Kwa kweli namuonea huruma sana Rais wangu mpendwa mtetezi wa wanyonge John Joseph Magufuli. Namuonea huruma kwa usumbufu unaompata kwa tatizo ambalo angeweza kulidhibiti mapema. Tundu Lissu ni...
Tanzania ni Taifa la ajabu sana sijawahi kuona. Dunia inatushangaa na vizazi vijavyo vitakuja kutushangaa. Hivi lengo ni kuwapata viongozi au lengo ni usahihi wa kujaza FOMU? Kwanini imekua ni...
Jimbo la Ilala linatajwa kuvamiwa na mwanasiasa Mpya na Kijana mwenye umri wa miaka 27 kutokea NCCR MAGEUZI. Nicolas Jovin Clinton ambaye pia ni Mwenyekiti wa KITENGO cha Vijana NCCR-MAGEUZI...
Wakati tunalaumu Tume ya Uchaguzi kuna makosa ambayo yanaepukika kama hili la Devota Minja ni makosa ya Kitoto yanayofanywa na aliyekua Mbunge.
CHADEMA mchunguzeni huyu kuna viashiria vya Rushwa...
Wanajukwaa salaam,
Kwa muda sasa wa wiki mbili nipo jimbo la Vunjo ambapo nilikuja kuona uzalishaji wa zao la vanila ukanda wa Kirua,Kilema,Marangu,Mamba na Mwika. Hali ya hewa ni baridi sana...
Tukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana.
Mfano kabla ya tarehe 25 August, ukipita mitandao ya kijamii kulikuwa na mtifuano juu ya...
Namkumbusha tu kwamba katika mikoa kumi ya kusaka urais walau miwili iwe ni ya Zanzibar.
Unajua sifa zinalevya anaweza kujikuta muda umekwisha bado yuko Tanganyika wanakomshangilia.
Niishie...
Abdulazizi Abood (CCM) amepitishwa kama mgombea pekee katika Jimbo hilo baada ya wagombea wa upinzani kukatwa kwasababu ya makosa yaliyobainika kwenye ujazaji wa fomu
Msimamizi wa Uchaguzi...
Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amemuwekea pingamizi mgombea wa CCM Prof. Kitila Mkumbo akitaka msimamizi wa uchaguzi wa jimbo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewawekea pingamizi wagombea udiwani wa ACT katika kata ya Wazo na Kunduchi.
Pia, huko Jimbo la ISIMANI, mgombea Ubunge wa CHADEMA Patrick Olesosopi...
Kachero ni kachero tu!
Najua sitavunja sheria wala kanuni hapa.
Bernard Membe, Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya ACT Wazalendo 2020. Historia yake ya kisiasa na utumishi inajulikana. Itoshe tu...
Salaam Wakuu,
Baadhi ya Wapiga kura, wamelalamikia tume ya Uchaguzi Tanzania kwa kubadilisha namba zao kwenye daftari la kudumu la Wapiga kira.
Wamekua wakiondoa au kuongeza baadhi ya tarakimu...
Mgombea Ubunge katika jimbo Pangani kupitia chama cha ACT Wazalendo , ndugu Msagati ametinga kwa Msimamizi wa Uchaguzi kuwasilisha pingamizi dhidi ya mgombea wa CCM (Aweso), na kuwasilisha majibu...
Tunasoma kila mahali, watu wanafanyiwa michezo ya ajabu kwenye uchaguzi, kuna vyama vinavyolalamika wagombea wake kutekwa, kuna vyama vinavyolalamika fomu zao kuporwa, kuna watu wanalalamika...
RAIS ASIZUNGUKWE NA WATU WENYE UKABILA NA UDINI.
Na, Robert Heriel
Tupo katika kipindi cha Kampeni, leo ndio ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi. Huu ni wakati muhimu kwa taifa letu.
Tunachagua...
Zile saa nane ama yale masaa manane jana ya tar 25. August. 2020 ya kumsubirisha mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kuanzia saa sita mchana mpaka jioni ya saa moja na dk 40 yalikuwa ni faida tupu...
Uchaguzi ni mchakato unaoanzia kwenye kutia nia hadi angalau kutangazwa kwa mshindi.
Watia nia na hata wapiga kura wote ni wana wa nchi hii hii. Fitina, ufedhuli, chuki, pepo wachafu wachafu...
Huyu msimamizi ana nyodo sana, jana kakataa kuwateua wagombea Udiwani wa Vyama vya Upinzani ikiwemo CHADEMA na ACT.
Anadai kuwa hawakulipa shilingi elfu 5 za ada ya kugombea wakati risiti wanazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.