Kampeni zinaendelea nchini. Wagombea wanajitambulisha kwa wananchi huku wakiahidi kuwaletea wananchi maendeleo ya dhati sambamba na kuboresha hali zao za kimaisha. Hili ni tukio muhimu sana katika...
Kiukweli nafuatilia kwa makini kampeni za chama tawala CCM mgombea urais na wagombea ubunge wameonyesha umahiri mkubwa.
Ni dhahiri mwezi November tunaweza kupata Baraza la Mawaziri jipya kabisa...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Siku ya 9 leo tangu kampeni zianze, hali ya upepo nchini kwa ujumla tayari inatoa picha kuhusiana na uchaguzi mkuu ujao.
Magufuli alidhani anakubalika kwa 100%...
Wakubwa kwa wadogo, itifaki imezingatiwa
Nianze kwa kurudia kusema kuwa, mimi ni non aligned kwa maana ya kwamba "sifungamani na chama chochote cha kisiasa nchini. Hata kama sifungamani na upande...
Msema kweli wahenga walisema ni mpenzi wa Mungu. Chadema imekuwa na kasumba mbaya sana ya kuendesha siasa. Imekuwa na tabia ya kuendekeza vurugu na na hili sio jambo jema.
Ikumbukwe kuwa...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Tunapoendelea kusonga mbele na jitihada za kuleta mabadiliko ambayo kila aliye mzalendo angeyapenda, wenye mawazo mgando wanazidi kuingiwa mchecheto.
Hofu...
Wakuu, Magufuli alisikika akiwa Singida akisema kuwa yeye ndie aliewapanga Mwigulu Nchemba agombee wapi na Kitila Mkumbo agombee wapi.
Swali langu inamaaana Siku hizi kuombea ubunge ni kama...
Muda huu mgombea wa urais wa JMT kupitia CCM Dr Magufuli anaendelea na kampeni mkoani Simiyu na tukio liko mubashara TBC na Channel ten karibu.
Up dates;
Dr Magufuli yuko uwanjani na sasa...
Musa alikwenda na Meseji Moja tu kwa Farao, nayo ni "Let my people Go". Farao akashupaza shingo, akaangalia majeshi yake akaona hakuna mfalme kama yeye duniani.
Akaangalia wachawi wake, akasema...
Ni jambo la wazi kabisa kwamba heshima ya Tanzania kimataifa imepotea ktk kipindi hiki cha awamu ya 5.
Rais wa Nchi ndiye mwanadiplomasia nambari one wa nchi yake, na ktk hili tuwe wakweli kwamba...
Wakuu habarini za jioni,
Natumai mko salama na mnaendelea na majukumu yenu.
Nimeona niulete huu uzi wa mheshemiwa Tundu Lisu hapa tuujadili ili tuone kama kweli hoja hii ina mashiko ...
Leo mgombea ubunge wa Jimbo la ubungo kwa tiketi ya CCM, ndugu Prof. Kitila Mkumbo amefanya Mkutano wake wa kwanza wa uzinduzi katika viwanja vya #EPZA na haya ndio yaliyojiri
Mgombea Ubunge jimbo la Kibamba kupitia ACT-Wazalendo, bwana Mwesigwa Zaidi amejiengua, kutogombea ubunge kwenye jimbo la Kibamba kwa kile alichoeleza ni ushauri wa madaktari wake ya kwamba...
Naomba nikiri nimefurahi sana kusikia umeeleza ni namna gani wabunge wa CCM wamepitisha sheria zinazotuumiza wananchi.
Kwanini nimefurahi sana?
Sababu kubwa ni hii,baadhi ya watanzania wenzetu...
Wanabodi, sisi kama wana CCM tunaoshauri hapa mambo mengi sasa JPM anayajibu.
Leo Rais ametangaza ataajiri walimu wa msingi na sekondari zaidi ya 13,000
Hakika sasa hoja zinajibiwa kwa hoja...
Mgombea ubunge wa CCM Vunjo, Dr. Charles Kimei anatuaibisha na picha zinazo zunguka kwamba kafanya TAMBIKO ili awe mbunge. Msomi mzima anafanya mambo ya ajabu.
Nawaomba sana NEC na Vyombo vyote vya Dola, chondechonde kwa idadi ya Watanzania wanaojitokeza kumpokea na kumsikiliza Lissu kwa furaha na mapenzi yao ya dhati kwake na kwa chama chake nawaomba...
Sina hakika kama unafiki na upotoshaji wa ukweli kwa wanasiasa ni kitu cha kawaida, lakini inakera zaidi wakati upotoshaji na unafiki huo unapo kithiri na kuvuka mpaka.
Iko on record kwamba huko...
Tundu Lisu popote ulipo heshima kwako mkuu,
Waeleze watanzania kwamba wanachosema elimu bure siyo kweli watoto wa masikini bado wanalipia ELIMU TENA SANA mf
1. Nauli
2. Madaftari
3. Uniforms
4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.