NEC leo inatarajiwa kutangaza waombaji walioteuliwa kugombea urais wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Wagombea hao walitakiwa kupata wadhamini 200 kila mkoa kutoka...
*UCHAGUZI TUNASHINDA KWA TECHNICALITIES NA KWA KURA.*
Na Elius Ndabila
0768239284.
Wakati mchakato wa uchaguzi ukiwa unaendelea, basi ninataka niwakumbushe mbinu za ushindi kwenye chaguzi zozote...
Kushinda uchaguzi bila kuchaguliwa kwa kisingizio cha kupita bila kupingwa ni jipu ambalo yafaa litumbuliwe haraka ili kuleta usawa na kushamirisha amani ya Nchi yetu.
Haiingii akilini kuwa mtu...
Nimeshangazwa sana na hawa viongozi wakuu wa upinzani, badala ya kuwa bega kwa bega na wagombea wao wa urais, ubunge, na udiwani, eti nao wanatafuta Ubunge ili wakawe mawaziri wakuu au viongozi wa...
Wasalaam, CCM imetuongoza watanganyika kwa takribani miaka 59 na kuongeza umasikini miongoni mwetu. CCM imepoteza dira hakuna Sera au mawazo mbadala inafaa sasa ipumzike sababu za kuipumzisha ni...
Wagombea wa CHADEMA Moshi wakataliwa kupokelewa fomu zao na Mkurugenzi.
======
Mkurugenzi amegoma kupokea fomu baada ya tuhuma za awali kwamba sio halisi na kutaka kabla wahusika hawajazirudisha...
Ndugu Membe ameongea maneno mazito na yenye hekima. Tabia ya taasisi zinazosimamia chaguzi kufanya kazi kwa maelekezo ya watawala ili zisitende haki ni jambo baya kabisa. Hawa watu wanahatarisha...
===========
Tundu Lissu amewataka wanachama wasishangilie sana kwani wanatarajia mapingamizi hivyo wasubiri kesho mpaka saa kumi kuona hali itavyokuwa.
Tundu Lissu: Sio wao peke yako wanaojua...
Kuna propaganda zinaenezwa na ccm kwamba
Chadema ni chama Cha mitandaoni mala wapiga kula wapo vijijini lengo ni kuondoa morari ya wanaotaka kukipigia kula hata wale ambao hawana vyama.
Sasa...
Leo ni siku ambayo kampeni nhini Tanzania zinaanza kuelekea uchaguzi mkuu ambao utafanyika tarehe 28 Oktoba 2020. Niwaombe wanasiasa wafanye kampeni za kistaarabu, ni wakati wao wa kuuza sera zao...
Najaribu kuifuatilia safari ya njia ya msalaba kupitia Biblia Takatifu, kiukweli kuna baadhi ya maamuzi ni vigumu kuyafanya ukiwa vuguvugu ni ama uwe na Roho Mtakatifu au uwe na Roho wa Shetani...
Mtu mmoja (jina linahifadhiwa) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kuhusika kumteka nyara mgombea udiwani kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya...
Polisi mkoani Morogoro inawashikilia wanachama watatu wa Chadema walioghushi barua za utambulisho wakijifanya ni wanachama wa chama cha SAU na kutaka kuchukua fomu za kugombea ubunge kwa njia ya...
Mbio za kuwania urais wa Tanzania kwa Tundu Lissu, huenda zikafikia ukingoni siku chache baada ya kukabidhi fomu zake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Lissu alipitishwa na chama chake, CHADEMA...
Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea.
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard...
Historia huwa ni mwalimu mzuri sana. Na hii hii historia unaweza kuitumia kujua nini kinafuata.
2000 ya Mkapa ilikuwa rahisi sana sababu kwa miaka 5 yake watu walishamuelewa na kumkubali zaidi...
Hakuanza leo, alianza akiwa shule na aliendelea hivyo hivyo kabla ya kuwa Mbunge, aliendelea hivyo hivyo baada ya kuwa Mbunge na anaendelea hivyo hivyo baada ya kuporwa ubunge kwa hila.
Hakuanza...
Tulishuhudia wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, leo pia tumeshuhudia katika mchakato wa uchaguzi mkuu:
1. Wagonbea wa CCM walijaza fomu vizuri, zimepokelewa bila shida
Baadhi ya wagombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.