Salaam Wakuu,
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limemaliza Mgogoro kati ya Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Hivi Karibuni CHADEMA iliwafukuza TBC...
NGUVU YA CHADEMA HAIPO TENA MBEYA, WATAPIGWA OCTOBER 28
Na Elius Ndabila
Kuna watu jana baada ya Mh Tundu Lissu kufanya mkutano wake jijini Mbeya wamekuja na kauli kuwa Mbeya mjini ni ya...
CCM walijiamisha kuwa wameua upinzani kwa manunuzi ya waunga juhudi, walifikiri kwa kufanya hivyo wananchi watachukia vyama vya upinzani.
CCM walijiaminisha kuwa kampeni zitakuwa mteremko kwa...
Hayo ameyasema Leo akiwa mkoani Mara kwenye kampeni za kuomba kuchaguliwa kwa miaka mitano ijayo.
Ahadi hii imeniacha na maswali mawili Kama ifuatavyo: 1 Je huyu mgombea anawachukuliaje watumishi...
Nimeshangaa kumsikia mgombea u Rais wa chama cha mapinduzi akitumia vibaya kauli ya Mh Lissu-Rais mtarajiwa wa awamu ya sita na kipenzi cha watu,aliyoitoa akiwa Mwanza kwamba yeye Lissu hayuko...
Rais Magufuli leo akiwa mkoani Mara amezungumzia kuhusu sera ya kutoa Bima ya afya kwa watanzania wote.
Ahadi hiyo ameitoa leo kwenye kampeni zake huko musoma mjini.
Kuthibitisha kuwa sera hiyo...
Washauri wa chama tawala na serikali mna majibu ya swali hili? Nimemsikia mgombea wa CCM akisema angeongeza mshahara nauli, unga, mchele, mafuta na sukari vingepanda.
Lakini sukari mwaka 2015...
TUSIMWACHE LISU ATUAHIDI YASIYOWEZEKANA.
Na Thadei Ole Mushi.
Kwenye kampeni za Lisu ana Mambo makubwa mawili anayowaomba watanzania wamchague nayo. Moja ni malalamiko yake ya kupigwa risasi hii...
5 September 2020
Tundu Lissu na Magufuli, Viongozi wa Jamii Marekani wajadili Amani, Haki, Upendo Na Ushirikiano
Kutoka Washington DC pamoja na Studio zetu za South Carolina, leo hii tumepata...
Kwa kingereza ungeweza kusema how CCM underdeveloped Tanzanians for 60 years.
Kwa miaka 60 chini ya CCM bado huduma za afya sio za uhakika Tanzania. Wamama wajawazito wanafariki kila siku kwa...
Wasalaam,
Nachukua fursa hii kuwapongeza sana ITV kwa taarifa ya habari ya SAA mbili kwa kujali na kutoa muda sawa kwa wagombea wa nafasi ya urais was JMT. Hakika ITV ni super brand Afrika...
Hii hoja ya kufuta sheria kandamizi zinazonyima watu dhamana Ni yakuungwa mkono na kila MTANZANIA, wapo Wana CCM inawaumiza na kuwanyamazisha, wapo wapinzani na wapo wafanyabiashara ambao leo CCM...
Wanabodi,
Mahudhurio ya wananchi kwenye Mikutano ya Kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu (2020) haiwezi kuwa sababu ya moja kwa moja ya ushindi Ila angalau yanatoa picha ya mambo yatakavyokuwa...
Ukifungua television bila kujua kama kuna kampeni unaweza kudhani ni hotuba za kawaida za JPM na sio kujinadi ili kuomba kura.
Ulituahidi tukakupa miaka 5 ambayo tumeyaona hatuhitaji kuambiwa...
Wasalaamu wanaJF tunaposema tufanye siasa za kistarabu na siasa za kweli tunamaanisha.
Ni jambo baya sana kuona baadhi ya wanasiasa wanabakia katika mirengo ile ile ya siasa za ulaghai za miaka...
Uchaguzi wa mwaka huu umekuwa wa ajabu sana. Maana ukilinganisha na chaguzi zilizopita mwaka huu ni vituko na mambo ya ajabu sana.
Okiondoa uchaguzi wa mwaka 2015 miaka ya nyuma wapinzani...
Miaka mitano CCM iliangaika na wagombea na viongoz wa upinzani nakusau kwamba uchaguzi unategemea kura za wananchi kuliko kura za viongozi.
Baada ya miaka mitano Leo majimboni kumedoda hakuna...
Jana PCCB wamepiga marufuku mgombea wa chauma kutumia UBWABWA kwenye kampeini zake.
Mzee Rungwe amekuwa anasema yeye atatumia UBWABWA kwenye kampeni zake kama CCM inavyowatumia wasanii kwenye...
Magufuli alijiamini sana kuwa mwaka 2020 atapata mserereko, tulimuonya kuwa tunapanga jeshi huko porini na siku likiingia field patatawanyika. Tukawaambia wafuasi wa CCM kuwa mwenendo wanaoenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.