Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakuu nimetafakari kwa kina jinsi huyu mgombea wa CCM kwa ngazi ya Urais alivyotengwa na watu makini na wenye mvuto katika siasa za Tanzania hasa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na sasa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mara kadhaa nimelinganisha mtanange wa uchaguzi wa mwaka huu na pambano la ngumi kati ya Muhammad Ali na George Foreman. Leo hii nitagusia jambo ambalo nadhani wengi mtakuwa mmeligundua. Nalo ni...
20 Reactions
54 Replies
6K Views
*CHADEMA WATACHAGULIWA NA NANI?.* Chadema wanataka kuchukua dola lakini mpaka sasa wameshagombana karibu na kila chombo wanachotaka kwenda kukiongoza. Polisi hawafai Mahakama Haifai Takukuru...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Katika Uteuzi wa wabunge na madiwani uliokamilika Agosti 26, 2020 wabunge kadhaa waliwekewa mapingamizi hali iliyofanya baadhi ya majimbo kuwa na wagombea wa chama kimoja tu Agosti 28, Tume ya...
3 Reactions
67 Replies
8K Views
Idara ya Uhamiaji imeelezea mikakati yake kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu. Akihojiwa na mtangazaji Albert Kilala wa Channel ten msemaji wa idara ya uhamiaji mratibu msaidizi Aziz Kilondomara...
4 Reactions
79 Replies
6K Views
Kampeni za uchaguzi mkuu wa uraisi,ubunge na udiwani 2020 zimevuka wiki ya kwanza sasa huku kila chama kikihaha kuzunguka nchi nzima kuomba kura na kuungwa mkono na wananchi,yafuatayo ni mambo...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Nilitegemea mapingamizi ya Wakili msomi yajikite kwenye ukweli wa kile kilichojazwa kwenye fomu na siyo ujazaji wa fomu. Yaani Tundu Lisu anakagua picha kana kwamba anasahihisha mtihani . Msingi...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Kwamba, kwa sasa haiwezi kutawala peke yake, mawazo ya pekee kwa sasa hayana nguvu, Kwamba, upinzani umekua na utaendelea kukua na kwamba kutumia njia za kistaarabu ndio njia pekee ya kuienzi...
11 Reactions
15 Replies
1K Views
Ziko nyingi tu. Hiyo hapo juu ni mfano. Nafikiri Magufuli ana mengi sana ya kuzungumza yale aliyoyafanya kwa miaka mitano. Hizi kauli anazotoa sio hadhi yake kama rais. Kama ana tatizo la...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Kila anapopita, hujieleza. Tena ni mambo yaleyale aliyoyahubiri na kuyatajataja kwa miaka yake yote mitano madarakani: ujenzi wa reli, ujenzi wa bwawa la umeme, barabara, zahanati, madaraja na...
55 Reactions
87 Replies
7K Views
Baada ya kuwasikiliza wagombea wa upinzani ambao tayari wameshaanza kampeni zao, nimejaribu kubainisha tofauti zao, ambapo kwa mtazamo wangu naona Bernard Membe ana uwezo Mkubwa sana wa kuongelea...
16 Reactions
105 Replies
7K Views
1. Ina Watu wengi wenye mvuto. Hapa Unaweza kuona ambayo mtu kama Mwana FA anaweza kukusanya watu sawa na anaokusanya Lissu kwenye miji mikubwa. Sijui kama Salum Mwalimu atembee bila Lissu kama...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika maandiko ya Biblia takatifu katika kitabu cha Mithali 14:34 kinasema hivi "Haki huinua Taifa, Bali dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu. Kutokana na maandiko hayo na sera hiyo...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Naibu Katibu Mkuu wa ACT-WAZALENDO Nassor Mazrui alitoa matamshi yanayohamasisha ghasia mnamo tarehe 26.08.2020 akifuatiwa na Mwenyekiti wa chama hicho Maalim Seif ambaye alihamasisha vurugu...
-2 Reactions
6 Replies
1K Views
Magufuli ni mtu anayesimamia maneno yake, aliwahi kusema hakutakuwa na siasa za majukwaani mpaka 2020 na kweli imetokea hivyo. Tutakapo rudi baada ya uchaguzi hakutakuwa na siasa za maandamano...
0 Reactions
3 Replies
625 Views
Ukweli una tabia ya kujitenga na uongo, mwaka huu CHADEMA imeonyesha udhaifu mkubwa sana hii ni kutokana na pengine walikuwa hawajajiandaa na kampeni za mwaka huu. Nimeona mapokezi ya MwanaFA...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
TATHMINI YA LEO; Taarifa ya habari ITV & TBC1. Nipo Kinondoni Mkwajuni nakunywa bia mahali hapa nilikuja kunywa bia hivi hivi Mwaka 2015, tofauti ya Mwaka huu 2020 watu wamemsikia Lissu wakasema...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Huu ni ushauri wa bure: Ni makala yangu ya pili leo maana mmenitibua CHADEMA. Mkitaka kujua hasira zangu zimeanzia wapi kasome hii Anayesimamia Idara ya Habari CHADEMA anakihujumu chama Nimeona...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
WARAKA WA WAZI KWA WAGOMBEA URAIS Na, Robert Heriel Andiko hili ni kwa Maslahi ya nchi hii. Yeyote mwenye nafasi kubwa anaweza kulitumia katika kuinua taifa hili. Hata hivyo kila mmoja kwa...
0 Reactions
8 Replies
853 Views
Napendekeza uwepo mdahalo wa wagombea urais wa vyama vya upinzani wanaompa changamoto ( challenge) mgombea wa chama tawala Dkt. Magufuli. Wagombea wa upinzani watueleze cha zaidi watakachokifanya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom