Katika hali inayoashiria uwezekano wa umwagaji mkubwa wa damu huko Zanzibar hasa kisiwani pemba, wananchi wa huko wakiwa na hasira kali kutokana na kuenguliwa wagombea wao, wamejiapiza kukabiliana...
Wakati wa chama kimoja kulikuwa hakuna mgombea yoyote anayeweza kupita bila kupingwa.
Wakati wa chama kimoja kulikuwa na kura ya ndio au hapana.
Je, inakuwaje kipindi hiki cha mfumo wa vyama...
Mikutano mikubwa ya kampeni ya Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ), ambaye magwiji wa siasa nchini Tanzania wanamkadiria kushinda kiti hicho kwa zaidi...
Nawaombeni wananchi wote wapenda HAKI tujitoe kuchangia walau kuanzia sh.500 ili kufanikisha kampeni za CHADEMA.
Nawaombeni msishangae kwa hilo kwa sababu tayari fedha zote za kampeni za CCM ni...
Napenda kuwapa somo dogo ndugu zangu wa CHADEMA kwa kuwa mnaendelea kujifunza siasa.
Kuna msemo wa kiswahili unaoonya kuhusu kumuiga Tembo Kunya....Mtamalizia wenyewe!!
Nimefuatilia mara kadhaa...
Kama mtu ataamini kwamba akipora fomu au kumteka Mgombea mwenzake basi atakuwa amepita bila ya kupingwa, hiyo inajenga tabia ya kihalifu.
Wanasiasa wenye woga wa kushindana na wanasiasa hutukia...
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika...
Leo chama tawala (CCM) kinafungua kampeni zake uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kuomba ridhaa ya wananchi kurejea kwenye utawala baada ya ngwe ya kwanza ya miaka mitano ya serikali ya awamu ya tano...
Macho yote yako tume ya uchaguzi chini ya jaji Kaijage mziki huu school mate wangu kihamia asingeuweza kamwe. So far tume inafanya vema. Si vibaya kwa hatua hii kutoa pongezi za awali.
Kuna mambo...
Siasa zina mbinu nyingi katika ushindi. Moja ya mbinu ni kujua adui wako ana silaha za aina gani kabla haujaingia kwenye mapambano!
Kwa mfano, Miaka ya nyuma, wapinzani walikuwa wanasubiri kwanza...
APITA BILA KUPINGWA UBUNGE MTAMA Lindi:
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Samuel Warioba Gunza amemtangaza Nape Nnauye mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa...
Katika hali ya kushangaa, jana Jackson Kangoye alimuita Michael Kembaki na kumpa masharti ya yeye kumuunga mkono katika uchaguzi mkuu ngazi ya ubunge katika Jimbo la Tarime Mjini.
Jackson alimpa...
Ndugu zangu Viongozi na wanachama wote wa CDM bila kupoteza Muda naomba niwape ujumbe wangu huu kwa leo;
"Ni dhahili na ukweli usiopingika kuwa idadi ya Watanzania ambao wamekuwa wakijitokeza...
Nafikiri ninamuelewa Rais Magufuli katika kutangaza Sera ya CCM anazingatia zaidi kwenye 'macroeconomics' ndio maana anashughulika na viashiria vikubwa vya kujenga uchumi wetu ili kuinua uchumi na...
TATHMINI YANGU KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI WA VYAMA VIKUU VITATU,CCM,CHADEMA NA ACT WAZALENDO.
Leo 10:15am 30/08/2020
Vyama vya siasa nchini Tanzania vimeanza safari ya kampeni kutangaza sera kwa...
Nasikitika kusema kwamba sera hii sasa inakosa mashiko kabisa kwa hiki kilichotokea leo hii.
Ni ngumu sana kuamini watu wanao pigania Uhuru wa vyombo vya habari kushindwa kuwa wavumilivu na...
UCHAMBUZI WANGU KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI WA VYAMA VIKUU VITATU,CCM,CHADEMA NA ACT WAZALENDO.
Leo 12:50hrs 30/08/2020
Miaka yote ya uchaguzi Mkuu,Wapinzani walitambaa na kashfa za ufisadi kama...
Tumia jicho lako la tatu kutueleza utofauti wa hawa viongozi wawili wenye ushawishi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa 2020.
Baada ya kumalizika kwa kampeni za leo kwa wagombea wote wawili mmoja...
Jackson Kangoye ambaye alikuwa mshindi wa kura za maoni Tarime na baadae jina lake kukatwa na Kamati kuu na kurudisha jina la mshindi wa pili, Bwana Michael Kembaki, leo hii anafanya sherehe...
Ukubali usikubali lakini huu ndo ukweli wenyewe kuwa hakuna kitu kigumu kwenye maisha ya binadamu kama kulipa gharama za matibabu (kuuguliwa)
Kwa kweli gharama za matibabu Tanzania zipo juu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.