Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, Dr. Magufuli leo anaendelea na mikutano yake ya kampeni katika jimbo la Bahi. Watu ni wengi sana na mkutano huu utarushwa mubashara na TBC na Channel Ten...
10 Reactions
91 Replies
11K Views
Lissu kaishiwa nguvu aendesha kampeni kivivu majimbo yako 264 yeye siku moja anafanya Jimbo moja itamchukua miezi 9 kuyamaliza tume imetoa miezi miwili tu kabla ya kura. Kwa spidi hiyo hatamaliza...
16 Reactions
78 Replies
7K Views
Wananchi wengi walitegemea kuwa kampeni zikianza tushudie na kusikia kuwa watatutalia vipi kero zetu. Mfano tulitarajia kusikia kuwa pamoja na haya mambo makubwa yanayotekelezwa na Ccm na...
19 Reactions
212 Replies
12K Views
Kitendo cha Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime kutumia lugha isiyo ya staha jukwaani kwa kumuita mgombea wa CHADEMA "mwanamke malaya" ni cha kidhalilishaji na hakipaswi kunyamaziwa pasipo kukemea...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Fred Lowassa mgombea wa Ubunge Jimbo la MONDULI kwa tiketi ya chama Cha mapinduzi(CCM) ,Leo anaanza rasmi kampeni zake za ubunge kwa Jimbo Hilo la Monduli. Na hizi ni update za picha katika...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Tumekuwa na Rais mjanja sana. Jana akiwa singida alitaja miradi mingi ya 2013-2015 kama sehemu ya mafanikio yake Sasa ili nirudishe imani kwake angefanya yafuatayo: 1. Atoe orodha ya majina ya...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Lipo tatizo linalo ichafua Tume kwa kuwaengua baadhi ya wagombea na wengine kunyanganywa fomu zao wakati wa urejeshwaji, Hayo ni madhila waliyo kutana nayo wagombea wa upinzani pekee,na hili...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Mwaka 2015, kwenye uteuzi wa wagombea udiwani na wabunge mambo yalikuwa kama ifuatavyo: 1. udiwani, rufaa zilikuwa 223, nyingi zikiwa za CCM (83) na Chadema (87). Hakuna mgombea wa udiwani wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Juzi ulivyokuwa mwanza uliongelea kuhusu wakulima wa pamba kukopwa Pamba yao na wanunuzi binafsi wa Pamba. Naona mkuu haukuwepo nchini muda mrefu. Naomba nikusaidie. 1. Msimu wa pamba 2019/2020...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Leo Chama cha ACT–Wazalendo kinazindua Ilani yake ya mwaka 2020 katika Hoteli ya Protea Courtyard. Pamoja na mambo mengine Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Bernard Membe na...
6 Reactions
134 Replies
16K Views
Na Elius Ndabila Leo chama cha ACT Wazalendo kinachoongozwa na Mh ZITTO KABWE wamezindua ilani yao ya uchaguzi baada ya makubaliano yao ya kuungana dhidi ya CCM kugonga Mwamba. Katika hafla hiyo...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Naona wingi wa ahadi kutoka kwa wagombea watafanya hili na lile lakini wanasahau kutuambia njia watakozotumia kutukamua kupata hizo fedha za kuyafanya hayo wanayotuahidi. Nilikuwa nafikiri ni...
0 Reactions
7 Replies
758 Views
Leo ACT-Wazalendo wako Lindi wanazindua kampeni, Mic akashika mtu anayeitwa Chaurembo. Japo maneno yalikuwa makali kiasi chake, TBC wakaamua kurudi studio na ku-buy time mpaka mhusika amalize ndio...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Graduates, Kama kungekuwa na sera nzuri basi mngekuwa na ajira ila sera za sasa ni za Kimasifa kununua ndege, mara kujenga madaraja makubwa sehemu ambayo haina return kubwa. Vijana mko mtaaani...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi jana katika uwanja wa Jamuhuri, Magufuli alifurahishwa sana jinsi watu walivyojaa ndani na nje ya uwanja hivyo kuahidi kujenga uwanja mwingine mkubwa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Mbunge mteule wa jimbo la mtama huko Lindi Nape Nnauye amesema asilaumiwe yeye kwa kupitishwa bila kupingwa kwani sheria hiyo imekuwepo kabla yeye hajawa Mbunge. Zaidi ya hapo ni kuoneana wivu...
9 Reactions
53 Replies
5K Views
Jaribio la kwanza ni kuwaengua wapinzani kwa visingizio vya mapingamizi yasiyokuwa mbele wala mkia ili kujihakikishia Idadi ya wabunge wanaosubiri kuapishwa baada ya Uchaguzi hapo October. Hiii...
11 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili...
52 Reactions
759 Replies
109K Views
Mgombea huyu wa ccm miaka 5 aliyotumikia ikulu inamtosha. Katika miaka 5 hiyo amefanya mambo mengi ya kibabe yanayoenda kinyume na matakwa ya wapiga kura wake. Moja kubwa ambalo lililalamikiwa...
4 Reactions
1 Replies
850 Views
Uchaguzi wa mwaka huu sioni kama mgombea wa CCM anahitaji au kuonesha nia ya dhati ya kufanya kampeni za kuomba kibarua cha kulisha familia yake kwa miaka mitano tena. Ninachokiona naona mgombea...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom