Na pia nisaidieni kufahamu ni nani kazuia Lissu kutosemwa popote!?
Nimefuatilia magazeti kote kimya. BBC wakianza report habari zake sauti inakuwa muted.
Hii ni hatari kubwa.
Nadhani kama kuna Jambo limekosewa ni kuwa na tume inayowapa uhakika Wagombea kwamba wafanye kampeni au wasifanye watapitishwa tu. Mmoja wa wagombea katika majimbo ya Mwanza amediriki kujinadi kwa...
Habari,
Kwa mawazo yangu, upinzani ni upande wenye fikra, sera, mawazo na maoni mbadala wa chama kilichopo madarakani. Hivyo basi, katika nchi nyingine watu hufikiri kwenda na upinzani kwa...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania.
Katika kikao chake cha Kamati Kuu...
Siku 3 zilizopita chama cha CHADEMA kimefanya Uzinduzi wa Kampeni zake Mkoa wa Dar es Salaam, Katika hali isiyotarajiwa mwitikio wa watu umekuwa Mdogo kuliko Kawaida sana naweza...
Please uongozi wa CHADEMA Media fanyeni hima hotuba zote za Lissu kila anakofanya mkutano zitengenewe clips za peke yake kuwezesha wadau mbali mbali kuweza kufuatilia kwa mtiririko hotuba hizo...
Mfumo wa Uchaguzi Tanzania ni kuwa anayepata Kura nyingi ndiye mshindi. Hii inamaanisha kuwa Rais, Mbunge au Diwani atakayepata kura nyingi ndie atakayetangazwa mshindi. Aidha kuna uwakilishiwa...
HABARI,
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC mapema tarehe 25 Agosti 2020 ilimteua Ndugu MWAKASAKA BOAZ DONARD kuwa mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Sauti ya Umma (SAU). Mwakasaka ni...
1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini
2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini
3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe
4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini
Hizi ni mechi...
Habari za saa hizi wanaJF, poleni kwa majukumu. Kuna jambo moja ambalo kwa uhalisia wake limenifedhehesha sana. Mimi binafsi na wenzangu ni mhudhuriaji mkubwa wa mikutano ya kisiasa, hivyo...
CCM WANAORODHESHA VITU BADALA YA KUTUPA MIPANGO.
Mwenyekiti wa CCM ambae pia ndie mgombea urais wa Chama hicho pamoja na timu yake wameanza kampeni zao pale Dodoma na kwenye vyombo vya habari vya...
Mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amesema chama chao kinafanya kampeni za kimkakati na kitovu cha kampeni zao ni jiji la DSM.
Mbowe amesema mgombea urais wa CHADEMA kesho atakuwa jijini...
Leo katika uzidunzi wa ilani ya ACT-Wazalendo nimemsikia Zitto akitaja mambo zaidi ya kumi ambayo CCM waliahidi kwenye ilani yao na hawakutekeleza hata kidogo, na sio tu kutekeleza bali hata...
Hayawi hayawi, sasa yamekuwa, ni rasmi sasa chama cha NCCR-Mageuzi kimejipanga kufanya uzinduzi mkubwa wa kampeni zake za uchaguzi Septemba 05, 2020 kwenye viwanja vya Zhakeim, Mbagala Jijini Dar...
Nakumbuka wakati wa kutafuta wadhamini chama cha demokrasia na maendeleo kilikuwa kikitafuta wadhamini wake kwa uwazi na mikutano ya hadhara japo hawakupewa air time na vyombo vya habari lakini...
Naona wote wanapiga tu chenga watuambie sisi vijana tunapataje ajira au tunajiajirije wakati mikopo kwa ujasiriamali kupata vigezo ni vingi pia riba kubwa
Watuambie wananchi wa kipato cha chini...
Natoa ushauri kwa kuwa siipendi CCM na Mimi Sina chama ila napenda haki kwani haki huinua taifa.
CHADEMA kufanya uzinduzi sehemu tatu kwa siku tatu sehemu moja inachosha.
Watu waliokuepo leo...
Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia kampeni za vyama hivi viwili ili kujua nini hasa sera zao. Nini hasa watakwenda kutufanyia Watanzania katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Ni kwa namna gani...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema inaendelea kushughulikia rufani na pingamizi ziliyowekewa na wagombea wa vyama mbalimbali vya siasa.
Mkurugenzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera, alisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.