Salaam,
Wakuu, Huu mwenendo wa hiii CCM na Mgombea wake kutaka kumuangushia jumba bovu Kikwete, haikubariki. Na kwenye Kampeni za 2020, Msipomshirikisha, CCM itapata kura za aibu. Mtaishia kuiba...
Huyu ni Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako kwa tiketi ya CHADEMA akitumia njia mpya ya kujitangaza .
Mytake : Tunaomba radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu nyingi za kampeni , hii ni kwa vile...
Hapa Mwanza Jimbo la Nyamagana gari ya matangazo iliyosheheni bendera za CCM na mziki mkubwa inapita jimboni ikitangaza mkutano wa mgombea Ubunge wa TLP Jimbo la Nyamagana.
Ama kweli Tanzania ya...
Chama kikongwe Nchini na maarufu kwa mchakato wa Katiba kinatarajia kuzindua kampeni zake Jumamosi hii jijini Dar es salaam kwa Kishindo kikubwa Sana. Wadau wote mnakaribishwa. Mimi sio msemaji wa...
Ndugu zangu,
Hili la CHADEMA kumnyooshea kidole Makene si sawa. Ieleweke kuwa kuna picha na video zingine anazuia zisiende kwa umma kimkakati kwani hali ya mahudhurio huwa ni mbaya.
Akiweka kila...
30 Agosti 2020
Mlowo, Mbozi
Songwe.
Mgombea Mbunge kupitia Chama cha CHADEMA azindua kampeni ya Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 mbele ya mkutano wake mkubwa wa kwanza jimboni Mbozi...
Nimeangalia mkutano wa Membe kule Kusini. Amewaambia wananchi wa Lindi wamuulize Magufuli maswali 4.
1. Wapo wapi watu wetu waliopotea? Yaani wale waliotekwa na hatuwaoni tena.
2. Wamuulize...
Habari wana JF, leo nipo kushangaa jambo ambalo sijui imekuwaje linatokea tena kwa viongozi wa chama. CHADEMA imefeli kwenye suala zima la habari kipindi hiki cha kampeni, imefeli sana.
Binafsi...
Hayo ndiyo maneno ya Tundu Lissu leo. Amewaasa watanzania wawe makini kwani kwa lundo la kodi alilotoza Rais Magufuli basi upo uwezekano ikiwa atarudi madarakani akatoza mpaka kodi ya kujifungua...
Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Prof. Kitila Mkumbo, ambaye ni mwanazuoni mbobevu na mkazi wa Ubungo kwa zaidi ya miaka 20, kesho atazindua rasmi kampeni zake...
Unaweza kusikiliza video clip yote.
Lakini Chaurembo yuko kuanzia dk 10:44.
CCM watafute watu wa kuzima hoja za Chaurembo.
Wakichelewa watajikuta wamefutika mikoa ya kusini.
Mgombea wa CCM kwa kiti cha Urais hajapata kuwepo duniani..ni kama Masihi
Lakini tatizo kubwa la huyu mgombea ni mwoga mno...yeye hata lugha tu ya Kiingereza anaogopa..
Lkn pamoja na Woga wake...
1. Watumishi wa Umma, kwa sababu hawajapewa mishahara na posho zinazostahili kwa miaka zaidi ya 6 iliyopita ukiacha wale wachache wateule.
2. Wanafunzi wa Vyuo vya elimu ya juu kwa mateso...
CHADEMA Urais Zanzibar ambako kule vyama vikuu ni CCM na ACT-Wazalendo
Lakini pia CHADEMA wameonyesha kutokuwa na fedha za kutosha hadi kufikia kupitisha bakuli kwenye mikutano yao
Sasa kulikuwa...
USHAURI KWA KAMPENI YA URAISI YA CHADEMA
NDUGU wanachadema wenzangu, Ni siku sita sasa zimeisha tangu kampeni ya uraisi ianze, Na kwa kweli niseme wazi kabisa CDM tumeanza vizuri sana katika...
Wasalaam wakuu,
Poleni sana na shughuli mbalimbali za kujenga taifa.
Sote katika jukwaa la siasa tumekwisha shuhudia la mgambo likilia kwa vyama mbalimbali kuanza kampeni za uchaguzi wa tarehe...
Wajumbe
Nasoma hapa ukurasa wa 5 mwanzoni kabisa, kwamba CCM imezamiria kustawisha maisha ya kila Mtanzania kwa kutokomeza umaskini na kuhakikisha taifa linafikia uchumi wa kati ( Kumbe bado...
Haya ni maoni binafsi.
Endapo CCM itashinda na ikaendelea na moto ule ule, basi ihakikishe CHADEMA imefutika kabisa. Mwaka 2025 hakutakuwa na kusikiliza sera, bali kutakuwa na siasa za ushabiki...
Wasalaam wakuu,
Sote tumeshuhudia uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, uliofanyika katika viwanja vya Mbagala.
Kwa uzinduzi huo uliofanyika leo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.