UCHAGUZI 2020: Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Queen Cuthberta Sendiga kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shoka Khamis...
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Yeremia Kulwa Maganja, kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Haji Ambar kuwa Mgombea wa...
Ndugu zangu,
Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa nipa siku hii ya leo.
In a nutshell,
Post ya Mh. Mbowe kwenye twitter ni matusi kwa vyama vingine vya siasa nakuviona ni second class political...
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Cecilia Mwanga, kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Tabu Juma kuwa mgombea wa nafasi ya...
CCM wamekuwa na hofu kubwa sana juu ya huyu mgombea wa CHADEMA. Mgombea wa CCM huyo siku zote amejawa hofu na ndiyo sababu kwenye chama chake hakuruhusu mtu hata mmoja kuchukua form ya kugombea...
Wagombea ubunge wa CHADEMA, Lucy Owenya na Grace Kihwelu wamedai kupewa fomu fake na Tume ya Uchaguzi.
Tatizo hilo limegundulika leo walipoenda NEC kuzihakiki.
Chanzo: ITV habari
My take...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewateua Muttamwega Mgaywa kuwa Mgombea wa Urais na Satia Musa kuwa Mgombea Mwenza kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU)
NEC imeidhinisha wagombea kutoka...
Mgombea wa CHADEMA alikamatwa jana na watu wa TAKUKURU na kwa mujibu wa Nape Nnauye ni kuwa ACT-Wazalendo hawakuweka mgombea kwenye jimbo la Mtama. Ofisi ya Mkurugenzi imepigwa kofuli...
Ni ukweli usiopingika 'ASIYESIKIA LA MKUU',
Ushauri mwingi ulitolewa kuwa mwaka huu chadema na vyama vingine vingewekeza nguvu nyingi katika nafasi za Udiwani Na Ubunge, hii nafasi ya urais...
“Taarifa mbaya tulizopokea muda huu ni kwamba mgombea Udiwani Kata ya Sandari kwenye Jimbo letu la Temeke amevamiwa muda huu, akapigwa mapanga na kunyang'anywa form ya Ugombea. Viongozi wa jimbo...
Mpaka sasa nisha hamasidha Graduate 800 na bado naendelea kuhamasisha haiwezekani tukose ajira huku Serikali inajitapa ina pesa, imenunua ndege kwa cash.
Mimi narafiki zangu tunaendela na zoezi...
Huko Mvomero mgombea ubunge kupitia CHADEMA ndugu Peter Mdidi ametekwa na mpaka sasa haijulikani alipo
PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana
~ Matukio ya Watu kupotea na...
H
ABARI Mgombea Ubunge wa Jimbo la kigoma kaskazini kupitia CUF, mhe. Kiza Hussein Mayeye leo Agosti 25, 2020, amerejesha fomu ya uteuzi katika ofisi ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la kigoma...
John Shibuda anayewania nafasi ya Urais na Mgombea Mwenza Hassan Kijogoo wamerejesha fomu katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) zilizopo Jijini Dodoma.
Baada ya kujiridhisha, Tume ya...
Kwanini wale wanaojiita kamati ya viongozi wa Dini wana sambaza ajenda ya AMANI na sio HAKI?
Kipi kinatakiwa kuanza amani au haki? Naweza kusema hawa watu ni wanafiki na wachumia tumbo...
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Leopold Mahona kuwa mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ally Hamis kuwa mgombea wa...
Hili hapa andiko lake
Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa...
Tuacheni propaganda rahisi kiasi hicho zisizokua na kichwa wala miguu. Unapolalamika kua Lissu anakatwa na NEC kwa kipengele kipi cha Sheria? Taja hicho kifungu hapa hapa usiwe muongo muongo na...
Hao jamaa mliowatuma kunitekana, kupora fomu Mnawaonea Bure, mimi siyo wa kutekwa na Raia wasiopitia hata Mafunzo ya Mgambo.
Kwa kuwa nawafahamu leo nimewasamehe bure ila kuna siku hapa Ubungo...
Habari wadau,
Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi
Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.