Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Members, Tundu Lissu makusudi ameitega tume ya uchaguzi nayo imetegeka na kujiweka mahali penye maswali magumu na utata. Kitendo cha tume kuyatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu juu ya...
85 Reactions
113 Replies
12K Views
Neema ya Magufuli ya kupendwa na Wananchi na Wapinzani imeishia 2015. Magufuli alibebwa na sifa ya utendaji kazi na kuwa waziri asiye kuwa na makuu siku zote. Kwa kweli alipendwa na kila kada...
20 Reactions
34 Replies
3K Views
CCM hawako tiyari kwa Uchaguzi, kuna hujuma kali sana zinaendelea usiku na mchana na hazina mwisho na tutajuta mno kuingia kwenye huu uchaguzi, sioni mwanga, naona giza tupu, uhuni huu unaofanywa...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Nawaza kwa mfano Lissu akishinda 2020 sijui watu wengine wataweka wapi sura zao. Hawa wasanii wetu ambao kila kukicha wana nyimbo za kumsifu na kusherekea uongozi wake sijui na wao wataweka wapi...
12 Reactions
102 Replies
7K Views
Kuna taarifa mpya ya kutekwa mgombea wa CHADEMA kwa ngazi ya UDIWANI na UBUNGE kila baada ya dakika chache ndani ya siku 5 za mwisho kuelekea siku ya leo tarehe 25/08/2020 ya kupitishwa majina ya...
6 Reactions
92 Replies
9K Views
Jaji Kaijage na team yake ya Tume ya uchaguzi kama si busara zao za kukubali kufanya uhakiki wa wadhamini wa mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Tundu Lissu jambo...
6 Reactions
103 Replies
10K Views
Meneja wa Tehama pale Clouds Media, Stanley William amechukua fomu za kugombea Udiwani kata ya makongo kupitia chama cha CHADEMA Naye mtangazaji Tupatupa amechukua fomu za kugombea udiwani kata...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Tangu Mh Lissu arejee nchini AMEJARIBU serikali na vyombo vyake ili aguswe lakini hajaguswa. Siku alipokuwa akirejea nchini aliwaandamanisha watu kutoka Uwanja wa ndege mpaka Ufipa bila barua ya...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiukweli Tume ya Uchaguzi imekosa uhalali wa kuendesha uchaguzi huu. Habari zenu wanajukwaa wenzangu. Nasema hivi "NEC imepelea kwenye kujibu hoja za Tundu Lissu kizembe". Imekosa uhalali wa...
37 Reactions
112 Replies
8K Views
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, ametoa wito kwa vyama vya upinzani nchini kuwa viache ubinafsi kwa kuwa Tanzania ni kubwa kuliko vyama na kwamba Watanzania hawatowasamehe kama...
14 Reactions
139 Replies
11K Views
CHADEMA nawaasa kuanzia leo saa 10 jioni mna saa 24 tu za kupinga uteuzi kwa maeneo yote ambayo viongozi wenu wamekatwa kwa hila za CCM. Hakuna muda wa kupoteza shughuli ianze usiku huu huu sasa...
29 Reactions
65 Replies
8K Views
Anaandika kijana makini LUMOLA STEVEN (Mgombea ubunge bukene kupitia CHADEMA) ZEDI SELEMANI JUMANNE Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi aliniwekea pingamizi lakini hakuwa makini kavunja kifungu Cha...
12 Reactions
32 Replies
6K Views
Kilichotokea mkoani Songwe na kupelekea umauti wa Mtanzania ni ishara kwamba amani tunaivuruga wenyewe hasa viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia haki wanashindwa kutumia hekima wala busara...
1 Reactions
2 Replies
750 Views
SISI MOSHI MJINI TUNAJAMBO LETU NA PRISCUS WETU [emoji1241][emoji1241] Hadidu rejeaa, Ni baada ya Mchakato wa Siku zisizopungua tano za Vikao vya Juu ya CCM na Hatimaye Kumpata Mgombea Makini na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kanuni ya 26(3) ya Kanuni za Uchaguzi zinataka Fomu ya KUTEKELEZA MAADILI kujazwa mbele ya Msimamizi wa Uchaguzi. Ndugu yangu wa CCM KAWE alijaza tarehe 20/8/2020 NYUMBANI kwake. Na BADO...
17 Reactions
89 Replies
13K Views
Hii ndio habari mpya iliyotufikia kwa sasa , Kwamba Sehemu " E " inahusu Tamko la kisheria la Mgombea Ubunge , na kwa vile Tadayo hakuisaini maana yake ni kwamba ameshindwa kuthibitisha kuwa anazo...
14 Reactions
64 Replies
8K Views
Mgombea Udiwani wa CHADEMA Kata ya Majengo mjini Tunduma Boniface Mwakabanje ambae alikuwa anashikiliwa kwa ishu ya uraia, leo mchana amefikishwa Mahakamani na kupewa kesi ya 'Armed robbery'...
23 Reactions
107 Replies
14K Views
Inakuwaje mwenyekiti wetu Freeman Alkael Mbowe kuwa baridii kipindi hiki ambacho uenyekiti wake ulipaswa kujidhihiri. Inakuwaje kila kona watu wa CHADEMA wanaenguliwa kihuni na hakuna reaction ya...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom