Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuitikisa jiji la Mwanza katika mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Furahisha.
Tayari maandalizi yamekamilika na maandamano makubwa...
Pamoja na jeshi la polisi kujitwalia taswira mbaya machoni pa wapenda haki kwa kuonesha upendeleo wa wazi nyakati za nyuma, angalau tokea kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuuwa mwaka huu wameonesha...
Habari wana JF, baada ya CHADEMA kupitia kipindi kigumu cha kampeni pasipo media na hivyo habari zao kutowafikia watu wengi na kwa wakati, nimekuja na ushauri ambao wakiutumia lazima kwa sehemu...
Tangu kuanza kwa Kampeni nimekuwa nikifuatilia timu za Kampeni za Chama Cha Mapinduzi na zile za Upinzani, ukifuatilia utaona tofauti kubwa zinazodhihirisha uwezo mkubwa na maarifa ya kupanga na...
Kuna Watu naona wamehoji sana 'posts' zangu nyingi za Kuanzia Jumamosi iliyopita tu hapa Jamvini ( JamiiForums ) huku wakisema kuwa imekuwaje GENTAMYCINE 'nimebadilika' ghafla. Natoa Jibu la jumla...
Nafuatilia sana kampeni haswa za mgombea uraisi kwa CCM, nimeona ukweli was utafuti uliotoka na hitimisho kuwa Tanzania ni moja ya mataifa ambayo watu wake hawana furaha. Angalia:-
- Utaona watu...
Kumbukumbu zangu zinanionyesha kuwa 2015 Lowassa alipunguza kura za CCM na hivyo CHADEMA kufaidika.
Mwaka huu ACT wazalendo ina mgombea urais mwenye nguvu zaidi ya yule wa 2015 naye akitokea CCM...
Godbless Lema ni mmoja wa wawekezaji ambaye alinunua hadi mitambo ya kujenga kiwanda cha kutengeneza toothpick na leseni ili nchi isiendelee kuagiza toka nje kipindi hiki cha serikali ya Awamu ya...
Nimeona CHADEMA ikijinadi kuwa ndani ya siku mia moja watahakikisha huduma za afya inatolewa bure kwa kushirikiana na taasisi binafsi. Kwangu hili itakuwa jambo jema kwa watu zaidi ya watu...
Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais.
Anapata shida mno kueleza sera za CHADEMA na hasikii raha na ujasiri wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza...
Ndugu WANA FORUM,
Kampeni za chadema mwaka huu hazina ile amsha amsha tulioyozoea miaka ya nyuma.
Naona viongozi wote wa kitaifa na wagombea wote wa kitaifa wanafuatana kwa pamoja mfano pale...
Yapo pia mambo ambayo wapinzani inabidi wayaweke wazi kwenye majukwaa. Tunapozungumzia wapinzani naamanisha CHADEMA na ACT-Wazalendo. Wasipoyasema sasa hawatapata tena muda wa kuyaongea baada ya...
Habari wenye chama chenu, naamini mnafuatilia mikutano ya Mgombea wenu wa Urais kama mimi nifanyavyo kwa wagombea wa vyama vitatu maarufu. Nilitamani kuongea na kiongozi wa Chama mara baada ya...
Habari za mihangaiko watanzania wenzangu!
Binafsi mimi siyo mfuasi wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania. Mimi ni mtanzania ambaye kura yangu ninaitoa kwa mgombea kulingana na sera zake na...
Tangu uzinduzi wa kampain ya uchaguzi mkuu chama kikuu cha upinzania kinachomalizia muda wake kimeonekana kupoteza mvuto na mahudhurio hafifu mbagala, kawe na leo segerea kimepata watoto na...
Ukiona umati mkubwa wa vijana wanataka mabadikiko kweki kweli, hali ni ngumu mtaani, ajira ni ngumu sana, biashara ni ngumu, kazini mishahara haikidhi mahitaji ya soko, wanaonufaika na uchumi wa...
Unataka kuwa Rais ili tu ujenge Barabra ya Lindi? Mtu akitaka kuleta mabadiliko kwao lazima awe rais?
Wakati ukiwa kwenye serikali ya brother, mlifanya nini cha maendeleo zaidi ya kuharibu...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimeamua kuwasilisha rufaa za wagombea wake walioenguliwa katika kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) bila kupitia kwa...
Wapwa,
Ni ukweli usiopingika kuwa wanawake wamekuwa ndio kimbilio la CCM kujichotea kura lukuki tangu kupatikana kwa uhuru.
Wenzenu wanatumia wasanii kushawishi wakina mama kupigia kura chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.