Bila shaka yoyote hata Lissu mwenye hana Raha kwa Sasa maana haamini ni kwanini hajakamatwa na kuwekwa ndani mpaka Sasa hata baada ya kusema Yale aliyokuwa akiyasema kuhusu serikali wakati ikiwa...
Demokrasia ni mfumo wa siasa ambao wananchi wana mamlaka ya kuwachagua viongozi wao wenyewe kupitia sanduku la kura.Mataifa mengi hasa ya magharibi yanaamini demokrasia ndiyo mfumo bora zaidi wa...
Habari wana JF,
Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.
atika
Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya...
Mimi kama mwana CCM moja ya matamanio yangu ni kuona CCM ikiendelea kushika dola ya Tanzania.
Ila kati ya jambo ninalotamani litokee kwenye muhula wa pili wa Rais Magufuli endapo akifanikiwa...
Siku ya Jana CCM ilitangaza majina ya Watu watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya ubunge kwenye majimbo yote, Bara na Visiwani, katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka...
Ndugu Watanzania,
Kipekee napenda kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama.
Sasa naanza kuona kwa vitendo kitu ambacho nilitumia my mental image na kuona kuwa nchi fulani zitaingilia uchaguzi wetu...
Tangia tumeanza process ya kuingia kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, kumekuwepo maneno mengi yanayoashiria uvunjifu wa Amani, vitisho kutoka nje ya nchi hasa pale mgombea fulani anapomshutumu...
Hii kila mtu kichwani mwake kila mmoja na maamuzi yake kwenye box
MBEZI BEACH
Ila ni kwamba Mbezi beach,Tegeta maeneo ya Kawe yalionekana ya hadhi sana ukiangalia mpangilio na geografia ya maeneo...
Huu Uzi maalumu kwa ajili ya watumishi wa umma wenye salary slip na check no ambao kwa miaka 5 tumedhulumiwa haki yetu
Serikali ya ccm haina muda na watumishi, increments kwa watumishi...
Ukistaajabu ya Musa.
Leo bwana huyu kachomekea shati kijani kuomba ridhaa?
Alimtukana kiongozi wa wakatoliki nchini wakati huo. Akasema misikiti itageuka kuwa sunday School. Akasema mabaya...
Mara kadha nimeshawahi kuuliza kama ni nani anaihujumu CCM na kwanini anafanya hivyo. Nimeandika na mada pia kulihusu hili
Matokeo ya teuzi za ubunge yametoka, hayakuangalia kigezo cha aliyepata...
Serikali imewataka wakimbizi waliopo nchini kuacha kujihusisha na harakati za kisiasa katika makazi ya wakimbizi yaliyoko katika maeneo mbalimbali nchini na kwamba wanapaswa kuishi kwa kuzingatia...
Kufuatana na Ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi tarehe 25 Agosti, 2020 ni siku ya UTEUZI. Ushauri wangu ni wa bure kwenu.
Hakikisheni Wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya Majimbo Tarehe 25 Agosti...
Sasa ndugu zangu wa CHADEMA, kama mnajua fika kwamba serikali kupitia Dr. Abbas na TCRA wanahujumu katika vyombo vya habari kwanini msitumie mbinu mbadala kwenye press conference zenu na pia hata...
Habari wana JF,
Nimekuwa nikijiuliza ni akili gani walionayo CCM na rafiki zao eti kutaka kutumia kichaka kumkata T. Lissu?
Kama CCM mngekuwa na akili, basi muacheni Tundu Lissu agombee na wala...
Kufuatia vikwazo mbalimbali anavyowekewa mgombea urais wa chama cha CHADEMA ndugu Tundu lisu na serikali ya ccm ili ashindwe kufanya kampeni zake vizuri, upo uwezekano wa vituo vya mafuta kupewa...
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.
NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze...
Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?
Huko mbona hakwenda kuziba barabara na...
TUNDU LISU SITAKUCHAGUA HATA USEME NINI.
Na, Robert Heriel
Haya ni maamuzi yangu, sijalazimishwa na mtu. Mimi Taikon wa Fasihi ambaye siku zote nimekuwa kijana mpenda maendeleo, mpenda haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.