADEMA nakumbuka hakuwepo hapa nchini toka 2017 baada ya kupigwa na wenzake wasiojulikana, amepona akabaki huko kama 2yrs hivi.
Mwaka huu uchaguzi umekaribia tunamwona...
Leo, Septemba 6, 2020, Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Joseph Pombe Magufuli yupo safarini kuelekea jijini Mwanza kwa uzinduzi rasmi wa Kampeni za CCM mkoani humo.
Fuatana nasi kwa...
Rais Magufuli akiwa anaelekea Mwanza amewashawishi wananchi wamchague diwani wa ccm na Mbunge wa ccm lakini wananchi hao wamezomea na kukataa mbele ya Rais Magufuli
Wananchi hao wa kata ya...
Tumeshuhudia kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita wabunge na madiwani wengi kutoka chadema wakijivua ubunge au udiwani. CHADEMA haijawahi kuwaambia wananchi sababu ya msingi iliyopelekea hayo...
Kichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma.
Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekia Dibogo Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio...
Ukiacha mafanikio mengi tunayoweza kuyaelezea ya Mheshimiewa Rais Magufuli nimewiwa kuelezea moja ya mafanikio makubwa ambayo yatabaki kwenye mioyo ya Watanzania.
Fanikio hilo muhimu ni ari ya...
Kimbungaa kilianzia Kanda ya Pwani
Kesho ndio kesho kimbunga kitatibuka Jimbo la Mbagala Zakheim
Ni Uzinduzi wa kampeni ya Rais Mhe Tundu Lissu na makamu wa Rais Mhe Salum Mwalimu, kuanzia saa...
Tarehe 5 September 2020 ndugu Gelasius Byakanwa aliwaita watumishi wanaofanyia kazi kwenye taasisi zinazomilikiwa na watawa wa shirika la kikatoliki la Mt. Benedicto Ndanda kwenye kikao kifupi Cha...
Tukielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, tayari kumejitokeza viashiria vya kuvuruga na kuhujumu uchaguzi kunakofanywa na vyombo vyenye dhamana ya kusimamia uchaguzi na amani ya...
Mgombea John Magufuli akiwa amesimama pale nyashimo jimboni Busega asubuhi hii, Kuna kawimbo kalikuwa kanasikika kutoka kwenye gari la matangazo la mgombea, kanyimbo hako ni ka kisukuma...
Kati ya kipindi ambacho Chadema kinapaswa kuwa makini ni hiki cha kuteua mgombea wake wa urais atakayechuana na bwana jonh wa CCM..!
Kama CHADEMA kitashindwa kupanga kete zake vizuri za kumpata...
Kwa sasa kama ni kwenye mpira unaweza kusema CHADEMA wamepoteana. Maana hawajui mpira waanzie wapi! Waanzie pembeni nyuma au waanzie mbele. Maana kila hoja wanayoibua imeonekana ni hoja mfu na...
Kwa ufupi mbeya sio wanafiki sio watu wa kujipendekeza hawaendeshi kiboya na hawaogopi mtu.
Hii inasababishwa na hulka ya wale watu ni wachapakazi hivyo Wana financial muscles mtu mwenye uchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.