CCM imefanya uhuni wa kuengua baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani. Uhuni huu umepitwa na wakati. Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa, wamechoka na uhuni huu.
Kwa wale ambao tunajua jinsi...
Wagombea prominent mwaka huu ni watatu Magufuli, Lissu na Membe, lkn wanaopewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda ni wawili Magufuli na Lissu.
Wagombea hawa wawili tayari wameshajipambanua wazi nini...
Katika kufungua kampeni jana nimemshuhudia mgombea kupitia CCM John Pombe Magufuli akiwa mtulivu na mnyenyekevu sana.Pia kwa mara ya kwanza kwa muda wote wa hotuba yake alikuwa akitumia “tuaomba...
Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ACT Wazalendo wamewawekea mapingamizi wagombea wa CHADEMA katika Halmashauri ya Ubungo akiwemo yeye.
Amedai pia, ACT...
Wanachokifanya naona Kama mahubiri tu! Tushazoea ahadi zao kila siku ahadi ahadi ila hawana mstakabari wa ujibuji "KIVIPI?" Kila atakae mwaga ahadi ama sera zake ajibu atafanya hivyo kivipi...
UBUNGE TARIME MJINI: NGICHO/WAITARA WAHAMISHIA NGUVU ZAO KWA GERALD MARTIN
Kura za maoni Jimbo la Tarime Mjini zilifanyika tarehe 21 Julai 2020 na Jackson Kangoye akafanikiwa kuongoza kwa idadi...
Nimeona wachache wakibeza CHADEMA kuchangisha fedha kwenye mikutano yake ya kampeni sidhani ikiwa wako makini.
Ila ukweli ni kwamba watu wote wanaopenda mabadiliko ya kweli ambayo kwa hakika kwa...
Uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 umeanza. Je, tunahitaji Vyombo vya Habari vyenye sifa zipi wakati tukiingia kwenye kampeni hizi? Nimeorodhesha hapa chini matarajio 7 ambayo...
Kwa kilichotokea leo ni wazi kuwa CHADEMA hawajajiandaa, hawakujipanga, hawakufanya maandalizi na wala hawana matarajio na matumaini ya ushindi, wameanza wakiwa wamekata tamaa na wametangaza...
Hili halina ubishi wowote kuwa
CHADEMA mnajifaragua kushiriki uchaguzi ili kuua soo. Lakini ukweli ni kwamba mnajua mnapigwa kipigo cha mbwa mtu kwenye box la kura.
Na baada ya kutambua haya...
Nipo kwenye group la graduates mwaka fulani wa nyuma, ambao tulinufaika na Loan board kipindi cha Kikwete, na ajira ya Kwanza(first appointment) tukiwa na Kikwete. Tunakumbushana mengi tu hasa...
Inatupasa watanzania tuamue na tuwe wakweli juu ya haya yaliyo tokea kwa miaka mitano Mara tu baada ya uchaguzi wa 2015. Kwa kweli mambo ya kikatili dhidi ya watanzania wenzetu.
1: wameuwawa.
2...
UTANGULIZI
Sijawahi hata Siku moja kuficha Hisia zangu za 'Kukukubali' sana hasa kwa aina ya 'Misimamo' yako thabiti, uwezo wa Kufikiri ( Akili ) na pia Kuchambua mambo 'Kiumakini' kabisa. Na hapa...
Ni ajabu ya mwaka.. Ndege ya Rais ( Kibali cha Rais) kuchoma mafuta kwa ajili ya uzinduzi wa chama cha mapinduzi.
Mnapo ambiwa muwe mnasikia. Nchi hii unaelekea kubaya.
---
Air Tanzania...
Leo nimefurahishwa Lissu kaongea huku ametulia tena kawa mpole, naona keshasoma upepo.
Katika hotuba yake naomba nichambue kidogo maelezo yake, kimsingi hayo aliyoyaelezea yaliwahi kutekelezwa na...
Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Cuf-chama cha wananchi
Usilalamike, chukua hatua.
Changia CUF, changia ushindi
Uzinduzi wa michango ya wananchi kwa chama chao utafanyika jumamosi ya tarehe...
Katika mojawapo ya mahojiano aliyowahi kufanya miaka ya nyuma, Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipata kuulizwa anadhani nini hasa ilikuwa siri ya Baba wa Taifa la Tanzania, Julius Nyerere, kudumu...
Nimekuwepo tangu uchaguzi wa 1995 , nimejaribu Ku review chaguzi zote kuanzia hapo na zilizo fuatasijawahi kuona upuuzi unaofanywa na tume awamu hii wa kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani na...
Nianze mada yangu kwa kunukuu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 18(1) nayo inasema hivi "Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake na kutafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.