Ubunifu, weledi, msimamo, uzalendo, uadilifu na kasi kubwa anayokuwa nayo katika kufanya maendeleo, ndivyo vinavyomtofautisha Rais .Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Marais wengine barani Afrika...
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa serikali ya Tanzania kulipa gharama zote za Uchaguzi Mkuu tokea tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
Ieleweke kuwa Mwaka 2015, Tume ya Taifa ya...
Bashiru kama Katibu Mkuu wa CCM inapaswa hutumie vyombo vyako vyote vya usalama wa chama ili upewe taarifa sahihi ya mkoa wa Ruvuma.
Ishu ni kuwa kuna kata zaidi ya nne kamati ya Mkoa ilikwisha...
PROF. LIPUMBA AKAMILISHA ZOEZI LA KUTAFUTA WADHAMINI KATIKA MIKOA 10.
Mgombea Urais wa Tanzania, kupitia CUF-chama cha wananchi amekamilisha zoezi la kutafuta wadhamini katika mikoa kumi.
Zoezi...
Ukisoma sheria za uchaguzi mkuu ya mwaka 2015 na mabadiliko yake yote na sheria ya matumizi kwenye uchaguzi kuna mambo yafuatayo:
1. NEC imepewa mamlaka ya kisheria kutangaza Tarehe ya Uchaguzi...
Binafsi nakosa imani kabisa,ukijimlisha na kauli zinazotoka vinywani mwa taasisi muhimu kama vile jeshi letu la polisi( IGP Siro) nk.
Naomba kushare na nyinyi ka crip kadogo kisha mseme...
Sisi hatujui sheria lakini pale kijiweni kwetu kulitokea ubishi baina yetu tukibishana kuwa maandamano na mikutano inayofanywa na mgombea urais kwa tiketi ya Chadema Tundu Lissu wakati anapita...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itatumia Sh bilioni 331.7 kwa ajili ya kuandaa na kuendesha Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu huku kitendo cha serikali kugharimia kwa asilimia 100...
Mgombea Urais wa Chama cha ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema wao wamepata wadhamini katika mikoa kumi.
Amesema ACT-Wazalenda waliamua kutafuta wadhamini kimyakimya ili kuepuka kuteleza.
Majina...
Ikiwa imebaki miezi michache kufikia mwezi Oktoba, mwezi ambao uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 utafanyika nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Inspekta Jenerali, Simon Sirro, leo Agosti...
mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu amekua akizunguka mikoa kadhaa akifanya kampeni kwa kutumia mgongo wa kutafta wadhamini, JE tume ya Uchaguzi hawaoni anavyokiuka...
MMOJA ya watia wa jimbo la Arumeru Magharibi, Ezekiel Elphas Mollel amejitosa kumuunga mkono mgombea mteule wa CCM, Noar Lembriss Mollel akidai ni operesheni kabambe ya kulikomboa jimbo hilo...
Ndugu zangu,
Kipekee, napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai siku ya leo.
Mh. Tundu Lissu namfuatilia kwa umakini sana, tangia aanze kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini, ni kama vile anafanya...
Kumekucha Newala Mjini.
Mbunge wa miaka mingi Newala Mzee John Mkuchika Yuko hatarini kupoteza ubunge wake baada ya Chadema kumpeleka mgombea machachari anayedaiwa kufahamika na kupendwa na...
Wapo watu walitarajia kuwa Wagombea wa mwaka huu watakuwa wa aina yake lakini cha kushangaza wamechomoza wale wale akina Msukuma, Lusinde, N.k.
CCM huwa hawaangalii mgombea bora bali wanachotaka...
Mapema kabisa tayari jinamizi lakuaanza kuchafua Tume ya uchaguzi kushindwa simamia wajibu wake vizuri limeanza onekana.
Tayari kuna Mgombea ubunge na mwingine Diwani ambao ni halali kulalamika...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inafuatilia zoezi la kuchukua fomu za uteuzi na kubaini kuwa kuna changamoto ambazo zimejitokeza kutokana na vyama vya siasa kutokujipanga na kuweka...
Ndugu zangu,
''Ukweli mchungu'', hata ukimsikiliza Tundu Lissu yeye anazungumzia ''mikataba'' ''sheria'' huku waziwazi akipuuza uboreshwaji wa elimu, afya, huduma za jamii na miundombinu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.