Mgombea uraisi kwa tiketi ya Chadem ndg.Tundu A.Lisu anahitaji kuiachilia nafsi yake kwa kusamehe mabaya yaliyomkuta miaka mitatu iliyopita.Kuyaongelea kila mahali ampatapo wa kumsimulia,hasa...
Habari Tanzania
Nakuomba ewe mpiga kura ambaye uliyejiandikisha mwaka 2015 baada ya uchaguzi; kutokana na harakati za maisha ulihama eneo lako la kujiandikishia kupiga kura. Mwaka 2019 na 2020...
USHINDI WA CCM OKTOBA 2020 ITAKUWA FEDHEHA KWA UPINZANI HASA CHADEMA NA ACT.
Niliwaambia wapinzani waungane waunde Umoja utakaoitwa MUMAFI (MUUNGANO WA MABADILIKO YA FIKIRA) lakini wamekubali...
Wanabodi,
Ninafurahi kuona kampeni za Uchaguzi mkuu wa 2020 zimeanza huku amani ikitamalaki licha ya changamoto za hapa na pale.
Nimefuatilia uzinduzi wa kampeni wa vyama vya CCM, CDM na ACT-...
Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa (hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.
Sina shaka baada ya uchaguzi, Tundu...
Vyama vya upinzani vimeegemea kuamini kuwa wananchi wanaichukia sana serikali ya CCM kutokana na mambo mawili: mzunguko wa pesa kupungua mitaani, na serikali ya CCM kuwabana sana watu wafuate...
Najitokeza kuchangia japo kidogo juu ya mgombea wa CCM anayeomba Watanzania tumpe miaka mitano ili aoneshe maajabu. HAYA MAAJABU ALIYOONESHA KWA MIAKA MITANO YANATOSHA!
Hata hivyo, Tanzania ni ya...
Si wananchi, si Polisi, si Wanajeshi si Vyombo vya Usalama si wafanyakazi serikalini,wote wameshaichoka CCM kwa jinsi inavyowahangaisha, njooni huku twendeni kule watu hawana raha na maisha wapo...
Baada ya kuahidi kuwa akipata nafasi ataigeuza misikiti kuwa Sunday school mpaka hatimae akateuliwa ili atimilize jambo lake. Ameanza kupita kwa Waislam kuwahadaa ili wasimkate kwe kura.
Aidha...
Maneno haya kayasema leo singida mjini wakati akitambulishwa na mgombea urais wa CCM Dr John Pombe Magufuli alipokuwa akiomba kura ili apate ridhaa mara ya pili kuitumikia nchi.
Katika matamshi...
Nilichokiona Juzi Jumapili katika Nyumba Kubwa mbili zenye Kuwaunganisha wenye 'Dhambi' na aliye juu 'Mbinguni' hasa za Mwenge na Tanganyika Packers hakika sasa nimeamini ule Msemo wa Wahenga wetu...
Hakika Tanzania kumekucha, tusio wanasiasa tunaanza kupokea CV za walio tutaka tujiajiri rejeeni kauli zao walipo kuwa Bungeni.
Sina haja ya kurejea kauli zao,nimeisoma Ilani ya chama cha...
Utamu wa kampeni za mwaka huu mawe yanarushwa upande mmoja tu tofauti na 2015. Mfano leo kalipua liinternational airpot la chotola. Tofauti na 2015, EL alitupa kigugumizi lilipokuja suala la...
Nimesoma ilani ya CCM aka Thesis, ya CHADEMA, na ACT-Wazalendo. Kusema ukweli ACT-Wazalendo wamedhihirisha wana wasomi vichwa.
Kwanza wamechambua mapungufu katika utekelezaji wa ilani ya chama...
Vunjo
Kukosekana kwa elimu shirikishi juu ya wadau wa Sekta za kifedha katika Jimbo la Vunjo kumepelekea wananchi walio wengi kushindwa kunufail na mikopo hususan inayotolewa na Serikali.
Dkt...
Moshi.
Miundombinu kwenye masoko yaliyo mengi katika jimbo la Vunjo imetajwa kutokwa rafiki hivyo kufanya biashara kufanyika kwenye mazingira magumu na hatarishi ikilinganishwa na maeneo mengine...
Huyu mgombea ambaye ndiye Rais amalizaye muda wake na anaomba tena watanzania wampe tena miaka mingine 5 ili aendeleze kipaumbele chake kwenye kununua ndege, kujenga madaraja, kujenga reli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.