Hodi wana jukwaa.
Katika kipindi hiki cha harakati za wagombea na vyama vyao kuendelea kunadi kampeni zao ili kupata uhalali wa kuunda serikali zikiendelea bado najikuta nina maswali mengi ya...
Tundu Lissu alipohojiwa kwenye Hardtalk watazamaji zaidi ya milioni 80 duniani kote walimfuatilia na kutazama kipindi.
Kipindi cha dakika 45, kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV superbrand...
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha CHAUMA, Hashimu Rungwe amejikita katika ahadi ya kuhakikisha watanzania wanapata lishe bora kwanza, wali-kuku imekuwa ndio kibwagizo chake, na amekuwa...
Kwanini ni Prof Lipumba
1. Ni kwa sababu ana majibu ya kitaalam ya kutatua matatizo yanayo ikabili nchi na wananchi kwa ujumla
2. (i)Ana deni kwa watanzania linalotokana na kodi zao...
Mvomero sio Wilaya kongwe,na kwa hiyo kimaendeleo iko nyuma sana.Wilaya hii ina matatizo mengi, ya msingi yakiwa upatikanaji wa maji,migogoro ya wakulima na wafugaji ambayo imedumu kwa miaka mingi...
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaoelekeza mashambulizi kwa upinzani, hasa mgombea wa CHADEMA, T. A. Lissu. Katika mazingira ya uchaguzi ambapo chama kimoja kinaomba kura kurejea madarakani...
Mpaka hivi leo nawaza na ninamtafuta huyu Mtu (Mtanzania) aliyemdanganya kabisa wazi wazi Bernard Membe kuwa ana 'Mvuto' wa 'Kisiasa' na kwamba 'akigombea' Urais nchini Tanzania kwa Kushindana na...
Miradi hii mikubwa ya barabara, maji kumpa kura za ndiyo Mbunge anayetetea Jimbo la Ilemela, Angeline Mabula
MGOMBEA ubunge jimbo la Ilemela kupitia CCM, DK. Angeline Mabula amesema katika...
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo...
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.
Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha...
Kwa miaka mitano tangia uingie madarakani wapo wananchi wengi waliokuunga mkono wakakubali kufunga mikanda wakasahau yale yote uliyowaahidi ili mambo ya msingi yafanyike wakitegemea mambo yatakuwa...
Pombe Magufuli nakushauri usisahau kuwaeleza wananchi kuwa Tanzania ya viwanda kama umeifanikisha, maana 2015 ulipigiwa kura na watu wengi kwa namna ulivyonadi sera zako, hasa iliyonivutia mimi...
KWA UBABAISHAJI HUU WA CHADEMA HAWAPASWI KUPEWA MADARAKA
Ndani ya CHADEMA kumekuwa na malalamiko na madukuduku ya muda mrefu sana ya wanachama na viongozi mbalimbali kuhusu namna mambo mbalimbali...
Kimsingi jiji la Mwanza linapanuka kila siku na ni kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati na hususani kusini ya Jangwa la Sahara. Jiji hili ni la pili kwa Dar na pia linachangia asilimia...
Wadau kesho Jumamosi Sept 5 katika jiji letu la Arusha tulikuwa tuwe na kongamano la kiimani linaloendeshwa na redio Safina
Vile vile siku hiyo ya kesho CCM wanatarajia kuzindua kampeni za Ubunge...
Wanajamvi,
Takribani wiki moja sasa tangu kipyenga cha kuanza Kampeni kilipopulizwa.Vyama vya siasa vipo "field" kuomba kura. Japo ni mapema mno kutoa tathmini ila so far tunaomba mambo yanaenda...
Hakika hii ni aibu kwa taifa, kwanini washauri wa mgombea Urais wa CCM ambaye bado ni Rais wa JMT wanashindwa kumuelekeza mambo ya kufanya? Haiwezekani Rais mzima apigishwe magoti uwanjani kwa...
Nasikitika na kushangaa sana ninaposikiliza hoja za wanasiasa wa upinzani. Nafikiri wanaona aibu kunyoosha mikono na kukubali tu kuwa CCM inafanya mazuri na kuwa wanalazimika kupinga tu ili...
Mafukara (95%) ya Watanzania wana mengi ya kusema kwa hawa wagombea kupitia mabango.
Mabango ni Direct messages ambapo wasio na uwezo wa kumuona Rais Wa Wanyonge ana kwa ana wanamrushia live...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.