Muda huu Lissu anazungumza na Vyombo vya Habari nchini
Update zaidi kuwafikia
====
Mgombea Urais kupitia chama cha CHADEMA ameelezea ziara yake kwenye mikoa 16 na kufanya mikutano mikubwa na...
Wasalaam wana bodi,
Poleni sana na majukumu ya kulijenga Taifa.
Nchi yetu inaelekea katika uchaguzi mkuu na tayari mbiu imekwisha lia na amsha amsha za hapa na pale zimeanza.
Kuanzia tarehe 27...
Kazi ya Vyombo vya Habari ni kutoa taarifa bila kujalisha taaarifa inahusu nini. Kufungia vyombo vya Habari kwa sababu za kihunihuni ni Uonevu uliovuka Mipaka.
Kama ni Machafuko, anayeweza...
CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa...
Kama ni kweli haya tunayoyasikia katika mchakato huu wa uchaguzi, kuenguliwa kwa idadi kubwa ya wapinzani kwa kile kinachoitwa kukosa sifa. Je, wahusika hawaoni kuwa hii hali inaweza kupelekea...
Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na...
Ni wazi sasa kuwa nguvu kubwa imewekwa kwenye Urais huku Ubunge na Udiwani ukiwekwa pembeni. Hili linadhihirishwa kwa jinsi matatizo ya kuenguliwa wagombea yalivyoshughulikiwa mpaka dakika ya...
Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania
Updates
----
Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake...
NEC imesema muda wa kutangaza wateule bado kwani kuna mapingamizi yanayoshughulikiwa na kwa mujibu wa ratiba mwisho wa kupokea mapingamizi ni leo 26 Agosti, saa 10.00 jioni. NEC imesema taarifa...
Ndugu zangu kwanza kabisa nimshukuru mwenyezi Mungu kwa wingi wa Rehema zake, Nijikite kwenye mada yangu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ACT-Wazalendo na CHADEMA mnadeni kubwa kwa...
Kwa dhati ya moyo wangu napenda kukiri kuwa mimi ni admirer wako toka ukiwa Waziri wa mambo ya Nje wa Tanzania.
Lakini kwa hali ya Siasa ilivyo nchini mwetu na kiu ya watanzania kuondokana na...
Mada inahusika.
Licha ya ahadi za kufanyika uchaguzi huru na wa haki kutoka kwa Rais JPM na serikali yake ukweli uko wazi. Hakuna dalili na ni kama mchezo umeisha kwenye hii hatua ya uteuzi na...
Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani...
Malalamiko mengi kila uchaguzi kuwa wagombea wa upinzani ukosa kuteuliwa sababu mbalimbali, na upelekea upande wa CCM kupita bila kupingwa.
Na kamwe sijawahi sikia mpinzani kupita bila kupingwa...
Hata kwenye mapambano ya ndondi zisizo rasmi mtaani jamaa ambaye huwa haongei sana au kujibujibu huwa ana uhakika na ushindi. Muongeaji sana huwa anakula ngumi moja tu chali anazimia na kupepewa...
Yes, it was that simple. You baited them and they fell for it and oh yes, once again you exposed them for what they are. You baited them and they fell for it hook, line and sinker.
Toothless...
Akizungumza na waandishi wa habari, ndugu Kigaila ameitaka NEC kurudisha wagombea wote wa Chadema walienguliwa kihuni.
Amesema kuna watu walitekwa na vyombo vya dola kama TAKUKURU ili wasirudishe...
Ndugu zangu,
Kwa mujibu wa aliyewahi kuwa Rais wa Marekani marehemu Abraham Lincoln anasema "Demokrasia ni serikali ya watu, iliyowekwa na watu kwa ajili ya watu"
Huku Magufuli na chama chake...
Wakuu salaam,
Baada tu ya wagombea ubunge na Udiwani wa CHADEMA kuchukua fomu maeneo mbalimbali Tanzania watu walitoa ushauri jinsi ya kuepuka makosa kama yale ya 2019.
Katika majimbo yote ya...
Habari zenu Wana wa JamiiForums,
Natanguliza kusema mimi si mwanasiasa, siijui siasa wala itikadi yeyote. Kwanza toka nizaliwe sijawahi kupiga hata kura ndio labda mwaka huu kwa mara ya Kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.