Huhitaji kufanya uchunguzi wa kina kugundua kama wapinzani nchini hawajajipanga
Ukiangalia utagundua wabunge wote wa upinzani wa kuchaguliwa ambao wana uzoefu bungeni hawajakutana na "panga" la...
Anaandika mhe Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai haki pia wanaunga mkono tamko la mwenyekiti wa chama hicho pamoja mgombea...
Emmanuel Masonga(CHADEMA) amuwekea Deodatus Mwanyika(CCM) pingamizi kwa kuwa alikiri na kuhukumiwa kwa Ukwepaji Kodi na akalipa Fidia ya 1.5 Biliona pamoja na Fine ya 1.5 Million.
Deodatus...
Imetokewa na:
KIZAZI CHA KUHOJI AFRIKA
Dar es Salaam, Agosti 28
Leo tumesikitishwa sana na mwendelezo wa CHADEMA kukiuka uhuru wa habari, dhana muhimu katika haki za binadamu.
Kitendo cha...
"Miongoni mwa Wagombea wetu 218 wa majimbo yote 264 nchini, wagombea 40 hawakuteuliwa kabisa!Wagombea 22 wameenguliwa kwa mapingamizi Tanzania Bara na 14 Zanzibar (9 Pemba). Jumla wagombea 76...
Kama mada inavyojieleza hapo juu, karibu ndugu msomaji tujadili.
Tanzania ni nchi inayoendesha shuguli zake za mamlaka kwa mfumo wa Demokrasia kama ilivyo ainishwa katika utangulizi wa katiba...
Siku chache zikiwa zimebaki kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi mkuu 2020, minong'ong'o mingi imekuwa ikijitokeza hasa kuhusiana na idadi ya wagombea wa Ubunge kupitia chama chetu. ukweli ni kuwa...
Kampeni mtu unatakiwa ueleze changamoto za mahali husika na utakavyotatua
CHADEMA Mbagala mbunge wao hajakatwa na tume lakini CHADEMA imewaeleza kuwa kipaumbele ni kurudishwa wabunge waliokatwa...
CHADEMA isitafute mchawi kuenguliwa kwa wagombea wake katika nafasi za Udiwani na ubunge kwenye uchaguzi mkuu ambao kampeni zake zimeanza tangu Agosti 26, 2020 kwani hawakuwaandaa wagombea wake...
Leo kama kawaida niliwahi mapema sana kwenye mkutano kusikiliza sera za mgombea wetu.
Mengi ameeleza vizuri sana japo kuna ambayo ameyarudia rudia sana.
Kingine nilichopenda ni muda wa mgombea...
Mada ya uzi huu si ngeni kwetu sisi Watanzania. Nina uhakika wengi (kama si wote) tunaIfahamu vyema hii kitu lakini ni wakati muafaka kuweka msisitizo hususani kutokana na mazingira tuliyo nayo...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Hanang mkoani Manyara kimewatahadharisha baadhi ya viongozi wa chama wanaofanya vikao usiku vya kukihujumu Chama hicho.
Kimeonya na kusema hakitasita...
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini John Shibuda alaani Waajiriwa wa TAMISEMI kutofuata Utaratibu na Matakwa ya Sheria za Uchaguzi Mkuu 2020.
Mgombea urais huyo kupitia chama cha ADA...
2015 mgombea wa uraisi kupitia CHADEMA kwa mwamvuli wa ukawa alishindwa kusoma ilani ya chama akaishia kutoa yake ya kichwani kuwa atamleta Balali marehemu,kumuachia babu seya na kuwatoa masheikh...
Baada ya kumsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara,kamanda Bensoni Kigaila, nimepoteza hata hamu ya kufuatilia uzinduzi wa kampeni kwani kwa idadi ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA...
Maendeleo ya vitu hayana maana kama hayabadilishi maisha ya watu kwa muda mfupi na muda mrefu.
Urais sio uwaziri wa miundo mbinu ndugu. Ni maendeleo ya watu, ni ustawi wa jamii, ni ukuaji wa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Hii ni kukupeni taarifa kabla ya habari.
Kemeeni engua engua za wagombea. Msijitenge na kilio hiki ambacho hakuna asiyeona rafu hizi za wazi.
Upuuzi wa kufanikisha...
Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja
Sasa leo...
Mbowe mzalendo alianza kwa ku test uzalendo wa watangazaji TBC Kama anayoongea watarusha Live yaliyo kinyume na sheria za utangazaji. Kuna upande Kuna mtu Alikuwa akimwangalia kama aonyeshe je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.