Chama Cha Kijamii (CCK) kimepanga kuitisha kikao kumweka kitimoto aliyekuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama hicho, David Mwaijojele, kutokana na kuenguliwa na Tume...
Wakati CCM ikiangaika kukusanya wasanii kwenye mikutano vyama vingine vimeamua kujipima vinakubalika vipi bila kuwa na wasanii na bila kubeba wananchi kwenye malori.
Je. Kwa Hali hii mkakati wa...
Mkurugenzi wa Huduma za sheria wa tume ya uchaguzi Emmanuel Kavishe amesema kama pingamizi la Tundu Lisu wa Chadema dhidi ya DKT. Magufuli wa CCM lingekuwa na mashiko basi tume ingechukua hatua...
VYAMA vya Siasa 12 vimeitaka ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kumchukulia hatua kali za kisheria Mwenyekiti wa chama cha ACT wAZALENDO, Maalim Seif Sharif Hamadi kwa kutoa kauli za kichochezi...
Amani na utulivu huvunjwa na wahubiri wake. Inapotokea mhubiri akatoa hubiri kusisitiza jambo halafu yeye akaenda kinyume chako basi matokeo lazima yawe hasi. Ukihubiri amani halafu ukaanza kuwa...
Honestly TBC wanatangaza wanakuja kuwafanyia coverage mlitarajia fairplay? Yaani Lissu aelezee jinsi jamaa alivyoagiza apigwe risasi kwamba ni msaliti anawasiliana na Mwanyika ambaye naye ni...
Nimeshangaa na kukurupuka kwa chama hiki kuandaa mkutano wa leo Zackem, Mbagala. Maandalizi mabovu watu wa Dar wanahitaji uwaandae uwape muda wakuweke kwenye ratiba.
Dar sio mkoani au wilayani...
Wakati kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu zinaanza mwishoni mwa wiki hii, ni dhahiri kuwa mapambano huo utakuwa mkali sana, baina ya mgombea wa Chadema, Tundu Lissu na mgombea wa CCM John...
Godbless Lema ni Mbunge aliyemaliza muda wake na Mrisho Gambo ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha aliyetumbuliwa.
Lema anekuwa Mbunge kwa zaidi ya miaka kumi sasa lakini mara nyingi amekuwa akizitumikia...
WANACHAMA WA CCM JIMBO LA KALIUA WAJIUNGA NA CHAMA CHA CUF
Naibu Katibu Mkuu wa CUF, mhe. Magdalena Sakaya amewakabidhi kadi za CUF wanachama wapya waliotoka chama cha mapinduzi (CCM) Jimbo la...
Wakuu heshima sana.
Leo niliamua kufanya tathmini yangu isiyozingatia vigezo wala kibali kutoka mamlaka husika.
Nimefanya mahojiano na makundi mbali mbali na sehemu tofauti tofauti katika viunga...
Mabomu ya machozi yanarindima wakati huu jimbo La Iramba Magharibi mkoani Singida ambapo Mgombea ubunge jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Jesca Kishoa inasemekana amekamatwa na kufungiwa ofisi za...
Mheshimiwa Lissu na wapenda demokrasia wote.Hongereni kwa kuzindua kampeni leo ktk viwanja vya zakheem Mbagala.Kuna mambo kadhaa nimejifunza,vema tushirikishane.
MOSI: Jazba na hasira.Bado...
Ni Imani yangu CHADEMA wameshaona na kujifunza kuhusu nguvu na udhaifu wa mgombea urais wao .
Siwezi kukosoa sana kwa kuwa mgombea alikua akicheza one man show na freestyle. Sasa ni kampeni rasmi...
Na Mwandishi Wetu
CHAMA cha ACT–Wazalendo kimesema kinaendelea kutafuta haki ya wagombea wake wa nafasi za ubunge na udiwani ambao wameenguliwa kihuni na wasimamizi wa uchaguzi kwa kufuata...
Wakuu nawasalimu wote,
Nimeona kwenye page ya tbc wakitoa taarifa kuwa watarusha mkutano mkubwa wa kihistoria uzinduzi wa kampeni jijini DSM
===
TBC1 leo tutakuwa mbashara katika uzinduzi wa...
Naibu katibu mkuu wa CHADEMA Leo hii ametoa hotuba (maelezo) kwa waandishi wa habari kuhusu figisu za Uchaguzi huu mkuu.
Ni Serikali ya kijinga tuu ndio inayoweza kupuuzia maonyo aliyotoa bwana...
Jina la Tundu Lissu, ndio linalotajwa sana kwa Sasa kuliko Mtazania yeyote hususan kwenye mitandao ya kijamii.
Jina hili linatajwa kwa ubaya na uzuri. Kwa kipindi cha takribani siku mbili...
Mkurugenzi wa Uchaguzi: Tume ya uchaguzi baada ya kupokea pingamizi dhidi ya wagombea hao, imewataarifu wawekewa pingamizi mapema iwezekanavyo na wahusika wamewasilisha utetezi wao.
Pingamizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.